ushirikiano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ushirikiano huu wa 'Kinafiki' kwa Timu za Tanzania zinazoshiriki Michuano ya Kimataifa GENTAMYCINE siuafiki na siutaki

    Yaani kabisa GENTAMYCINE niishangilie Yanga SC nisiyoipenda kuliko hata Shetani Lucifer na nizishangilie Yanga B Timu za Singida Fountain Gate FC na Azam FC? Waziri Damas Ndumbaro ( ambaye nakujua ni mwana Simba SC lia lia kama alivyo Naibu wako Khamis Mwinjuma ) acha Kukurupuka katika hili na...
  2. Waziri Dkt. Ashatu Kijaji - Tanzania, China, Uturuki na Indonesia Kuendeleza Ushirikiano wa Kibiashara

    Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.) amekutana na kufanya mazungumzo kuhusu kuendeleza ushirikiano wa kibiashara baina ya Tanzania na Indonesia na Balozi wa Indonesia nchini Mhe. Tri Yogo Jatmiko Septemba 9, 2023 katika Ofisi ndogo za Wizara, jijini Dar es Salaam...
  3. Waziri Dkt. Ndumbaro Azitaka Taasisi Kuongeza Wadau wa Ushirikiano

    WAZIRI DKT. NDUMBARO AZITAKA TAASISI KUONGEZA WADAU WA USHIRIKIANO Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro ameziagiza Taasisi zilizo chini ya Wizara hiyo kuongeza wadau wa ushirikiano nje ya Serikali ili kutimiza mahitaji ya wananchi katika Sekta za Utamaduni, Sanaa na...
  4. Kikwete: Mkutano wa Taasisi ya Ushirikiano wa Elimu Duniani (GPE) utafanyika Afrika kwa mara ya kwanza

    Rais Mstaafu awamu ya nne, Jakaya Kikwete, amesema anajivunia kuwa Mwafrika wa kwanza kuongoza bodi ya wakurugenzi ya taasisi ya Ushirikiano wa Elimu Duniani (GPE), ambalo liilianzishwa miaka 20 iliyopita. Kikwete ambaye ameanza kuongoza bodi hiyo mwaka 2021 amesema baada ya kumaliza muda wake...
  5. L

    Jamii ya kimataifa yapiga “kura ya ndio” kuhusu ushirikiano wa BRICS

    Mkutano wa 15 wa wakuu wa nchi za BRICS umeanza tarehe 22 mjini Johannesburg, Afrika Kusini. Huu ni mkutano wa kwanza wa uso kwa uso wa viongozi wa BRICS katika kipindi cha miaka mitatu, na pia ni mara ya tatu kwa mkutano kama huo kufanyika tena barani Afrika baada ya miaka mitano, jambo ambalo...
  6. Usawa wa kijinsia ni msingi wa jamii imara yenye haki na ushirikiano bora wa kimaendeleo

    Kupata usawa wa kijinsia si tu suala la haki za kibinadamu, bali pia ni jambo linalochangia kwa kiasi kikubwa katika maendeleo ya kijamii, kiuchumi, na kisiasa. Katika dunia ya sasa, jitihada za kuleta usawa wa kijinsia zimekuwa kitovu cha mijadala ya kimataifa na jitihada za serikali, mashirika...
  7. L

    Joto kali duniani linathibitisha kuwa ushirikiano kati ya China na nchi za Afrika kwenye mambo ya tabia nchi ni sahihi

    Mwezi Julai mwaka huu unatajwa na wanasayansi kwa tabia nchi kuwa ni kipindi ambacho dunia imeshuhudia viwango vikubwa sana vya joto katika historia. Hali hii imefanya baadhi ya wanasayansi waliokuwa wanasita kukiri kwa uwepo wa mabadiliko ya tabia nchi duniani warudi nyuma, na wale waliokuwa...
  8. SoC03 Ushirikiano wa Serikali na Jamii katika Usimamizi Bora wa Maliasili za Nchi

    Mada: Ushirikiano wa Serikali na Jamii katika Usimamizi Bora wa Maliasili za Nchi Imeandikwa na: MwlRCT 1. Utangulizi Tanzania ina utajiri mkubwa wa maliasili za nchi, kama vile madini, mafuta, gesi, misitu na wanyamapori. Maliasili hizi zina faida nyingi kwa uchumi, maisha, utalii, tiba...
  9. L

    Ushirikiano wa kilimo kati ya China na Afrika ni wa kunufaishana

    Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) hivi karibuni limemchangua tena Qu Dongyu, mgombea wa China kuendelea kuwa mkuu wake. Kilimo ni moja ya nyanja muhimu za ushirikiano kati ya China na Afrika. Qu kuendelea kuongoza FAO bila shaka kutasaidia pande hizo mbili kuimarisha...
  10. L

    Ushirikiano kwenye sekta ya kilimo kati ya China na Tanzania kusaidia kupunguza umaskini

    Kwenye maonyesho ya tatu ya uchumi na biashara kati ya China na Afrika yaliyofanyika mjini Changsha, Mkoani Hunan, sekta ya kilimo ilikuwa ni moja ya maeneo yaliyopewa uzito mkubwa kwenye biashara na makongamano yaliyofanyika sambamba na maonyesho hayo. Licha ya kuwa sekta ya kilimo ni eneo moja...
  11. L

    Majukwaa zaidi ya ushirikiano kati ya China na Afrika yasaidia kuongeza thamani ya biashara kati ya pande mbili

    Wakati wa maonyesho ya 3 ya kimataifa ya Uchumi na biashara kati ya China na Afrika yaliyofanyika kati ya Juni 29 na Julai 2 mjini Changsha China, wataalamu wa uchumi walipitia takwimu za thamani ya biashara kati ya pande hizo mbili, ambayo imeonekana kuongezeka kutoka Yuan Bilioni 100 kwa mwaka...
  12. L

    Kushamiri kwa makampuni ya usambazaji yanayomilikiwa na watanzania kwaonesha maendeleo makubwa ya ushirikiano wa kibiashara kati ya China na Tanzania

    Kwenye maonesho ya 3 ya uchumi na biashara kati ya China na Afrika yaliyofanyika mjini Changsha, mkoani Hunan China kati ya Juni 29 na Julai mbili, makampuni ya usambazaji yalijitokeza kwa wingi yakijitangaza kwa wafanyabiashara wanaotaka kusafirisha bidhaa zao kwenda barani Afrika, na hata kwa...
  13. L

    Watu wanazidi kujionea matunda ya ushirikiano wa kibiashara kati ya China na Afrika

    Parachichi kutoka Kenya, korosho kutoka Tanzania, kahawa kutoka Ethiopia... katika miaka ya hivi karibuni, bidhaa bora zaidi za Afrika zinazidi kupendwa na wachina wa kawaida; huku barani Afrika, vijana wakiweza kununua bidhaa mbalimbali zilizotengenezwa China kwenye jukwaa la biashara ya...
  14. G

    SoC03 Kuimarisha Utawala Bora kwa Kupunguza Ushirikiano wa Kisiasa katika Uteuzi wa Viongozi wa Serikali

    Mfumo wa uteuzi wa viongozi wa serikali umekuwa na changamoto kubwa nchini kwetu. Mara nyingi, uteuzi hufanywa kwa misingi ya uhusiano wa kisiasa au urafiki badala ya uwezo na uzoefu wa mgombea. Hii imepelekea kuwepo kwa viongozi wasio na uwezo wa kusimamia vizuri masuala ya umma na kusababisha...
  15. Uvamizi wa Normandy(6.6.1944)-operesheni kubwa zaidi ya kijeshi ya Ushirikiano(US&UK)iliyosaidia kumaliza Vita vya Pili ya Dunia

    Uvamizi wa Normandy (1944) - Hii ilikuwa operesheni kubwa zaidi ya kijeshi ya Ushirikiano wa Magharibi katika Vita vya Pili ya Dunia. Uvamizi huu wa majeshi ya Marekani na Uingereza ulianza mnamo tarehe 6 Juni 1944, na ulikuwa hatua muhimu katika kumaliza vita hivyo. Uvamizi wa Normandy, ambao...
  16. China: Marekani chagua moja unataka vita ama ushirikiano?

    Mwanadiplomasia mkuu wa China amesema chanzo kikuu cha msuguano katika uhusiano kati ya China na Marekani ni "mtazamo mbaya" wa Marekani kuhusu nchi yake. Wang Yi alimwambia Blinken "hakuna nafasi ya majadiliano" juu ya Taiwan, kulingana na taarifa ya wizara ya mambo ya nje ya China baada ya...
  17. M

    SoC03 Ushirikiano wa Kimataifa unawezaje kusaidia kupambana na Mabadiliko ya tabianchi?

    Na: Mr Potocal Kwa sababu ya athari mbaya inayoonekana katika kuchukua hatua juu ya mabadiliko ya hali ya hewa, ushirikiano wa kimataifa unahitajika ili kuleta mabadiliko ya kina ambayo yatapunguza uzalishaji wa hewa chafu na kupunguza athari zinazoweza kusababishwa na mabadiliko hayo ya...
  18. Serikali ya Tanzania kuimarisha ushirikiano wake na Misri katika sekta za biashara na uwekezaji

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inakusudia kuimarisha ushirikiano wake na Jamhuri ya Kiarabu ya Misri katika sekta za biashara na uwekezaji. Hayo yamebainishwa wakati wa mazungumzo baina ya Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor...
  19. J

    SoC03 Utawala Bora chachu ya Maendeleo yasiyokoma

    Utawala Bora ni namna ya kuwaongoza watu katika namna inayofaa,kwa kutumia rasilimali za taifa husika ili kuleta maendeleo katika taifa Hilo. Utawala Bora huchochewa zaidi pale anapokuwepo kiongozi Bora. SIFA ZA KIONGOZI BORA. 1. Mwajibikaji. Kiongozi Bora huyapa kipaumbele majukumu...
  20. L

    Ushirikiano kati ya China na Afrika katika kudhibiti kuenea kwa jangwa ni wa kutekeleza Mpango wa Maendeleo Duniani

    Tarehe 17 Juni ni Siku ya 29 ya Kupambana naKuenea kwa Jangwa na Ukame Duniani. Watuwanasema kwamba China ina karata za turufutatu za kujitangaza, ya kwanza ni reli ya mwendokasi, ya pili ni ya usafiri wa anga za juu, na yatatu ni udhibiti wa majangwa. Ikiwa mojawapoya nchi ambazo zimeathiriwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…