ushindi wa medali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Jenerali Mkunda Ampongeza na Kumpandisha Cheo kuwa Sajinitaji Simbu Baada ya Ushindi wa Medali ya Dhahabu

    Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Jacob John Mkunda amempongeza Sajini Alphonce Simbu kwa ushindi wa medali ya dhahabu katika Mashindano ya Mbio za Marathon ya Dunia Kilomita 42, zilizofanyika Tokyo Japan. Pamoja na pongezi hizo, Jenerali Mkunda amempandisha cheo kutoka Sajini kuwa Sajinitaji...
Back
Top Bottom