ushoga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwamuzi wa Tanzania

    Koki za kujisafishia chooni huenda zikawa chanzo kimojawapo cha kuongezeka kwa ushoga

    Hizi koki za kisasa za kujisafishia chooni baada ya kujisaidia wengine tumeziona ukubwani. Naamini si za kisasa, mimi naziita za kisasa kwakuwa nimeanza kuziona ukubwani. Nimewaza tu hapa kwa mtoto mdogo anayependa kuchezea maji pindi anapokuwa chooni akijipiga maji kupita kiasi sehemu ya haja...
  2. Webabu

    Uturuki yajiondoa kwenye Mkataba wa Kimataifa kuwalinda Wanawake, unachochea talaka na ushoga

    Serikali ya raisi Tayep Erdogan imejiondoa rasmi kwenye mkataba wa kimataifa unaotaka kuwalinda wanawake dhidi wa matendo ya udhalilishwaji. Hatua hiyo imetajwa kuwa ni ushindi mkubwa wa viongozi wahafidhina wa chama cha AK kinachoongozwa na Rais huyo wakishutumu mkataba huo kama kichocheo cha...
  3. Sang'udi

    Ushoga: Kanisa Katoliki lakataa kuubariki

    Katika hatua ambayo itawahuzunisha wengi wanaopinga Kanisa Katoliki, wasiolipenda na wanaoliombea mabaya; Mama Kanisa amekataa kutoa baraka kwa miunganiko ya jinsia moja (ushoga) kwa sababu ushoga ni dhambi na Mungu hawezi kubariki dhambi. === The Catholic Church does not have the power to...
  4. D

    Tuliporuhusu sera ya 50 kwa 50 dhidi ya wanawake tulikosea

    Katika Sera mbovu Viongozi walizokosea, ni hii Sera ya 50 kwa 50! Mtakumbuka mwanzoni mwa miaka ya tisini na mapema miaka ya 2000; Sera ya elimu ilianza kuwabeba wanawake kwenye ufaulu! Wanawake waliopata madaraja ya chini ya ufaulu (lower division), walipewa kipaumbele cha kuchaguliwa...
  5. D

    Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Kama Serikali ya CCM inapinga kweli ushoga basi ikafute kipengele cha Katiba kinachoinyima Serikali kuingilia faragha ya mtu

    Tundu Lissu akiwa Arusha leo asubuhi imeibuliwa tena hoja ya ushoga na huu ndiyo msimamo alioutoa "Wanaleta vihoja kuwa naunga mkono ushoga, katiba ya JMT inasema kila mmoja ana haki ya kulindiwa faragha yake, naunga mkono msimamo huo wa Katiba, siyo kazi ya Serikali kuchungulia kwenye vyumba...
  6. Nyani Ngabu

    Tundu Lissu azungumzia tena ushoga. Nakubaliana naye!

    Hapa Tundu Lissu ana hoja nzuri kabisa. Ninakubaliana naye 💯/💯! Serikali yetu ijikite kwenye mambo ya msingi. Iachane na mambo ya faragha za watu. Bravo bravissimo Mheshimiwa Tundu Lissu.
  7. Corticopontine

    Ni wakati mwafaka wa mataifa ya Magharibi kuacha kuukumbatia ushoga, ni dhambi kubwa mno inayomchukiza Muumba wetu

    Inaumiza sana tena sana kwa wanadamu walioumbwa kwa mfano wa Mwenyezi MUNGU kutenda dhambi ambazo zinamshangaza mpaka shetani. Uume uliumbwa kwa ajili ya kuingizwa kwenye uke kupitisha manii ambayo hutumika kurutubisha yai la mwanamke. Unapohalalisha mwanadamu aingize uume wake sehemu ya nyuma...
  8. Influenza

    Madiwani 11 wa CHADEMA wakiongozwa na Meya wa Jiji la Mbeya wahamia CCM

    Katibu Mkuu wa CCM, Bashiru Ally amesema kati ya Madiwani hao, 10 ni Madiwani wa Kuchaguliwa na Mmoja ni wa Viti Maalumu huku timu hiyo inayoongozwa na Meya ikiwa na Viongozi Watatu wa Juu wa CHADEMA. Amesema kuwa Madiwani hao wanatoka katika Jiji la Mbeya kwenye Halmashauri inayoongozwa na...
  9. Analogia Malenga

    Rais wa Senegal asema nchi hiyo hairuhusu ushoga

    RAIS wa Senegal Macky Sall ametetea hatua ya taifa lake kupiga marufuku mapenzi baina ya watu wa jinsia moja, wakati wa ziara ya Waziri Mkuu wa Canada Justin Trudeau. Mataifa 28 kati ya 49 yaliyoko Kusini mwa janga la Sahara yameweka sheria zinazopiga marufuku shughuli kama vile ushoga na...
  10. J

    Askofu Gamanywa: Makonda yuko sahihi Ushoga umekatazwa kwenye Biblia, wananchi acheni kushabikia dhambi

    Askofu Gamanywa ambaye ni mjumbe wa kamati ya amani na juzikati aliliombea taifa pale Ikulu katika utiaji saini mkataba wa Barrick na Serikali amesema Marekani inamuonea Makonda. Askofu Gamanywa amesisitiza kuwa ushoga ni katazo mbele za Mungu na ni dhambi isiyosameheka. Gamanywa amedai kuwa...
  11. TataMadiba

    Wazungu wana akili, wameweka mtego, wakifanikiwa hili la mimba mashuleni wanakuja kwenye lengo lao hasa, Ushoga!

    Ndiyo wanajua kuna Watanzania Majuha wanawaunga Mkono . Najiuliza hivi hawa Watoto wanaopata ujauzito Mashuleni wameanza kuzuiliwa kurudi awamu hii? Nakumbuka wakati nasoma kuna wanafunzi walikuwa wakipata ujauzito, wanachukuliwa na gari la shule chini ya ulinzi wa Matron wa shule na Polis hadi...
Back
Top Bottom