Heri ya mwaka mpya.
Niende kwenye mada moja kwa moja, kwa dada zangu ingawa sio wote ila walio wengi. kwa wale wanaume maabaharia wanaelewa namaanisha nini ila kwa wale waaminifu kwenye mahusiano yao sio rahisi kuelewa.
Unakuta uko na mwanamke faragha kwa ajili ya shughuli moja tu ya kuvunja...
Mwaka wa 2021 janga la Covid-19 linaendelea kuathiri karibu sekta zote za uchumi na jamii duniani. Watu hawawezi kujizuia kuuliza, je dunia yetu bado ni mahali salama pa kuishi?
Tangu kuripotiwa kwa virusi vya Corona barani Afrika, zaidi ya watu milioni saba wameambukizwa virusi hivyo, japokuwa...
Wanabodi,
Hili mada ya ushauri wa bure kwa Chadema, nimesoma humu kuwa wamesusia mkutano wa kesho wa vyama vya siasa kule Dodoma kwa hoja mpaka kesi inayomkabili Mwenyekiti wao ifutwe. Nawashauri ndugu zangu Chadema, wasisuse unless wana uhakika, kwa kususa kwao, kuna something tangible, they...
Mkutano wa 8 wa Mawaziri wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) umefanyika hivi karibuni mjini Dakar, Senegal. Tangu kuanzishwa kwa jukwaa hilo, ushirikiano kati ya China na Afrika umepata mafanikio makubwa, na kuwa mfano mzuri kwa ushirikiano wa kimataifa na Afrika.
Ili...
Mradi wa kuzalisha umeme kwa jua uliowekezwa na Mfuko wa Maendeleo wa China na Afrika nchini Afrika Kusini
Katika miaka ya hivi karibuni, athari mbaya za mabadiliko ya tabia nchi katika bara la Afrika zinaongezeka siku hadi siku, na kuwa “mwuaji asiyeonekana” wa kundi la wanyonge. Kwa mujibu wa...
Kampuni ya China Telecom inasaidia utoaji elimu kwenye mtandao wa internet kupitia mikonga ya mawasiliano iliyojenga barani Afrika
Hivi sasa, uchumi wa kidigitali umetajwa na nchi nyingi za Afrika kama sekta muhimu ya kufufua uchumi, kutafuta maendeleo ya ubunifu na kuboresha maisha ya watu...
Mkutano wa 8 wa mawaziri wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika FOCAC ulifanyika tarehe 29 na 30 mjini Dakar, Senegal. Rais Xi Jinping wa China hapa Beijing amehudhuria ufunguzi wa mkutano huo kwa njia ya video na kutoa hotuba akisema, China na Afrika zimetoa mfano wa kuigwa katika...
Hivi karibuni waziri wa mambo ya nje wa Marekani Anthony Blinken alitembelea nchi tatu za Afrika, Kenya, Nigeria na Senegal. Katika ziara hiyo, alijaribu tena kuichafua matope China ili kuimarisha ushawishi wa Marekani barani Afrika, lakini China na Afrika haziwezi kutenganishwa kutokana na...
Hivi karibuni, shirika maarufu la uchunguzi wa maoni la Afrika la Afrobarometer limetoa ripoti ya uchunguzi wa maoni, ikionesha kuwa ushawishi wa China barani Afrika unashika nafasi ya kwanza duniani, mbele ya Marekani, mashirika ya kikanda, mashirika ya Umoja wa Mataifa na Umoja wa Afrika. Haya...
Na Caroline Nassoro
Huu ni mwaka wa 21 tangu Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) lilipoanzishwa. Katika kipindi hicho, mambo mengi yamefanyika na kuimarisha uhusiano na ushirikiano wa pande mbili za China na Afrika.
Mkutano wa kwanza wa ngazi ya mawaziri ulifanyika mjini...
Na Caroline Nassoro
Mkutano wa mwaka huu wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) unatarajiwa kufanyika mjini Dakar, Senegal, kuanzia tarehe 29 hadi 30 Novemba, mwaka huu.
Kaulimbiu ya mkutano huo kwa mwaka huu, ni “Kuimarisha Uhusiano wa China na Afrika na Kuboresha...
Na Fadhili Mpunji
Katika muda mrefu miaka karibu mitano sasa, mawasiliano kati ya China na Marekani yamekuwa katika hali ambayo wachambuzi wengi wameiita si ya kawaida. Tangu Rais Donald Trump alipozusha mvutano usio na maana na China, mawasiliano ya kidiplomasia na hata uhusiano wa kiuchumi...
Na Kelly Ogome
China ni mshirika mkubwa wa kibiashara na kimaendeleo wa nchi za Afrika. Pande hizi mbili zina uwezo mkubwa wa ushirikiano katika nyanja za miundombinu, uchumi wa kidijitali na huduma za kifedha.
Takwimu iliyotolewa na serikali ya China inaonyesha kuwa, kuanzia Januari hadi...
Serikali imeanza mchakato wa utafiti wa kuwapima afya baadhi ya watu waliopata chanjo ya kuzuia Uviko-19 ili kujua maendeleo ya afya zao.
Lengo la utafiti huo ni kubaini mwenendo wa afya za waliochanjwa ili kuona wastani wa kinga zao na namna wanavyoweza kujikinga.
Kauli hiyo imetolewa leo...
Wikiendi hii iliyopita, chombo cha kubeba binadamu cha anga za juu cha Shenzhou-13 kilifanikiwa kuwapeleka wanaanga wengine watatu katika Kituo cha Anga za Juu cha China. China ni nchi kubwa zaidi inayoendelea duniani, na maendeleo yake kwenye sekta ya safari ya anga za juu ni hamasa kubwa kwa...
Katika miongo kadhaa iliyopita, ujenzi wa reli umekuwa sehemu muhimu ya ushirikiano wa kirafiki kati ya China na Afrika. Kuanzia Reli maarufu ya TAZARA iliyojengwa zaidi ya miaka 50 iliyopita hadi Reli ya SGR ya Kenya, Reli inayounganisha Addis Ababa na Djibouti, na Reli ya Abuja–Kaduna ambazo...
Hii nafasi naona itamfwaa sana huyu baba maana kila sifa anayo
Kuanzia uwezo wa kuzungumza vizuri lugha ya wazungu,ufahamu mzuri wa sheria za kimataifa,kuielewa dunia,kufahamiana na wakubwa & ujasiri wa kukabiliana na mtawala katili kuliko wote kwenye historian ya Tz
Maonyesho ya kimataifa ya biashara ya Guangdong awamu ya 130 ambayo ni maarufu kwa jina la Canton Fair yamefunguliwa tarehe 15 Oktoba mjini Guangzhou. Maonyesho haya yanatajwa kuwa ni maonyesho ya muda mrefu zaidi na endelevu zaidi kati ya maonyesho yote ya kimataifa ya biashara duniani hadi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.