ushawishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    CHADEMA imepoteza kabisa ushawishi kwa Watanzania

    Ndugu zangu Watanzania Baada ya kufunguliwa na kuruhusiwa kwa mikutano ya vyama vya siasa hapa nchini tulishuhudia mbwembwe na vitisho vya hapa na pale kutoka kwa viongozi na wanachama wa chadema kuwa Wana kwenda kutikisa na kuipa shida CCM. lakini Cha ajabu Baada ya ufunguzi wa mikutano Yao...
  2. Dalton elijah

    Samia Suluhu Hassan aingia kwenye orodha ya watu wenye ushawishi mkubwa Duniani miongoni mwa Waislamu

    Samia Suluhu Hassan ni Rais wa Tanzania aliyeingia madarakani baada ya kutokea kwa kifo cha mtangulizi wake John Magufuli Machi 2021. Ameweka rekodi ya kuwa mwanamke wa kwanza kushika wadhifa huo wa juu zaidi nchini Tanzania. Pia anakuwa rais wa pili wa Tanzania kutokea Zanzibar, wa kwanza akiwa...
  3. N

    Rais Samia ni kati ya Wanawake wenye ushawishi zaidi duniani

    Jarida la Forbes la nchini Marekani limemtaja kwa mara ya pili Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa miongoni mwa wanawake 100 duniani wenye nguvu na ushawishi zaidi akishika nafasi ya 95. Uchapakazi na uongozi wenye kuleta maendeleo endelevu vimempa heshima hiyo. Rais Samia Suluhu anaendelea...
  4. Ngongo

    Kenya imetupora ushawishi wetu katika anga za Diplomasia

    Heshima sana, Tanzania ya Mwl. ilikuwa juu sana katika siasa za kimataifa. Tanzania ilikuwa kinara katika siasa za ukombozi Kusini mwa Afrika. Mwl. alikuwa Mwenyekiti wa nchi zilizo mstari wa mbele kupigania uhuru wa nchi za Kiafrika hasa Kusini mwa bara la Afrika. Tanzania ya Mzee Ruksa...
  5. GENTAMYCINE

    Je, Muokoaji Shujaa asingekuwa na Jina la 'Majaliwa' angesifiwa na hata Ushawishi wa Kumtunza 'Mifedha' ungekuwepo?

    Haya haya Waokoaji wa Ajali za baadae hakikisheni nanyi Majina yenu yawe yanafanana na ya Viongozi Wakuu na Waandamizi wa Serikali hii ya Awamu ya sasa ili yakitajwa tu basi wenye hayo Majina ( Wajina zenu ) waweze Kufurahi na kupata hata Ushawishi wa Kuwalazimisha Wakuu wa Mikoa mpewe Zawadi na...
  6. L

    Rais Samia Ameiheshimisha Tanzania Kimataifa, Ushawishi Wake waviteka vyombo vyote vya Habari

    Ndugu zangu Rais Samia ameirejesha heshima ya Tanzania Kimataifa, Sasa Tanzania inazungumzwa na kuandikwa kwa Mazuri, Sasa kurasa za mbele za magazeti Ni juu ya fursa ambazo Tanzania imezipata kutokana na kuimarika kwa diplomasia yetu ya kiuchumi iliyoimarishwa na Rais Samia,Sasa Tanzania...
  7. PendoLyimo

    Rais Samia ni miongoni mwa wanawake 100 wenye ushawishi Afrika

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ametajwa miongoni mwa wanawake 100 wenye ushawishi zaidi Barani Afrika. Rais Samia ametajwa na Jarida la Most Influecial African Women (MOAW) miongoni mwa wanawake mwenye ushawishi Barani Afrika katika kipengele cha Uongozi...
  8. L

    Ipo siku CHADEMA watamkumbuka Rais Samia na kuelewa dhamira yake ya kuwatumikia Watanzania kwa uzalendo na upendo

    Ndugu zangu naweza nisieleweke haya maneno kwa Sasa kutokana na muda kuwa haujafika, nimeona niyaseme haya ili ibaki katika kumbukumbu, CHADEMA lazima wafahamu kuwa katika mazingira na siaza za kiafrika Ni ngumu Sana kumpata Rais aina ya Rais Samia, viongozi aina yake hupatikana katika nchi...
  9. L

    CHADEMA yapoteza ushawishi mitaani. Sare zake hazivaliki

    Ndugu zangu miaka kadhaa iliyopita hakika chama hiki kilijizolea umaarufu mkubwa Sana hasa kwa kundi la vijana, Vijana walijiona fahari Sana kujiita makamanda, vijana wengi hasa wa vyuo vikuu na vyuo vya Kati walikuwa mtaji mkubwa Sana wa chama hiki, Hakika vijana walikuwa na hamasa kubwa Sana...
  10. L

    Vijana watajitokeza kwa wingi sana kumpigia kura Rais Samia uchaguzi Ujao, Ni uchaguzi utakaoweka Historia ya vijana kujitokeza kwa wingi kupiga kura

    Ndugu zangu kwa miaka mingi na kwa kipindi kirefu na kwa chaguzi nyingi vijana wa kitanzania wamekuwa wakijitokeza kwa kiasi kidogo Sana kupiga kura na kushiriki katika uchaguzi, Japo wakati mwingine wamekuwa wahudhuriaji Wazuri wa mikutano ya vyama vya siasa lakini wamekuwa wa mwisho linapokuja...
  11. L

    Kasi ya Rais Samia yawapoteza CHADEMA katika ramani ya siasa, hakina tena ushawishi kwa Watanzania

    Ndugu zangu Hivyo Ndivyo Hali Ilivyo kwa Sasa, Kasi ya Rais Samia kuwatumikia watanzania wa makundi yote,vyama vyote, Rika zote, jinsia zote, Kanda zote, Dini zote,makabila yote,maeneo yote na watu wa Hali zote bila ubaguzi wa aina yoyote kumeipoteza Chadema Katika Ramani ya siasa hapa nchini na...
  12. BARD AI

    Cristiano Ronaldo aongoza orodha ya wachezaji wenye gharama na ushawishi duniani

    Wakati Kombe la Dunia likibakiza miezi miwili kuanza, tayari inaonekana nyota wa Ureno na Manchester United Cristiano Ronaldo ataingia kwenye michuano hiyo akiwa mchezaji mwenye nguvu zaidi duniani kwa kuzingatia ushawishi wake kwenye mitandao ya kijamii. Ronaldo amewapiku mastaa wengine kama...
  13. OffOnline

    Je, tumfikirie Shaka kwenye nafasi ya juu? Huenda ndio kijana mwenye ushawishi zaidi Tanzania

    Wasalaam, Hebu pitia video hizo zote then njoo u-comment,Huyu kijana naona anastahili nafasi ya juu hapo baadae, Je, Wewe unaonaje? === Tazama, huu ni usiku ila vijana wanagoma kumruhusu kijana huyu aondoke
  14. C

    Tanzania inaweza kuwa na ushawishi wowote kwenye uchaguzi wa Kenya?

    Leo ni siku ya uchaguzi nchini Kenya upinzani mkali uko baina ya Laila Odinga kutoka Nyanza province na Ruto alie kua makamu wa Raisi wa Uhuru Kenyatta, ni Mkalejini Nandi province. Nchi yetu Tz ni Big brother wa Kenya na iko strategically important kwa nchi ya Kenya kiuchumi kijeshi ki eneo...
  15. L

    Nchi za Magharibi zatiwa wasiwasi na hasira na kuongezeka kwa ushawishi wa China barani Afrika

    Likiita Afrika "bara lisilo na matumaini" na kushangilia uvamizi wa Marekani nchini Iraq, jarida la The Economist la nchini Uingereza limekuwa halifichi mantiki yake ya "Eurocentrism" na "ukuu wa wazungu". Hivi karibuni, mfululizo wa ripoti zilizotolewa na jarida hilo "China barani Afrika" kwa...
  16. Ritz

    CHADEMA hawana ushawishi kwa Watanzania kuchukua Dola, ni ndoto na kujidanganya

    Wanaukumbi. Ni mtu mwenye mawazo finyu na upeo mdogo pekee anaweza kufikiria CHADEMA wana uwezo wa kuongoza taifa. Ni sawa na kulinganisha kifo na Usingizi. CCM ni chama chenye nguvu Ukanda wa Africa Mashariki, Kati hadi Kusini. Ufipa ni chama chenye nguvu Machame na maeneo ya Moshi, Hadi...
  17. Huihui2

    Rais Samia yupo kwenye orodha ya Jarida la "Time" la watu 100 wenye ushawishi duniani kwa mwaka 2022, toleo la Mei 23, 2022

    Hii ni taarifa mbaya kwa "Haters" wa Rais Samia Nyani Ngabu, Nyankurungu2020, Mzee Mwanakijiji, Etwege, Idugunde, Suzy Elias, Beatrice Kamugisha
  18. T

    Kiongozi mwenye ushawishi mkubwa ndani ya serikali ila huwezi kumjua

    Huyu ndio kiongozi mwenye ushawishi mkubwa tangu kwenye maamuzi mpaka kile anaongea Rais ktk maswala ya kitaifa ukiondoa maneno mengine Rais anaweza chomekea. Ni kiongozi ambaye huwezi kumjua wala kumdhania ndani ya Ikulu Chamwino na Magogoni. Huyu kiongozi unaweza kumjua tu kutokana na ulinzi...
  19. T

    CCM ni chama kikubwa lakini kimekosa viongozi wenye ushawishi

    Waswahili wanasema wasiwasi ndio akili. Leo nami nina wasiwasi mkubwa juu ya Chama changu. Naamini CCM ni chama kikubwa sana naweza kukifananisha na mbuyu, unaweza usikatwe na shoka lakini ikipatikana zana nzuri unakatwa. Nyakati za sasa wanaCCM wanaamini katika ukubwa wa chama kuliko uwezo wa...
  20. Kichwamoto

    Hivi Marioo anafahamu ukubwa wa ushawishi na nguvu yake kimuziki hasa Amapiano?

    Habari Wana JF. Ukiacha kwamba huyo dogo kajipambanua na Utopolo kwenye remix ya Utopolo Tamu. Dogo anajua sana na ni mfalme wa amapiano hapa TZ, chagizo langu kwa huyu dogo nwenye kunipa raha na vibes shibishi nafsi, hivi anafahamu hazina yake kwa hii niche ya muziki wa amapiano? Na anajua...
Back
Top Bottom