Kwamoto huu wa CCM Jimbo la Ushetu-Kahama Chadema mlikuwa sahihi kusogeza magoli nyuma | Hapa Shaka kule Mizengo Pinda pale Katambi huku Ditopile ni "Utajua Hujui "
"Hakuna kama Samia "
Sitaki kuongeza neno,hebu fungua mwenyewe hiyo video ili uone mafuriko ya maelfu ya watu huko Ushetu ikiwa...
NUKUU: BAADHI YA NUKUU ZA KATIBU WA NEC ITIKADI NA UENEZI CCM SHAKA HAMDU SHAKA-KAMPENI USHETU.
"Wananchi ninazo taarifa juu ya vitendo viovu vya kupambikiziwa kesi za kukamatwa na bangi vijana na wanawake vinavyofanywa na baadhi ya askari wetu wasio waaminifu wanaotaka kulitoa doa jeshi letu...
Wasimamizi wa uchaguzi mdogo wa Jimbo la Konde wametakiwa kufanya kazi kwa weledi kwa kuzingatia sheria, kanuni na maelekezo ya Tume na hivyo kuepuka kufanya kazi kwa mazoea.
Akifungua mafunzo kwa wasimamizi na wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi huo leo tarehe 08 Septemba, 2021, Kisiwani Pemba...
James Lembeli achukuwa fomu kuomba kuteuliwa na @ccm_tanzania kugombea Ubunge Jimbo la Ushetu Mkoani Shinyanga kufuatia jimbo hilo kuwa wazi baada ya kufariki aliyekuwa mbunge wa Jimbo hilo marehemu Kwandikwa https://t.co/AYKdweCptq
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema Uchaguzi Mdogo katika Majimbo ya Konde (Mkoa wa Kaskazini Pemba) na Ushetu (Shinyanga) utafanyika Oktoba 09, 2021
Wagombea watachukua fomu kuanzia 13-19 Septemba, uteuzi utafanyika Septemba 19 na Kampeni zitaanza 20 Septemba hadi 08 Oktoba
Jimbo la Konde...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.