ushuhuda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Watu kadhaa wakitoa ushuhuda mbaya muda wa kungonoka

    Hivi ushawahi kutana na tukio la kibabe mda wa kufanya mapenz I ,,,,hebu tiririka hapa tupeane story
  2. King JiluX

    Je, kuna mtu mwenye ushuhuda wa bati za chengachenga zilizowahi kupauka?

    Kumekuwa na maoni kadhaa kuhusu ni bati kutoka kampuni ipi hasa ya kutumia wakati wa kupaua ukizingatia tofauti ya bei kutoka kampuni hizo, huku kukiwa na maneno kuwa kuna baadhi ya kampuni zinauza kwa gharama ya juu kisa jina tu la brand ila katika ubora kuna kampuni zenye mabati bora ila...
  3. I am Groot

    Customer care: Kuna shida kubwa sana kwa makampuni mengi hapa nchini kuwa na poor customer care kwa wateja wake. Toa ushuhuda wako hapa!

    Kama mteja, uliwahi kukumbana na aina gani ya ugumu pale ulipohitaji msaada kutoka kwa huduma kwa wateja?
  4. D

    Ushuhuda wa waliowahi kutusaidia tukapotezana nao kabla hatuwalipa fadhila

    Naamin jukwaa la JamiiForums ni dubwasha kubwa zaidi ya bahari.. Huenda tukakuta humu kuna watu wazuri walitusaidia lakini tukapotezana nao bila kurudisha fadhila ni vyema tukashare story huenda wahusika wapo humu**** Ngoja nianze kushare kisa changu ***************** PART: I...
  5. matunduizi

    Kwanini wanaotoa ushuhuda makanisani huwa hawachukuliwi hatua za kisheria?

    Moja kwa moja.... Nilimsikia mama mmoja anasema katika ulimwengu wa roho amechinja wachawi karibu mia, alipewa upanga na malaika. Sasa watu mia kuchinjwa rohoni ni upotevu mkubwa wa nguvu kazi. Mwingine unamsikia anasema walikuwa wachawi, wanasababisha ajali, wanakinga damu. Wanajinadi kuwa...
  6. GoldDhahabu

    Ushuhuda kutoka kwa Shehe Omari Mnyeshani

    Nimeamua kuuandika kwa vile upo YouTube, lakini sikubaliani wala kupingana na msimuliaji. Ni ushuhuda wa bwana mmoja anayejiita Shehe Omari Mnyeshani, Mchawi wa "zamani". Anadai kuwa kabla ya kuukimbia uchawi, alikuwa Mwenyekiti wa wachawi Tanzania na nje ya Tanzania. Ikiwa anayoyaongea yana...
  7. Mjanja M1

    Kijana atoa ushuhuda na kusema hatoikaribia Betting tena

    Anaandika, Mimi ni kijana wa miaka 20s+ nilifundishwa kubeti mwishoni mwa mwaka 2014 Kama Sio mwanzoni mwa mwaka 2015 nikiwa bado nasoma secondary. Kabla sijajifunza kubeti nilikua kijana mwenye akili iliyotulia,mipango inayotekelezeka na mwenye future nzuri na yenye tumaini. Lakini kadri...
  8. Hekima94

    Ushuhuda wa ndoa ya wazazi wangu, baba aliachishwa kazi ghafla miaka 14 iliyopita. Mama amekuwa ndio kila kitu

    Habari wana JF Leo nawapa ushuhuda wa maisha ya ndoa ya wazazi wangu... Baba aliachishwa kazi ghafla miaka 14 iliyopita. Mama anafanya biashara ndogondogo amekuwa ndio kila kitu chakula, mavazi, ada za shule na mahitaji mengine... Wakati baba anaendelea kufatilia kesi yake ya kuachishwa kazi...
  9. LIKUD

    USHUHUDA: Vision Board inaweza kufanya upate kila kunachokiweka, 90% niliyoyaandika mwaka huu yametimia

    Vision board ni nini? Vision board ni mkusanyiko wa picha na michoro inayo represent dreams zako au mipango yako. Kwa mfano una ndoto za kwenda kusoma Havard,basi utachukua picha ya Havard utachukua na picha yako utafanya Photoshop inayo depict picha yako ukiwa Havard au unaweza kutumia...
  10. K

    Ushuhuda wa mbinguni na kuzimu

    USHUHUDA NAMBA MOJA JUU YA MBINGUNI NA KUZIMU.JIANDAE KUKUTANA NA MUNGU WAKOJIANDAE KUKUTANA NA MUNGU WAKO!FALME ZA MBINGUNI NA KUZIMU,NA KURUDI KWA KRISTOAngelica ZambranoImefasiriwa na Alpha Wilson Magubila kwa Neema aliojaliwa na MunguKwa kipindi cha masaa 23, binti mdogo wa ki-Ecuado aitwaye...
  11. F

    Hakuna mganga wa kienyeji wa ukweli, wote ni matapeli. Mtu anayetoa ushuhuda kuwa mganga fulani ni kiboko huwa ni dalali wake

    habari wadau. Tanzania ni mojawapo ya nchi zenye raia wengi wanao amini imani za kishirikina. hivyo waganga wa kienyeji wapo wengi sana Tanzania. uhalisia hao waganga wote ni matapeli. wanacheza na saikolojia za wateja wao. nimekutana na video tik tok dada mmoja akieleza jinsi alivyotapeliwa...
  12. GoldDhahabu

    Ni kweli imani katika Neno la Mungu inafanya kazi? Tupe ushuhuda wako!

    Hakikisha una uhakika na ushuhuda wenyewe, kwamba: 1. Umekutokea wewe binafsi, Au 2. Umeushuhudia kwa mtu mwingine, Au 3. Umesimuliwa na mtu ambaye unaamini hakukuongopea. Karibu🙏🙏🙏
  13. S

    Hivi Lazaro aliyefufuliwa na Yesu, alitoa ushuhuda gani kuhusu kuzimu baada ya kufufuka?

    Mimi sio msomaji mzuri wa Bibilia, ila nimesikia habari ya Lazoro kufa na baadae kufufuliwa na Yesu wakati Yesu bado yuko hapa duniani na tena tunaambiwa alikuwa anatoa harufu. Swali ni je, Lazaro alihadithia nini kuhusu kifio au hakusema chochote? Kwa mfano, wakati anakata roho, nini hasa...
  14. Pridah

    Kama yupo anayepitia kipindi kigumu naomba usome huu Ushuhuda wangu labda unaweza kupata faraja kidogo

    Assalam Aleykum ndugu zangu waislam na wakristo. Kwa asili mimi ni mtu niliye huru zaidi kutoa hisia zangu kwa maandishi kuliko niwapo ana kwa ana na watu. Leo niko na hisia za furaha sana na ndio maana nimepata msukumo wa kuandika. Lengo la kuandika sio kuwaambia nina furaha maana kuwa na...
  15. Mwamuzi wa Tanzania

    Ushuhuda: Nilishinda njaa siku 3, nikaanza kuokota vyakula barabarani, nikashikwa kwa uzururaji

    Hello habari za asubuhi! Hii story nimewahi kuwasimulia wachache sana. Ni rahisi kumtia moyo mtu kuwa magumu yatapita, Mungu atakusaidia kipindi uko vizuri na umeshiba. Ila ukipitia kipindi kigumu hata ushauri na courage utasikia kama kelele tu unapigiwa. Nilihitilafiana na wazazi pamoja na...
  16. LIKUD

    Ushuhuda: Nimepata followers laki 2 na elfu 80+ instagram kwa sababu ya kukomenti tu

    Wakati wa vuguvugu la corona niliamua kufungua account ya ziada instagram kwa ajili ya kuwa huru kukomenti chochote. Fast forward now account yangu ina followers laki 2 na 80. Nimepata followers hao kwa sababu ya kukomenti tu kama ' Xavier" wa Quora. Kila nikicomenti kwenye trending...
  17. Kiplayer

    Ushuhuda, life starts at 40

    Hii kitu nimekua mkubwa sasa nashuhudia kuwa mjenzi wa hii kauli hakukurupuka. Naelekea huko naona barabara inanyooka. Nakiri kwa nchi zetu hizi mtazamo huu unadhihirika.
  18. R

    Wananchi Wilaya ya Serengeti watoa ushuhuda hadharani ndugu zao kuuliwa na Askari Nyamapori Serengeti

    Wananchi wilayani Serengeti watoa ushuhuda hadharani jinsi ndugu zao waliovyouliwa na Askari Nyamapori. Hili lilifanyika katika mkutano wa hadhara uliofanyika Serengeti ambapo Katibu Mkuu wa Baraza la Wanawake CHADEMA, Catherine Ruge aliwapa kipaza sauti wananchi hao kuelezea jinsi ndugu zao...
  19. Beberu

    INAUZWA USHUHUDA: Jinsi Fridge linavyofanya napiga show kali kwa Bed

    Habari ya leo ndugu waTanzania na wote msomao mada hii. Hope you are good with your life. Leo napenda niwape ushuhuda wa maisha yangu jinsi fridge lilivyo badilisha maisha yangu na kuongeza ufanisi wangu wa kupiga show kunako majambo. Mimi nimepanga geto, sina mke, ila katika kuhakikisha...
Back
Top Bottom