ushirikiano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Ushirikiano wa afya kati ya China na Afrika wapiga hatua kubwa katika miaka 60 iliyopita

    Kwenye kitongoji kilichoko kusini mwa mji mkuu wa Ethiopia, Addis Ababa, kuna jengo moja la kisasa linalong'aa chini ya anga ya bluu na mawingu meupe. Jengo hili ni awamu ya kwanza ya mradi wa Makao Makuu ya Kituo cha Kudhibiti na Kukinga Magonjwa cha Afrika (Africa CDC) unaofadhiliwa na China...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    Kijana uliyeoa, hakuna njia nyingine ya kufanikiwa zaidi ya kuwa na umoja na ushirikiano na mkeo

    Anaandika, Robert Heriel Kama umezaliwa familia masikini, na unampango wa kufanikiwa/kutoboa maisha yaani angalau uwe na nyumba nzuri, Gari, na watoto waishi Maisha poa. Basi inakupasa utambua baadhi ya Kanuni. Ingawaje Watu wanasema Maisha hayana Formula lakini zipo Formula katika Maisha...
  3. L

    Uhusiano kati ya China na Afrika wavutia vyuo maarufu duniani kuanzisha utafiti wa ushirikiano kati ya China na Afrika

    Kwa muda mrefu utafiti wa kitaaluma kuhusu Afrika halikuwa ni jambo linalofikirika kwa watafiti wengi, kwani utafiti kuhusu bara la Afrika ulikuwa na wigo mdogo na matokeo yake kitaaluma hayakuwa makubwa, na hivyo utengaji wa fedha zinazohusu masomo au utafiti unaohusiana na bara la Afrika...
  4. B

    Benki ya CRDB, IFC zakubaliana maeneo sita ya ushirikiano

    Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Benki ya CRDB, Dk Ally Laay (watatu kulia), Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya CRDB, Prof. Neema Mori (wapili kulia), na Mkurugenzi wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (wanne kulia) wakiwa katika kikao na Mkurugenzi wa IFC anayesimamia ushirikiano na Taasisi...
  5. Roving Journalist

    Mkataba ushirikiano wasainiwa DIT na Taasisi ya Ufundi (CQVIE) ya China

    WANAFUNZI TANZANIA NA CHINA KUBADILISHANA UZOEFU Na WyEST DSM # Mkataba ushirikiano wasainiwa DIT na Taasisi ya Ufundi (CQVIE) ya China # Prof. Mkenda ashuhudia utiaji saini makubaliano Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda ameshuhudia utiaji saini wa makubaliano ya...
  6. L

    Ushirikiano kati ya China na Tanzania waendelea kuimarika

    Caroline Nassoro Mwaka 2013, ndani ya mwezi mmoja tangu aingie madarakani, rais Xi Jinping wa China alifanya ziara nchini Tanzania, ambako alitumia ziara hiyo kutambulisha sera ya nchi yake kuelekea bara la Afrika, akisisitiza kuwa pande hizo mbili zitaendelea kutegemeana katika nyanja zote...
  7. JanguKamaJangu

    Naunga mkono wanaokataa kutoa ushirikiano kwa Ulinzi Shirikishi wachukuliwe hatua na wapelekwe Mahakamani

    Huku mtaani kwetu suala la ulinzi shirikishi ni kama limekuwa linachukuliwa poapoa hivi, kuna wengine wao wanajiona wapo salama labda kutokana na mazingira yao ya nyumba zao kuwa na geti au kuwa na walinzi. Wengine wanaona ni ubahiri kutoa fedha kwa vijana au watu wanaofanya kazi ya kulinda...
  8. L

    Fursa zaidi za ushirikiano kati ya China na Tanzania zatangazwa wakati wa ziara ya Rais Samia Suluhu wa Tanzania nchini China

    Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania amemaliza ziara yake ya siku 3 nchini China, baada ya kufanya mazungumzo na mwenzake wa China Xi Jinping na kufikia makubaliano kadhaa, na kusaini mikataba 15 ya utekelezaji wa hatua za ushirikiano. Ziara hii imetajwa kuwa ni ziara yenye mafanikio makubwa, na...
  9. L

    Ushirikiano wa anga za juu kati ya China na Afrika watarajiwa kukua kwa kasi

    Moduli ya majaribio ya Mengtian ya Kituo cha Anga za Juu cha China Tiangong hivi karibuni ilirushwa angani na kuunganishwa kwa mafanikio na moduli kuu ya Tianhe. Kwa hatua hiyo, ujenzi wa Kituo cha Tiangong kilichoundwa na moduli za Tianhe, Mengtian na Wentian umekamilika, na ukurasa mpya wa...
  10. L

    Mwanzo mzuri kwenye ushirikiano kati ya China na Kenya katika Serikali mpya

    Ni muda mfupi sasa tangu Rais William Ruto aingie madarakani, na polepole ameanza kuweka mipango ya utekelezaji wa sera atakazozipa kipaumbele katika kipindi chake cha uongozi. Wakati vumbi la uchaguzi sasa limetua, ufuatiliaji hasa kuhusu sera za uchumi na jinsi zitakavyogusa wananchi wa...
  11. L

    China na Afrika zajenga kielelezo cha ushirikiano wa Kusini na Kusini

    Likiwa kama bara lenye idadi kubwa ya nchi zinazoendelea, Afrika inaweza kusemwa kuwa "chanzo cha msingi" wa diplomasia ya China. Ikiwa ni nchi kubwa zaidi inayoendelea na moja ya nchi za Kusini, China imefanya juhudi za kuimarisha ushirikiano wa kirafiki kati ya Kusini na Kusini na nchi za...
  12. L

    Kuheshimiana na kutafuta maendeleo ya pamoja kumekuwa msingi wa ushirikiano kati ya China na Afrika

    Katika kipindi cha miaka kumi iliyopita uhusiano kati ya China na nchi za Afrika umekuwa ukitajwa kuwa ni uhusiano wa mfano wa kuigwa kati ya nchi na nchi, na pia ni mfano wa kuigwa wa uhusiano kati ya nchi za kusini. Sababu kubwa inayofanywa uhusiano huo upewe sifa hizo, ni kuwa umejengwa...
  13. L

    Ushirikiano kati ya China na Afrika kwenye sekta ya anga ya juu wapiga hatua mpya

    Mwezi Septemba vijana katika sehemu mbalimbali za Afrika, walifanikiwa kufanya jambo ambalo hawakuwahi kufikiria hata siku moja, kuwasiliana moja kwa moja na wanasayansi wa China walio kwenye kituo cha anga ya juu cha China. Mbali na kustaajabu kuwasiliana na watu walio kwenye anga ya juu...
  14. L

    Ushirikiano wa kilimo kati ya China na Afrika umeibua fursa nyingi na kuleta ushindi kwa pande zote mbili

    Sekta ya kilimo katika bara la Afrika ni muhimu sana na inapaswa kupewa kipaumbile zaidi kwani kwa hivi sasa imekuwa ikiendelea kukua na kuleta mabadiliko mengi ya kiuchumi. Sekta hii ndio inashikilia ufunguo wa siri za mafanikio ya kuondoa uhaba wa chakula, kuleta usalama wa chakula na...
  15. CK Allan

    Mgunda na Matola wanatosha tuwape ushirikiano

    Hivi ni lini tutaanza kupenda vya kwetu! Unakuta mtu anamchukia Matola! Ukimuuliza sababu anasema amekaa muda mrefu! Hivyo tu! Tangu lini kukaa muda mrefu sehemu ikawa kosa? Lipi baya ambalo matola amefanya? Ndugu zangu tuache kuamini Kila mzungu ni Bora kuliko sisi, na kuendelea kutumia...
  16. L

    Tuendelee kusubili kuhesabiwa na tutoe ushirikiano kwa makarani wa sensa watakapotufikia

    Ndugu zangu watanzania zoezi la Sensa limeanza Leo na litaendelea katika wiki yote hii, Najuwa Kuna ambao hatujabahatika kufikiwa na makarani wa Sensa katika siku ya leo, ndugu zangu naomba tutambue kuwa sote tutafikiwa na kuhesabiwa bila kuachwa Wala kurukwa kaya yoyote Ile Ndugu zangu pamoja...
  17. benzemah

    Tanzania, Oman kuongeza maeneo ya ushirikiano

    Tanzania na Oman zimeahidi kuongeza maeneo mapya ya ushirikiano katika sekta za uwekezaji, elimu, uvuvi na utamaduni, Ahadi hiyo imetolewa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula (Mb.) alipokutana kwa mazungumzo na Balozi wa Oman nchini Mhe. Saudi...
  18. Samson Ernest

    Onesha Ushirikiano kwa Makarani wa Sensa

    Kesho 23.8.2022 ni siku ya kuhesabiwa(sensa) kwa nchi yetu Tanzania, hili ni suala la kibiblia kabisa watu kuhesabiwa wala sio suala la kisiasa. Namaanisha usichanganye siasa na Sensa, utaratibu wa kuhesabiwa umetajwa kwenye biblia (LK 2:1-5). Wala hujapingwa au kukatazwa. Nakusihi uonyeshe...
  19. Extrovert

    Wamiliki wa gari namba D tupeane ushirikiano

    Bila shaka mko poa, Kufuatia mapokezi ya mgeni mjini usajili wa namba "E" kuna wamiliki wa namba za nyuma hususani "D" ambao kwa namna moja au nyengine mngependa kuuza gari zenu kwa ajili ya kuhamia namba "E" au kwa sababu tofauti. Nitawatafutia wateja wa gari husika kutokana na network ya...
  20. L

    Miaka 20 ya Umoja wa Afrika na ushirikiano kati yake na China

    Ni miaka 20 sasa imetimia tangu Umoja wa Afrika uanzishwe, lengo kuu likiwa ni kuhimiza mafungamano ya kisiasa, kiuchumi, kiusalama, kiutamaduni na hata kwenye mambo mbalimbali ya kijamii. Katika kipindi hicho, kuna mambo mengi yameonesha kupatikana kwa mafanikio makubwa, lakini pia kuna baadhi...
Back
Top Bottom