ushoga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sakata la Diddy limeonesha wengi wanachukia masuala ya ushoga

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Sakata hili limerahisisha Sana kujua kuwa hata mashoga waliopo Duniani hawapendi kuwa vile walivyo isipokuwa kûna Ñguvu ya ziada zinawalazimisha kufanya Yale wanayoyafanya. Mataifa Makubwa na Watu wengi wa Ulimwengu wa Kwanza wamekuwa Mstari wa mbele Kúpigania...
  2. Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

    Miaka michache ijayo sijui kama kutakuwa na wanaume hapa Dar! Nasema haya kwasababu mashoga wanaongezeka kwa kasi sana, ushoga umekuwa ni jambo la kawaida hapa Dar. Sidhani kama kuna mtaa Dar ambao hauna mashoga, Mungu atunusu maana kwasasa mashoga wa sasa sio kama kipindi cha nyuma. Wa sasa...
  3. Je, ni kweli Makonda aliacha vita ya ushoga kwa sababu hii anayoisema maalim

    Maalim anasema Makonda aliacha harakati za kupinga ushoga kwa sababu ya mashoga kuanza kuwataja mabasha wao ambao hali ilikuwa mbaya. Je ni kweli?
  4. S

    Hivi ndivyo taifa langu litaweza kutokomeza ushoga taratibu

    Habari wapendwa! Leo naomba kuwapeni tafakari kuhusu ushoga halafu nyinyi kama wataalam mtaona namna ya kuliweka kisomi. Utaratibu wa kuwatahiri watoto wakiwa wachanga ni moja ya pigo kubwa sana linalochangia kuondoa uvumilivu katika nafsi ya mtu. Iko hivi ujasiri ni mbegu inayopandwa na...
  5. Mnaopinga Ushoga kwenye Mitandao,Je Siku Bunge likipitisha Sheria za Kuwalinda Mashoga mtatoka hadharani kuandamana kuipinga?

    Mada na hoja sensitive kama hizi huwa (ga) sihitaji kutoa salamu! Huwa nawashangaa watu wanaojiita "Wapinga Ushoga",wengi wao ni Keyboard Warriors ila sijawahi hata siku moja kuona wanaandamana na mabango huko mitaani wakipinga vitendo vya ushoga! Swali ni Je,Siku Bunge la Tanzania likipitisha...
  6. Chanzo ambacho hakisemwi cha ongezeko la ushoga ni ushirikina, wazazi wachungeni sana vijana wenu wa kiume

    Hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la vijana mashoga au mabwabwa au mchicha mwiba tena ajabu zaidi vijana hawa wanaonyesha kuwa na maisha makubwa wanaishi kwenye apartment za masaki, osterbay na kigamboni mnajua siri ya hao vijana.? Kuna wafanyabiashara na viongozi mbalimbali wanawatumia...
  7. A

    SoC04 Tanzania Bila Ushoga na Usagaji: Njia za Kupambana na Majanga Haya kwa Maendeleo ya Taifa lenye Maadili Bora

    Katika ulimwengu wa leo, changamoto zinazohusiana na mabadiliko ya kijinsia na mwelekeo wa kingono zinazidi kuongezeka, zikihusisha masuala kama ushoga na usagaji. Tanzania, kama nchi yenye historia tajiri ya utamaduni na maadili, inakabiliwa na changamoto ya kulinda na kuimarisha maadili yake...
  8. R

    Masheik mahubiri ya maadili yasiishie kwenye ushoga, jumuisha HAKI, WIZI WA MALI ZAUMMA- REPORT ZA CAG, siasa safi, uongozi bora na mambo kama hayo

    Mahubiri yenu yanaikumbatia serikali. Hubirini HAKI, wizi wa mali za Umma , uuzwaji wa rasilimali za nchi, MaDc, RC, kuwaonea watu , report za CAG na vitu kama hivyo. Maadili si ushoga/ubakaji tu. Hubiri na kusema uongo si maadili ( Magufuli yuko ofisini anachapa kazi, kumbe yuko mortuary)...
  9. Makonda alipopigana vita dhidi ushoga na madawa ya kulevya mlisema anadharirisha watu. Leo hii mnalialia nini?

    Mara mtandao wa X ufungwe mara vijana wanajiharishia kwenye mabasi ya mwendo kasi. Mara hoo wanavaa pampasi. Sasa kwa nini mlimdhihaki na kumpinga Makonda. Shujaa anayefuata nyayo za Shujaa wa Afrika?
  10. C

    Papa Fransis kikaangoni tena, arudia kauli yake dhidi ya ushoga kwenye kikao cha faragha

    Roma — Papa ametumia tena neno la dharau dhidi ya mashoga ambalo tayari alikuwa ameomba msamaha mwezi uliopita, shirika la habari la ANSA lilisema Jumanne. Vyombo vya habari vya Italia vilihusisha papa kutumia neno chafu la Kiitaliano linalotafsiriwa kama "f*****ry," tarehe 20 Mei wakati wa...
  11. G

    Hivi serikali iko serious na vita ya ushoga ama inatafuta kiki za kisiasa tu?

    Ndugu watanzania jambo lolote lililoharamishwa nchi hii huwa limetungiwa sheria kali. Na yeyote atakayelishabikia ama kulitenda jambo hilo huangukia kwenye mikono ya sheria. Si mnaona mimea ya bangi inavyokatwa na wakulima wake wanavyokamatwa? Si mnaona wapika gongo na wanywa gongo...
  12. SoC04 Suluhu ya Ushoga nchini; Historia yangu binafsi na mbinu mbadala

    Awali ya yote, naomba nieleze historia yangu kwa ufupi. Nia na madhumuni niweze kujenga picha ya jumla katika lengo zima la uzi huu. Nilizaliwa katika mkoa wa Mwanza nchini Tanzania, Baba yangu alikuwa Polisi na mama yangu alikuwa Mama wa nyumbani. Wazazi wangu kwa pamoja walinipenda sana...
  13. Sauti ya mamlaka ya raia namba moja Rais Samia ndiyo pekee inaweza kutupatia tiba

    Habari wanadodi, Nadhani sote kwa pamoja tumeshuhudia siku za hivi karibuni ongezeko la machapisho au taarifa mbalimbali za kuhamasisha/kupinga mmomonyoko wa maadili. Jana Mkoani Tabora kwa mujibu wa Channel ya Wasafi media, Mkuu wa mkoa amekamata shehena ya vitabu vinavyohamasisha ushoga na...
  14. Vitabu vinavyohamasisha mapenzi ya jinsia moja vyakamatwa Tabora

    Serikali Mkoa wa Tabora imekamata shehena ya vitabu vyenye machapisho ya kufundisha na kuhamasisha vitendo vya mapenzi ya jinsia moja kwa wanaume na wanawake ambavyo vilikuwa mbioni kuanza kusambazwa katika shule za msingi na sekondari Wilayani Kaliua kupitia Taasisi isiyo ya kiserikali ya...
  15. T

    Papa Francis aomba radhi baada ya ripoti kudi alitumia lugha ya chuki kwa wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja

    Hizi majuzi Papa Francis amelazimika kuomba radhi hadharani baada ya taarifa kuvuja kwamba kwenye kikao cha hivi karibuni na makadinali 250 wa Italia, Papa alitukana mashoga. Kwenye kikao hicho binafsi Papa Francis alitumia maneno makali sana dhidi ya mashoga na ushoga. Zaidi Papa alionya...
  16. MUFTI MKUU WA OMAN: Tunaipongeza Serikali ya Tanzania kwa hatua nzuri iliyochukua ya kupiga marufuku USHOGA

    Allah atuongoze, hakika ushoga ni udhalili wa kupindukia.
  17. Kwa nini Rais hajakemea Ushoga badala yake anasema maadili?

    Kila wakati naangalia wabunge wanajadili nini. Kama kawaida wanamwaga sifa kwa rais. Hili la USHOGA wanatoa sifa za uongo. Rais hajakemea ushoga hata siku moja. Yawezekana ana lake kichwani lakini hajawahi. Neno analotumia ni MAADILI ambalo halimaanishi USHOGA. Ninachotaka kufahamu, ni kwa nini...
  18. Watendaji wapigaji na wezi wa Mali za Umma ni kioo cha aliyewateua

    Duniani kokote kule haijawahi tokea kiongozi wa nchi awe msafi kama Pamba then akubali kufanya kazi na Panya. Hiawezekani kamwe. Watendaji wapigaji wanawakilisha kisawasawa tabia ya alie wateua. Historia ya Raisi San Abach inaonyesha kwamba hata watendaji wake walikuwa ni wapigaji vibaya mno...
  19. Jinsi ya kupambana na ushoga kwa kutunga sheria kali zinazo zuia mavazi ya kike kuvaliwa na Wanaume na Wanaume kuigiza kama Wanawake

    Mhe. Dr. Gwajima, Dkt. Gwajima D Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mheshimiwa Waziri, Kwa heshima na taadhima, ninakuletea maoni yangu kuhusu jinsi ya kupambana na suala la ushoga katika jamii yetu. Naamini kuwa moja ya njia muhimu za kukabiliana na tatizo hili...
  20. Joseph Musukuma: Wazungu wanatuwekea ushoga kwenye chanjo; haiwezekani binti wa miaka 10 avae sidiria

    Wakati akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Afya bungeni Dodoma, Dr Msukuma ameshangaa mabinti wa miaka 10 tu kuwa na maziwa yaliyotutumuka kiasi cha kuhitaji kuvaa sidiria. Amedai utafiti huo ameufanya huko mashuleni na kuwaomba wabunge wengine nao waende wakafanye ili kujiridhisha. Sitaki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…