Kila siku? ni Taqiyyah hii? hebu thibitisha huwa nikimuon shetani akidanganya umma lazima aumbuliwe asieneze propaganda za kindezi wakati ni mjinga tu na aliambiwa amsujudie AdamYani source ya hii mada yako ni you tube..
Alafu kila siku mnasema Iran imeenza kupoteza nguvu na ushawishi,lakini hadi sasa inaelekea miezi na miezi.!!