Natanguliza pole kwa wote waliolishwa mbwa hapo nje ya stand Msamvu. Nimefanikiwa kukagua eneo liko swari na kuna kijana anauza mishkaki halali ya nyama inayosadikiwa kuwa ya ng'ombe. Ila nilibaki na swali tu, ikiwa moro wametafuna mbwa hivyo sio zaidi Dar ambako watu wanakula hovyo vimishikaki...