Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Ushetu, Linno Mwageni amemtangaza Mgombea wa CCM, Emmanuel Peter Cherehani kuwa Mbunge wa Jimbo hilo baada ya kupata kura 103,357
Mpinzani wake, Mgombea wa ACT Wazalendo, Mabula Nkwabi Julius amepata kura 3,588 kwenye uchaguzi mdogo uliofanyika jana Oktoba 9, 2021