Nilijiuliza inakuwaje ana mafua makali namna hiyo na kikohozi wakati huu wa joto kali! Tukio lilianza siku ya ijumaa iliyopita. Nikadhani masihara. Jumamosi jioni naona mambo yanazidi kuwa magumu. Huku nawaza sana inakuwaje hali ile wakati huu wa joto kali? akaenda akachoma sindano ya kufanya...
Sina namna yoyote ya kukatisha watu tamaa lakini kiukweli kuna maeneo bila kuwa mtu wa dini au kuwa na kinga ni ngumu sana kuvumilia mikiki mikiki ya Sayansi ya Kitamaduni.
Nakumbuka huku Mbeya wilaya ya Songwe kuna dada alipangiwa huko, sasa alivyokuwa anaadhibu wanafunzi kwa viboko kuna...
Wakati mwingine ukitazama nyuma ni lazima utashukuru Mungu kwa kupita kwenye tanuru la giza nene!
Huu mkasa ni wa kweli kabisa na naishukuru sana Hospitali ya Jeshi Lugalo kwa kuokoa maisha ya ndugu yangu ambaye aliponea chupuchupu kupoteza maisha.
Mkasa umetokea muda kidogo.
Ndugu yangu...
Tunaitazama dunia katika Angle tofauti tofauti. Bado ni tishio kuu mpaka sasa ulimwenguni. Siku hizi matangazo na campaigns zimepunguzwa sanaa. Wapo walio survive long more than 20 years na ukionyeshwa huwezi watambua kwa macho.
Wapo watoto wabichi. Vijana wa mjini wana waita "PISI" kali. Kwa...
Mara ya kwanza namtoa out yeye aliagiza bia mimi nikaagiza soda ya coca. Akanicheka sana akaniuliza kama situmii pombe. Baada ya kumjibu kama situmii akanihukumu, kwamba kilevi changu itakuwa chini, tusiotumia pombe tunatumia chini. Nikachukua dakika kadhaa kujitetea.
Bado napata ugumu...
Waungwana naomba ushauri wenu katika hili tatizo hili limekuwa sugu kwangu huwa natumia dawa za kupunguza gesi lakini zikiisha tatizo linaendelea
Mwenzi wangu kwa maana ya mke kanivumilia kwa kipindi chote lakini sasa anasema nisipo tafuta utatumizi wa hili swala anaachana nami
Njia pekee...
Naanza kwa kukiri kuwa mimi sio mwandishi mzuri ila uzi wa Pascal Mayalla umenifanya nijitutumue kuandika.
https://www.jamiiforums.com/threads/mebeberu-wana-malengo-na-tanzania-waanza-uzushi-wa-fujo-baada-ya-jpm-ccm-kush.
Nilitaka nitumie neno wazungu au mataifa ya Magharibi badala ya...
Nawasalimu sana ndugu wana JF.
Kwakweli lengo la ndoa ni kuishi pamoja kwa uaminifu na upendo na kulea familia pamoja.
Nafahamu humu kuna watu wenye caliber tofauti na uwezo wa hali ya juu kupambanua mambo kutokana na experience...
Naomba experience yenu, je ilikuwa rahisi kuanza upya? Kwenda...
Mliosema “Magufuli hampendi Mwinyi anapretend tu” sasa kesho muwe macho muone support.
Mkutano mkubwa kuliko tunausubiri hapo kesho katika viwanja vya Mnazi Mmoja.
PICHA: Jinsi Dkt. Magufuli alivyowasili visiwani Zanzibar
PROMO:
Nilikuja Dar kwenye biashara fulani, mida ya jioni nikatafuta bodaboda nikamueleza sehemu ambayo ninaweza kwenda kupumzika na kupunguza msongo, akaniambia kuna sehemu Sinza panaitwa Kona Bar pamesheheni kila aina ya burudani hata kama biashara hazi kwenda vyema naweza kujifariji.
Tukaelekea...
Naposema mlinganyo wa shetani namaanisha hivi, una-graduate chuo na gpa nzuri tu, una-apply kazi sehemu tofauti zaidi ya Mara 104 hivi, na zote unakosa..
Unajaribu biashara kadhaa, lakini biashara zote zinafeli, na kabla ya kufeli, zikiwa zinaendelea, zinakupa hela ya kula tu, hela ambayo...
Habari wana Jf
Kwa muda mrefu sasa nilikuwa nikifuatilia ndani na nje ya JF kuhusu mali alizoacha mjeruman kipindi anaondoka nchini miaka mingi iliyopita. Kila mtu alitoa mtazamo wake juu ya mali kale zilizoachwa katika sehemu mbalimbali ndani ya nchi yetu.
Wapo waliosema kuwa mzungu hawezi...
Kama umetazama kwenye Tv, umesikiliza kwenye redio au umehudhuria ibada ya leo at Arise and Shine utakuwa SHUHUDA wangu katika hili.
Kuna dada anaitwa NEEMA BAKARI anatokea Tanga, alikuwa mmoja kati ya waliosimama madhabahuni kutoa SHUHUDA zao.
Dada anaongea vizuri hatari. Yani anaongea mpaka...
Wakuu Salaam;
Nimezunguka madukani kutafuta sukari ili nipate chai angalau nichangamke kipindi hiki cha mvua maana baridi ipo kweli huku duniani niliko, sasa kila duka naloingia naambiwa sukari hamna!
Nimejaribu kwenda hadi maeneo ya stendi lakini bado sukari najibiwa hamna.
Nimeamua ninywe...
PROFESA mstaafu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Josephat Maghway (65) jana aliamua kufunga nadhiri za daima za maisha ya utawa katika Kanisa Katoliki la Salvatorian la Chuo Kikuu cha Jordan mkoani Morogoro.
Taarifa ambazo gazeti hili lilizipata jana kupitia marafiki wa karibu wa Profesa huyo...
Kabla sijaleta stori yangu, kila ambaye mtu wake wa karibu (mke/Mme/ndugu/rafiki/mfanyakazi) ambaye huwa unamsaidia Mambo mengi kuanzia ushauri fedha na kumwambia Siri zako nyingi za maisha kama mipango yako ya maendeleo kama kununua Kiwanja/ gari/ nyumba kupata kazi na baadae kukugeuka Kwa...
Ukikutana na hawa mabingwa mara nyingi wanavaa kitajiri, wameshika simu za kuanzia Milioni, gari angalau la kuthibitisha ukwasi wao.
Hupenda kukutana mahoteli ya kifahari.
Nimependa kujua uhalisia wa Maisha haya au huu huwa ni urimbo wakutupigia.
Wakuu mtanisamehe sana kwa kuwarudisha nyuma mwaka 2015 kwenye uzinduzi wa bunge Jipya baada ya Uchaguzi Mkuu ambayo ilikuwa ndio siku ya kwanza kabisa kwa Rais mpya kulihutubia bunge hilo jipya na kulizindua.
Wabunge wote wa Upinzani waliotokana na (UKAWA) walitoka nje kama ishara ya kupinga...
Yapo mambo mengi ambayo kusema kweli yananifanya niwaze na kutafakari mengi. Leo nitaanza na hatua za awali kwenye maisha yangu na nitakuwa naweka hapa mambo ambayo nimewahi kuyafanya (Ya ajabu, yaliyonitokea mimi pamoja na ndugu zangu wa karibu)
Ilikuwa ni miaka ya kuanzia 2000 nilipatwa na...
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), James Kilaba amesema uzimaji wa laini za simu ambazo hazijasajiliwa kwa alama za vidole unafanyika kwa awamu kuanzia jana Jumatatu Januari 20, 2020 ili kuondoa usumbufu.
Amesema hadi jana saa nne usiku walikuwa wamezima laini 975,041...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.