ushiriki wa wanawake

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo asisitiza ushiriki wa wanawake katika amani ya maziwa makuu

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amesema ushiriki wa wanawake katika michakato ya amani ni muhimu katika kupata suluhisho endelevu kwa changamoto za usalama katika eneo la Maziwa Makuu, hususan Mashariki mwa Jamhuri ya...
  2. H

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Viti Maalum nafasi zinazowalea wanawake kushindwa kwenda majimboni

    Na Mwandihi wa Habari Hub Katika Kikao cha 76 cha UNGA, Baraza Kuu kwa makubaliano liliitangaza tarehe 24 Juni kila mwaka kuwa siku ya kimataifa ya wanawake katika diplomasia. Kwa azimio hilo (A/RES/76/269) Baraza kuu lilizialika nchi zote wanachama, mashirika ya Umoja wa Mataifa, mashirika...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Viti vya wanawake bungeni viongezwe mpaka 50% ili tupate akina Samia wengi wanaoongoza kwa weledi

    Wakuu, Majirani zetu nchini Rwanda tayari wametuonyesha kwamba inawezekana kubadilisha hali ya siasa inayowabagua wanawake. Wamefanikiwa kufikia asilimia 63.75 ya wabunge wanawake katika nchi yao. Sasa sisi tunakwama wapi? Ukiangalia bungeni wanawake ni 37%, hii haitoshi, maana kama wanawake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…