Karibuni wakuu,
Watu wamefanyiwa ndumba sana hadi kufanya mambo yao yaharibike, wengine walishtuka ila wengine ndio hivyo mazima walipotea katika giza waliloletewa
Wataalamu watuambie hii ni artificial intelligence au ni kweli? Je cameras zinawezaka record wanga,misikule n.k ikiwa kwa macho ya nyama hawaonekani? Yaani mfano ukaamua uweke cctv camera nyumbani chumbani mwako. Inaweza mrecord mwanga?
Je hii video ni halisi au AI?
Kuna jambo limenishangaza jana la kitendo cha ball boys kuiba begi la golikipa wa TP Mazembe na kukimbia nalo.
Kilichonishangaza zaidi ni kitendo cha Rais wa Yanga Hersi Said ambaye pia ni kiongozi anayetafuta heshima Afrika akiwa anashikilia cheo cha Mwenyekiti wa Taasisi ya Vilabu kuwapongeza...
Kuna kikundi Cha wahindi wanatembelea maeneo ya wafanyabiashara wa Pesa za mitandao (mobile money) na kuwaibia kwa njia ya viinimacho (chuma ulete).
Wako kikundi la watu zaidi ya watatu kwenye gari ndogo. Wamefanya matukio Goba na Tegeta.
Chukua tahadhari.
Tanzania ni nchi huru kidini na kiimani, kila mtu yuko huru kufanya mambo ya kiimani anayoona yanamfaa,
Sasa kwa nini kwenye mpira wachezaji wakifanya matendo ya ibada ya dini mbili za Ukristo na Uislamu ni sawa lakini wakifanya vitendo vinavyoitwa vya ushirikina, ulozi, uganga, matambiko au...
Kijana mmoja anayeitwa Kimario amekutwa na ndoo 6 za kinyesi, chupa sabini za mkojo ndani Arusha, ushirikina watajwa
=====================================
Depression - hali hii humpata mtu yeyote yule kutokana na kuwa na huzuni / majuto muda mwingi kwajili ya matukio ya kijamiii, familia...
Kwa ushirikina uliokithiri kariakoo huenda sadaka ya damu imehusika ukizingatia tunaelekea mwisho wa mwaka ,maagano au makubaliano ya kisheitwani lazima yatimie.
Moja kwa moja kwenye mada husika
Mimi nilichogundua hii jamii forums ya sasa siyo ile niliyokuwa ninaijua kipindi ilipoanzishwa. Nina uhakika mada fikirishi, mada makini zingepata machangio/reactions lukuki na hoja mbadala za kupinga au kusupport hoja. Nakwambia kwenye mada fikirishi zilikua...
PENYE UMASKINI NDIPO UTASIKIA MITIZAMO MINGI YA KISHIRIKINA.
Kuna sababu nyingi za watu kuwa washirikina na kati ya sababu hizo umaskini ni moja wapo.
Umaskini wa mawazo na kifedha ni sababu kubwa sana nyuma ya washirikina.
Kwenye umaskini ndio utasikia wengi wakianguka mapepo, kulalamika...
Huyu ndiye Dada Jonais (Mzaliwa wa Mwika Kilimanjaro) aliyekutwa ameuwawa msituni huko Korogwe, na pembeni ni mtoto wake ambaye pia alichomwa moto kwenye tukio hilo hilo. Kwenye kadhia hiyo pia binti wake wa kazi nae aliuwawa, naarifiwa anazikwa Tanga leo pia.
Huku Kilimanjaro pia walikuwa na...
Salaam!
Ndugu nawaletea ushuhuda wenye 100% ,mwaka jana katika pita pita za kutafuta maisha nikaamua nijiweke kwenye umeneja wa wanamziki ,nkazama mtaani nkaibua vipaji viwili ,ilikuwasapoti kwanza nikawapa nyumba ya kuishi tegeta ni ya kaka yangu yuko nje na huwa hataki ipangishwe ,nikawapiga...
Hili kundi la hawa wazee waliovaa nguo nyeusi na nyekundu sijawaelewa maana wamepiga Ngoma zao na mikia ya kiganga kwa zaidi ya dakika 40.
Baada ya hapo wakaanza kuvunja nazi , mayai na kupiga vibuyu vyao mikia ya fisi.
Ghafla mama akashuka stejini na kwenda kwenye lile eneo lenye vibuyu na...
Copy&paste👇umakini unahitajika sana.
Nyie mwenzenu 😭😭😭😭😭😭natamani kulia mimi yamenikuta
Mwenzenu nipo kwenye mahusiano na kaka mmoja mkoa fulani. Yeye ni mfanya biashara mkubwa tu wa mbao Malawi kuleta Tanzania
Miaka mingi nipo nae sijawahi kuona maajabu Kama niliyoyaona jana. Nyie mwenzenu...
Hizi tetesi tu, inasemekana mauza uza yamekuwa mengi ndani ya club siku chache zilizopita. Njiwa wamekuwa wakionekana ndani ya ofisi ya idara japo madirisha na milango imefungwa. Bundi, na wakati mwingine kuku imechinjwa halafu inakutwa ndani ya meza ya Ally pamoja na madawa ya kishirikina
Kuna kipindi kulitokea janga la uchunaji wa ngozi za binadamu.
Likaja janga la kutolewa viungo vya mwili kwa ndungu zetu wenye albinism.
Sasa ni kuna taharuki kuhusu uibaji wa watoto. Ingawa jeshi la polisi lime downplay taharuki hii kusema ni za kizushi ila bado pia inatakiwa tuwe makini kwa...
Zaidi sana utapoteza muda na fedha zako, tena kwa fedheha sana, ukiwa na elimu ya madigrii kadhaa ya kitaaluma wakati mganga hata darasa la saba hajamaliza.
Mganga hawezi na wala hana uwezo wa kukupatia uongozi wa wananchi, bali atakutisha tu kwa kukuhimiza kufanya bidii kutafuta kura kwa...
Wadau hamjamboni nyote?
Naambiwa kuwa mikoa/ Wilaya/ kata/ vijiji vyote tanzania vina Imani za Ushirikina/uchawi
Ndugu kama huo ndiyo ukweli kuwa Imani hizo za Ushirikina ziko maeneo yote nchini,
Swali langu kwanini baadhi ya Mikoa
imepiga hatua kubwa kimaendeleo na watu wake wamestawi...
Hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la vijana mashoga au mabwabwa au mchicha mwiba tena ajabu zaidi vijana hawa wanaonyesha kuwa na maisha makubwa wanaishi kwenye apartment za masaki, osterbay na kigamboni mnajua siri ya hao vijana.?
Kuna wafanyabiashara na viongozi mbalimbali wanawatumia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.