ushuhuda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ommytk

    Natamani hawa wanatoa ushuhuda makanisani nipate ninayemjua toka zamani na shida yake

    Naomba niongee hili jambo mimi mara zote aidha naona kwa TV au kwenye gazeti au mara ingine ata kwenye mikutano mbalimbali ya dini ya awa wachungaji wanaoponesha watu na pia kuwainua kiuchumi na kimaisha. Ila natamani sana kumpata mtu namjua naona akiwa pale mbele najua kabisa alikuwa kiwete...
  2. eliakeem

    USHUHUDA: JINSI EU, US NA NATO WALIVYO SABABISHA MAJANGA LIBYA

    Ifike mahala sasa lazima tuelewe jinsi nchi za magharibi zilivyo wanafiki na wauaji wakubwa katika dunia hii. Wengi walishuhudia jinsi nchi za magharibi na miungano yao ikishiriki kuhatarisha amani ya dunia. Lakini wengi wa watu duniani wako gizani kuhusiana na hilo. Wakati maharamia yakivamia...
  3. Hivi punde

    Ushuhuda nikiwa mhudumu wa gesti kwa miaka 10

    Nimefanya kazi kama mhudumu wa guest (ya kawaida) hapa DSM kwa miaka 10 mfululizo. Niseme tu kwamba, kuna makubwa sana yanafanyika hasa nyakati za mchana kwa wake/waume za watu, wafanyakazi wa Serikali na mashirika, vijana wa bodaboda (kwa wake za watu) na viongozi wa Serikali na vyama vya...
  4. OKW BOBAN SUNZU

    Ushuhuda: Limbwata la mapenzi lipo au halipo?

    Binafsi najua limbwata lipo. Mtu akipigwa limbwata anafanya vitu ambavyo watu watamshangaa na yeye unawashangaa kwanini wanamshangaa. Omba sana katika harakati zako za mapenzi usipigwe limbwata. Waambie ndugu na masela wakiona umepigwa kitu wakushtue, ukiwa mbishi wakubebe kinguvu wakupeleke...
  5. Bujibuji Simba Nyamaume

    USHUHUDA:- Jinsi Mesenja wa benki alivyowazidi akili mashushushu wa Takukuru, na polisi

    Hiki ni kisa Cha kweli kabisa kilichotokea miaka ya nyuma NCHINI KENYA NA WALA SIO TANZANIA Miaka kadhaa nyuma kulikuwa na utawala mbovu sana, ubadhirifu, wizi, hujuma na ufisadi ulitamalaki nchi nzima, kule kwa shangazi yangu Kenya Kuna benki ambayo ilikuwa ikimilikiwa na serikali lakini...
  6. TATACHACHA

    Ushuhuda wangu kuhusu RADI (my own testimonial)Nimeshuhudia RADI! Mara mbili, Ni kweli RADI ni kuku kabisa! Tena jogoo anaevutia haswa!

    Naam, Kumekuweko na speculation nyingi kuhusu RADI. Nyingi zikihusisha radi katika makundi mawili, ambayo ni radi kisayansi,kama umeme asilia na Radi kiimani. Wengi wakiihusisha na ushirikina. Binafsi ziko katika upande wowote Kati ya hizo pande mbili hapo juu, bali naeleza kile nilichopata...
  7. Boss la DP World

    Ushuhuda: Tunampenda sana msaidizi wetu wa kazi za ndani, anatulipa wema

    Mimi na wife ni watumishi, wife ni mwalimu na mimi ni afisa manunuzi wa taasisi fulani, tulipoanza maisha hatukuwa na msaidizi wa kazi, ila tulipo barikiwa kupata mtoto wakwanza tuliona kuna haja ya kuwa na binti wa kutusaidia kazi za nyumbani. Basi katika kutafuta tafuta siku moja nikaenda...
  8. WENYELE

    Ushuhuda: Vitu vidogo vinaweza maanisha mambo makubwa kwa wengine

    Katika hii dunia tunayoishi, unaweza ukamfanyia mtu kitu kidogo tu lakini ukabaki ndani ya historia ya maisha yake. Jioni hii nikiwa nimejipumzisha na familia yangu ikawa imeingia sms kutoka kwa kijana aliyemaliza mtihani wake wa chuo wa mwisho akinishukuru. Mnaweza mkakosoa shida zake za r/l...
  9. Monica Mgeni

    Ushuhuda wa Madaktari kuhusu Majeruhi wa Loliondo

  10. Brojust

    Ushuhuda wangu juu ya biashara ya kuandika proposal inalipa 100%

    Habari za jioni wapambanaji, Nawasalimu kwa jina la jamuhuri. Mimi ni kijana mtafutaji, lakini tokea nipo chuo(Mzumbe) nilijikuta napenda tu kuandika proposal za biashara, kipindi hicho tulikuwa tunaandika wakati wa zile party za kukaribisha wanafunzi wapya maarufu kama freshers Bash. Basi...
  11. DR HAYA LAND

    Dunia tambala bovu! Mungu Baba nipe uvumilivu nitimize Ushuhuda

    Happy Sunday My Friends Mada yangu Kipindi hiki ambacho nataka kutimiza Ushuhuda ndo nashangaa Yule Mtoto kutoka Pwani Namba D akinitumia sms ambazo zinanipa huzuni na huku akinipigia sm kila muda. Honestly nampenda Japo na mm nataka kuupiga Mwingi ili Angalau huu mwaka nione Mwanga katika...
  12. Kijana Wa Dar

    Ushuhuda: Ni mambo gani makuu Mungu amekutendea

    Karibuni
  13. L

    Ushuhuda wangu kuhusu kupona Malaria kwa kutumia mbegu za Mlonge

    Mwaka 2008 wakati naanza mwaka wa kwanza chuo nilikua na Malaria ya kujirudiarudia ambapo nilikua siwezi kukaa miezi mitatu bila kuumwa Malaria. Nilikua sina raha nikiwaza kuhusu huu ugonjwa uliokua unanisumbua bila kujua nini ufumbuzi wake. Mwaka jana mwezi wa tatu nikaona ngoja niingie...
  14. Optimists

    Ushuhuda: Kuajiriwa ni bora kuliko kujiajiri

    Ndugu yenu wa damu naomba kupingwa na kuelekezwa kwa upole na kwa fact. After graduation mdogo wenu hapa nikapata sehemu ya kujishikiza Mimi ni mwalimu Physics na chemistry nikawa nalipwa 250k -300k huku nikipewa nyumba ya shule na huduma kama chakula cha mchana na asubuhi. Maisha Yale...
  15. mwakavuta

    Maisha yangu, ushuhuda wangu; Sijafika sijachoka usikate tamaa Mungu yupo.

    Ni kawaida kwa watu kutafuta hamasa kutoka kwa waliofanikiwa peke yao kwa sababu tunaamini ndio wanaijua njia sahihi ya mafanikio. Binafsi sijafanikiwa kiwango cha kutoa hamasa hiyo kwa wengine lakini nina Imani kuna mtu aliyekata tamaa kabisa atapata nguvu ya kupambana kwa kujua kuwa hayupo...
  16. Aliko Musa

    Ushuhuda: Jinsi mwenye nyumba alivyoshughulikia Chanagamoto ya mpangaji wake ya uharibifu wa nyumba

    Mwezi wa disemba mwaka 2021 nyumba nilipokea simu kutoka kwa msimamizi wa nyumba ya kupangisha. Hitaji la msimamizi na mwenye nyumba huyu lilikuwa ni kujifunza mbinu bora za kupambana na wapangaji waharibifu. Aliendelea kutoa maelezo kuwa hajawahi kutana na changamoto ya kutolipwa kodi ya...
  17. mkumbwa junior

    Huu muujiza na ushuhuda niliosikia kwa Mwamposa umenistua

    Huwa sipendi sana kuingilia imani ya mtu ila kwa jana nimeona kabisa MTUME na NABII Mwamposa kuna dalili za upigaji[emoji2307][emoji2307] Kuna mahali nilikuwepo wameweka ile chanel yake watu wanatoa ushuhuda jamaa mmoja akasema alienda kuomba apate hela akala na keki siku hiyo yupo nyumbani...
  18. Yesu Anakuja

    Ushuhuda wa breakthrough!

    Naomba niweke hapa ushuhuda huu, hata akiusoma mtu mmoja tu kwangu inatosha, unaweza kubadilisha maisha yake kwa namna moja au nyingine. ni juu ya yale Mungu amenitendea leo hii, siwezi kunyamaza. kwa muda wa miezi kadhaa nimekuwa nikipitia kwenye kipindi fulani cha jangwani, na januari hii...
  19. Kaka mwisho

    Tupeni ushuhuda kwa mliowahi kukopo kwenye taasisi za kifedha zinazofuata utaratibu wa Sharia za Kiislam. Utaratibu upoje

    Leo naomba tupate utaratibu kuhusu mikopo inayotolewa na taasisi za kifedha za kiislam kama Amana bank, NBC Islamic account n.k. Utaratibu wao upoje. Mikopo yao huchukua muda gani mpaka umalizapo kulipa,(wa muda mrefu na mfupi) Mfano nahitaji gari lenye thamani ya 15, talipataje na talipa jumla...
  20. Kipenseli

    Hivi hizi source zinazotoa fixed matches ni za kweli? Zipi Source za uhakika? Naomba ushuhuda kuhusu hilo

    Habari za kwenu waungwana? In short niwe straight kwenye subject ni kwamba nina shida ya pesa ninayohitaji kwa haraka (kutokana na tatizo ambalo mm niko nalo kwa sasa) lakini pia hua naamini sana kuwa gambling ni moja kati ya chanzo cha kupata fedha kwa haraka.. Sasa nimekutana na hii kitu...
Back
Top Bottom