Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Mjumbe Kamati Kuu ya CHADEMA Taifa, Rose Mayemba amemjibu Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu baada ya kusema kwenye kampeni zake kuwa CHADEMA wameweka mpira kwapani, yaani wamekimbia uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025,
"Huwezi ukamfunga Lissu kipindi cha uchauguzi kisha ukasema Lissu ameweka mpira kwapani, umezuia shughuli za chama cha CHADEMA, wewe ndiye umekimbia uchaguzi, umeweka mpira kwapani, umepoteza ushawishi"