ushuhuda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. OKW BOBAN SUNZU

    Ushuhuda: Wauzaji wa Trekta Afrika Kusini

    Hodi huku Kumekuwa na nyuzi humu zikijadili uimara wa trekhlta zinazouzwa mitandaoni South Afrika. Uimara huo umekuwa ukitiliwa mashaka kulinganisha na bei ya trekta hizo. Ukiingia kwenye mitandao mingi utagundua bei ya trekta zilizotumika muda mfupi zikiuzwa mpaka milioni 15. Achana na stori...
  2. Optimists

    Ushuhuda: Biashara ya mchele ni ngumu mno!

    Kijana wenu baada ya kumaliza chuo nikaona nijimix kwenye harakati za maisha nipo Dar es Salaaam japo Nina mda mfupi sana hapa. Nimezunguka masoko yote hapa dsm kuanzia mabibo mpaka mbagala nilikuja na idea nyingine kwa sababu mtaji sikua nao mkubwa nikashindwa kwa sababu ilihitajika sehemu ya...
  3. Ngaliba Dume

    SoC01 Ushuhuda wa jinsi UKIMWI ulivyotesa familia, kuongeza umasikini na mateso. Tushukuru ARV na wadau wa afya

    Hatukuwa tumewahi kufiwa na mmoja wa wanafamilia,kwa maana ya kaka au dada wa tumbo moja na baba mmoja.Misiba mingi ilikuwa ni kwa ndugu na jamaa tu wa karibu.Msiba huu wa dada yetu aliyekuwa "kichwa" na msaada mkubwa kwa familia ulitokea mwezi March 1993 wakati huo mimi nikiwa nimemaliza kidato...
  4. J

    Mkurugenzi atoa Ushuhuda jinsi TBS ilivyomuhudumia kwa mara ya Kwanza

    Dkt.Marcus Alban Mkurugenzi wa Kusoma African Limited akitoa ushuhuda na uzoefu jinsi alivyopatiwa huduma na Shirika la Viwango (TBS) katika sherehe za kutoa leseni za kutumia alama ya ubora kwa wafanyabiashara hivi karibuni.
  5. SUASO

    #COVID19 Ushuhuda wangu kuhusu janga la COVID-19

    Habari ndugu zangu wana Tanganyika na Zanzibar! Poleni kwa magumu tunayopitia, pia hongereni kwa zawadi ya uhai! Najua humu JF familia kubwa tunaweza shirikishana Mambo mengi, leo naomba tushirikishane kuhusu Corona. Wapo waliougua na kufariki( R.I.P), wapo waliougua na kupona, wapo...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    Nimekumbuka hii nikacheka sana; tuliowahi kukojoza kitandani tukiwa boarding njooni tutoe ushuhuda

    Wakuu Kwema! Leo Taikon nimekumbuka Maswahibu yaliyonikuta nikiwa Advance huko Matema Beach High School, Kyela mkoani Mbeya. Taikon ni mtu wa Stori, mjanja mjanja, mcheshi, na mtu wa watu. Taikon ni mtu anayeongea na kila mtu. Hapendi mtu akwazike. Siku zile nikafika shuleni, Kyela ikiwa...
  7. BAK

    #COVID19 Rais Samia: Miji mikubwa ya Tanzania tayari imekumbwa na wimbi la tatu la Covid-19

    Rais Samia akiwa katika ziara yake mkoa wa Morogoro maeneo ya Kibaigwa amewataka wananchi wote kuchukua tahadhari juu janga la Covid-19. Katika kufafanua jambo hili Rais Samia amesisitiza kuwa wimbi la tatu la ugonjwa huu limeshaanza kutikisa katika miji mikubwa ya taifa la Tanzania. Aidha...
  8. B

    Katiba Mpya: Elimu ni kwa Wasioelewa - Ushuhuda

    Ni wazi kuwa mtu kubeza kupatikana kwa katiba mpya ni matokeo ya kuwa na: 1. uelewa usio sahihi, au 2. maslahi kwenye katiba iliyopo. Hapa chini ni ushuhuda wake bwana Extrovert. Heshima kwako sana mkuu: (comment #95) Uzi: CHADEMA haya mnayoyafanya ndio yalipelekea tukaletewa Hayati...
  9. R

    Leta experience yako na ushuhuda kuhusu baadhi ya wadada wa kazi (housegirls) na vitendo vya kishirikina

    Habarini wanajamvi! Kama mada husika hapo juu ilivyoandikwa ningependa niende moja kwa moja kwenye mada. Mimi nimetokea katika familia yenye watoto wa4 wawili wa kiume na wawili wakike baba yangu alikua mfanyabiashara na mama yangu ni mwalimu(mstaafu kwa sasa) sababu ya shule na baadhi ya...
  10. M

    Chanjo ya corona: Ushuhuda wa huyu jamaa msikilize (FAKE NEWS)

    Hebu atakayefanikiwa kumsikiliza vizuri atufafanulie anacholalamika huyu jamaa. Inaelekea chanjo ya corona imemwunganisha moja kwa moja na mtandak wa AstraZeneca(chanjo ya corona kupitia bluetooth). Click hiyo picha umsikilize. FACT CHECK: Fact Check-AstraZeneca’s COVID-19 vaccine does not...
  11. H

    USHUHUDA: Nilivyokutana na ushirikina kazini

    Mambo vipi wakuu, Kwanza nitajikita kwenye mada kutokana na personal experience ya hapa home Tz. Binafsi nimekulia mazingira ya dini sana , kwa hiyo mambo ya uchawi au ku-practice masuala ya kiganga /jadi sikuwahi. Lakini kwa uzoefu na namna nilivyoona katika kutembea mikoa ya hapa Tanzania...
  12. Iheanacho

    Ushuhuda wangu: Nilivyotembea na wake za watu

    Habarini wana jamvi. Kwa kifupi mi ni mzaliwa wa mkoa wa Mwanza ila tangu mwaka 2000 nilianzisha makazi yangu ya kudumu mkoani Mara. Kwa sasa nina miaka isiyopungua 40. Nafanya shughuli zangu binafsi na shughuli yangu ni aina ya biashara ambayo wateja wake wengi ni wanawake. (Kuuza vitenge...
  13. Iheanacho

    USHUHUDA WANGU: Nilivyotembea na wake za watu vol 1

    Habarini wana jamvi... Kwa kifupi mimi ni mzaliwa wa mkoa wa Mwanza ila tangu mwaka 2000 nilianzisha makazi yangu ya kudumu mkoani Mara. Kwa sasa nina miaka isiyopungua 40. Nafanya shughuli zangu binafsi na shughuli yangu ni aina ya biashara ambayo wateja wake wengi ni wanawake. (Kuuza...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    Ushuhuda binafsi: Awamu ya tano niliishi kwa hofu

    USHUHUDA BINAFSI: AWAMU YA TANO NILIISHI KWA HOFU. Kwa Mkono wa, Robert Heriel. Nikiri wazi kuwa, licha ya kuwa mimi sio mwoga lakini siwezi ongopa kuwa sina hofu au wasiwasi. Hakuna binadamu asiye na mashaka, hofu na wasiwasi, labda kutofautiana kiwango cha hayo. Moja ya mambo ninayoyapenda...
  15. sky soldier

    Ushuhuda: Nilichokiona kwenye kikao cha ukoo/familia, bila pesa huthaminiwi

    Kwanza kabisa watu wanaweza kudhan hii ni comedy ila ni ukweli mtupu. Wiki kadhaa zilizopita kulikuwa na kikao cha ukoo kuhusu jambo flani hivi nyeti, kikao kilitubidi twende kijijini kwetu. Tulifika vizuri tu na kusalimiana ila sasa kikao kilipotaka kuanza, kuna ndugu yetu flani...
  16. Leslie Mbena

    Ushuhuda wa mke wangu kupona COVID19 baada ya kumuombea kwa kutumia medium ya new annointing water ya TB Joshua

    USHUHUDA WA MKE WANGU KUPONA COVID 19 BAADA YA KUMUOMBEA KWA KUTUMIA MEDIUM YA NEW ANNOINTING WATER YA TB JOSHUA. Leo 22:30hrs 20/01/2021 Bwana Yesu atukuzwe ndugu zangu,Namshukuru Mungu kwa sababu ya neema yake kuu juu yangu na Familia yangu,Jina langu ni Leslie Mbena,Mume na Baba wa watoto...
  17. Mwamuzi wa Tanzania

    Ushuhuda: Niliwahi kutembea kwa mguu kutoka Posta mpaka Goba baada ya kukosa nauli

    Hakika maisha yana changamoto. Miaka 6 nyuma nikiwa katika harakati za kutafuta kazi Dar es salaam nikitokea mkoa nakumbuka nimewahi kuswaga mguu Posta- Goba baada ya mfuko kukosa mia 4 ya daladala. Hii ilijitokeza mara nyingi tu. Unatembea mpaka unajiona huna akili au hauko katika hesabu ya...
  18. M

    #COVID19 Ushuhuda wa Mchungaji Godwin Chilewa kuhusu COVID-19: Je, tunamficha nani, kwanini na kwa Faida gani?

    Nimeugua Covid 19, nikatibiwa na kupona (Jina la Bwana lihimidiwe). Kuugua kwangu kumenisaidia kujifunza mengi, na kubaini uongo mwingi wanaoambiwa watu wetu ili kuwapooza, badala ya kufanya jitihada ya dhati ya kuwalinda, na kuwaokoa na janga la COVID 19. Ni kwa sababu hii nimeona vema kuandika...
  19. FWBTZ

    Waliopata mafanikio na Adsense, tunaomba ushuhuda na ushauri wenu

    Wakuu kwema? Poleni na mihangaiko ya maisha pamoja na Ups and Down za January. Mada ya uzi wangu ni kama kichwa kinavyojieleza juu. Kwa wafuatiliaji wazuri wa JF na mitandao mingine duniani kwenye habari za Technology kumekuwepo na wimbi kubwa la watu wakisema wanatengeneza pesa nzuri kwa Ads...
  20. sky soldier

    Ushuhuda: Leo nimekutana na kipanga jeuri wa darasani. Kweli hakuna uhusiano wa uwezo darasani na wa maisha halisi

    Kila shule na kila faculty vyuoni ina hawa viumbe wanaitwa vipanga; ni watu ambao wanafanya vizuri sana darasani aidha kwa kutumia jitihada kubwa ama uwezo mkubwa wa akili waliojaaliwa. Tatizo sio kuwa kipanga, tatizo ni kuwa kipanga jeuri, ni wale watu wanaofanya vizuri darasani na kuona kwao...
Back
Top Bottom