ushuhuda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hammer11

    Huu ushuhuda wanga msitembee na wanawake wa karibu na mnapoishiii

  2. Magical power

    Ushuhuda wa kuogeshana na mpenzi

    Kaka Magical power nina ushuhuda kuogeshana Umekuwa ukiandika kuhusu kuoga pamoja na mtoto wa mtu. Nilikuwa sipendi kabisa kuoga na mwanamke leo ukawa umeandika tena nikasema nitajaribu ili nione alipoingia bafuni nikamgongea mlango akafungua nikaingia kuoga Nikamwambia naomba uniogeshe huku...
  3. Hypersonic WMD

    Unaweza toa ushuhuda wa hivi?? Kuna watu ni majasiri

    Wakuu, Ivi ww unaweza sema hivi hata kama ni kweli?? Kua mkweli
  4. Jackwillpower

    USHUHUDA WAKUTISHA WA PASTA CHIDUBEM OKWU

    USHUHUDA WA PASTOR CHIDUBEM OKWU ALIYEENDA MARINE KINGDOM KUJIPATIA NGUVU KUTOKA KATIKA FALME ZA GIZA ILI AWE MTENDA MIUJIZA MIKUBWA KANISANI KWAKE NA APATE WATU WENGI. Maana ya huyu mchungaji sio kupublish ujumbe huu kwa kusudi la kusomwa na watu wote,ila alikuwa anamwandikia huyu mwandishi...
  5. Melancholic

    Ushuhuda wangu katika mahusiano ya kileo

    Napitia kipindi kigumu sana kwenye mahusiano aisee mimi ni kijana 25+nimekuwa nikitamani sana kuwa kwenye mahusiano ofcourse nilikuwa nipo na mahusiano na mdada mmoja but atukudumu sana sababu ni gold diger hivyo nikaamua kumuacha kwa usalama wa pesa zangu na malengo yangu. Baada ya kukaa muda...
  6. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Mliowahi kufanya mapenzi kwenye usafiri (Safarini) njooni mtupe ushuhuda hapa

    Wakuu kama mjuavyo kuwa Dunia ina mambo baadhi ya mambo yenyewe ndo kama haya,. Kuna mambo ambayo wewe unaweza kuyaona hayawezekani kumbe kwa wenzio ni kawaida kabisa. Mfano mimi hapa huwa naona haiwezekani kufanya mapenzi wakati chombo cha usafiri chochote kikiwa kinaendelea na safari...
  7. L

    Jengo jipya la Bunge la Cameroon ni alama ya ushuhuda wa urafiki wa kunufaishana kati ya China na Cameroon

    Hivi karibuni, China imekabidhi funguo za jengo jipya la Bunge la Cameroon kwa Spika wa Bunge hilo, Cavaye Yeguie Djibril katika hafla iliyohudhuriwa na maofisa wa serikali, wanadiplomasia, na wageni wengine waalikwa. Spika Cavaye amesema, jengo hilo ni kubwa zaidi, zuri zaidi na lenye kuvutia...
  8. J

    Dr Nchimbi apongeza Kasi ya Uokoaji Kariakoo na kusema iongezwe zaidi, asema CCM iko tayari kutoa Msaada wowote utakaohitajika!

    Salaam za Katibu Mkuu wa CCM Dr Nchimbi: 1. Shukrani Kwa Wananchi kwani Wao ndio walikuwa wa kwanza kufika na kuanza Uokoaji 2. Shukrani Kwa Vyombo vyote vya uokozi vinavyoendelea na kazi ya uokozi 3. Shukrani Kwa Waziri Lukuvi Kwa kusimamia zoezi muda wote Bila kuchoka 4. Shukrani Kwa RC...
  9. T

    Aliyetumia Min Power Tiler atupe ushuhuda

    Kuna modal ya Min Power Tiler nimeiona ikitrend. Imeundwa kwa injini ya piki piki. Je inaweza kazi au haiwezi. Naomba alieitumia anipe ushuhuda. Picha kwa niaba ya TIKTOK.
  10. J

    Uchaguzi 2020 Ushuhuda wa Deogratius Mahinyila, kijana aliyegombea Udiwani akaishia kushtakiwa kwa uhujumu Uchumi

    ..Ni wakili msomi Deogratius Mahinyila. ..anaeleza dhuluma aliyofanyiwa ktk uchaguzi wa 2020. https://www.youtube.com/watch?v=w8DGtcdh9qc
  11. G

    Biashara kiganjani, Hivi ndivyo unavyoweza kunasa wateja kwa kutumia internet na kujiingizia kipato,

    moved jukwaa la biashara
  12. A

    Mshuhudie Mungu alichokutendea hapa

    Amazing GOD Bwana Yesu asifiwe... Lengo la Uzi huu ni ushuhuda ,Kwa yeyote mwenye ushuhuda wa namna ambayo amekutana na mkono wa MUNGU katika maisha yake, anakaribishwa sana kushuhudia. Binafsi Kuna mengi MUNGU kanitendea ila siwezi kuyaeleza yote. Baada ya kuhitimu masomo yangu ya chuo...
  13. fakhbros

    Ushuhuda wa mapenzi makaburini

    Wazazi wangu walikuwa wameoana kwa miaka 55. Asubuhi moja, mama yangu alikuwa akishuka chini ili kuandaa kifungua kinywa cha baba, alipatwa na mshtuko wa moyo na akaanguka. Baba yangu alijitahidi kadiri alivyoweza ili kumnusuru alimburuta hadi alipo lifikia gari lao dogo na kumpakia ndani...
  14. U

    Ushuhuda: Mchungaji wetu amekiri alikuwa mvuta bangi akiwa mtumishi wa Kanisa, alibatizwa mara mbili, sasa ameacha bangi kabisa

    Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika Je ni sahihi mchungaji kukiri kuwa alikuwa mvuta bangi mbele ya waamini wake? Asubuhi njema
  15. The unpaid Seller

    Ushuhuda: Usinunue ardhi yenye makaburi kamwe

    Peace, (Mods naomba msibadili tittle ya uzi huu pia nitashukuru kama hamta uunganisa. Asante) Wakuu, (hasa vijana) ardhi bado zipo nyingi sana maeneo tofauti na za kila aina, unapotaka kununua ardhi KAMWE usinunue ardhi yenye makaburi. Wenye makaburi wana haki na kwa hakika watakuja...
  16. Pang Fung Mi

    Ushuhuda; Kutokana na wimbi kubwa la Pisi Kali nimejikuta naukata mzizi wa Ubahiri bila Shuruti

    Shalom, Acha ukweli usemwe na pia acha ushuhuda uwekwe bayana. Binafsi kwa muda mrefu sana nimekuwa bahili hatari na nusu, ila uoto asili uliopo maeneo mbalimbali ya Tanzania umepindua meza ya ubahili. Pasipo shuruti nimejikuta napata upako wa kutoa pesa maana si kwa utitiri wa pisi kali za...
  17. KAJOBO

    Ushuhuda kwa yeyote aliyefanikiwa kupata mme au mke hapa

    Habari Wana Jf Natumai mko salama Nimekaa nikawaza mengi, kwenye jukwaa hili ni wengi waliotoa post za kutafuta mke au mme nikiwemo na mie😊 Lakini Cha kushangaza sijawahi Kuona mirejesho ya members wakifunga ndoa au hata kuja kutoa taarifa za kupata Sasa swali ni je hili jukwaa halisaidii ama...
  18. M

    Ni jambo la hatari sana kutoa ushuhuda wa uongo!

    Hali hii naona ifike mahali itazamwe kwa jicho la tatu. Ukiwatazama hawa wanaojiita Mitume hasa kwa hapa DSM, kwa kweli kuna utata mno kwao, na kwenye baadhi ya shuhuda za wafuasi wao. Kwa akili ya kawaida tu ni wazi kuna watu wafuasi wanatoa shuhuda za uongo na sijajua ni kwa maslahi ya nani...
  19. Eli Cohen

    Kitabu cha TOBA kina msaada mkubwa kiroho. Mimi Nina ushuhuda.

    Kitabu kinaitwa TOBA na kimeandikwa na Mai Godrey. Ni kitabu chenye sala za TOBA za aina nyingi ambazo ukizisali kwa Imani na utulivu unatengeneza ukaribu na Mungu wako. Kuna wakati nilipitia changamoto nzito na nikachagua moja ya sala za TOBA kwa siku 21 nikawa naamka saa 8 usiku na pia...
  20. Kalaga Baho Nongwa

    Kua Uyaone: Msemo ambao hauwezi kupitwa na wakati Barani Afrika

    Na kalaga baho. Salaam! Leo wakuu naomba niwasilishe hoja makini ya waandishi wa masuala ha kijamii, Jamrozik. A na Noccela. S. Wakiyazungumza matatizo ya kijamii hasa tatizo la muundo unaotumika kuipanga Jamii (structural arrangement) na kukosekana kwa usawa (social inequality) katika Jamii...
Back
Top Bottom