ushuru

  1. Baada ya Canada kulipiza Kwa kuweka ushuru wa 25% kwenye Umeme , Trump kaongeza Ushuru kutoka 25% Hadi 50% Kwa Chuma na Aluminum ya Canada

    Na Mwamba ndo kwanza anazidi kutoa Onyo!! Inawezekana kwa Trump, Dunia yote ikapigishwa Magoti.
  2. Trump anasema ataiwekea Urusi vikwazo vikubwa, vya ushuru kumaliza vita vya Ukraine.

    Wanaukumbi. Machi 7 (Reuters) - Rais wa Marekani, Donald Trump alisema Ijumaa "anazingatia sana" kuweka vikwazo vikali, vikiwemo vile vya benki, na ushuru kwa Urusi hadi makubaliano ya kusitisha mapigano na amani yafikiwe na Ukraine. Trump pia amesitisha usaidizi wa kijeshi na ushirikiano wa...
  3. L

    Ni upuuzi kwa Marekani kuongeza ushuru kwa nchi nyingine kwa kisingizio cha Fentanyl!

    Wiki hii, serikali ya Trump ilitangaza tena kuongeza ushuru wa 10% kwa bidhaa za China zinazouzwa Marekani kwa kisingizio cha suala la Fentanyl na mengineyo, huku pia ikiongeza ushuru wa 25% kwa bidhaa kutoka Canada na Mexico. Hatua hii sio tu kwamba ilisababisha pingamizi kutoka kwa China na...
  4. Ushuru wa USA kwa Canada, Mexico na China vimeanza kufanya kazi rasmi

    Baada yakusitisha kwa mwezi mmoja, Trump kasema Canada na Mexico hawajafanya lolote kuboresha hali ya mipakani. Basi ushuru wa 25 percent kwa bidhaa kutoka Canada na Mexico umeanza kufanya kazi rasmi. China imeongezewa ushuru kufikia asilimia 20, toka 10. Waziri mkuu wa Canada ameongea na...
  5. P

    Ushuru wa magari na online TRA calculator

    Mimi binafsi napotaka kuagiza gari, nachukua details za ile gari halafu nakuja kukadiria bei ya ushuru kupitia Calculator ya TRA, tuseme napata Mil 12,355,000 kama ushuru. Unaagiza gari baada ya wiki tatu ushuru unaongozeka kidogo hadi mil 13+ kawaida kabisa kutoka na value ya USD KUPANDA NA...
  6. Battle la Compact SUV: Mazda CX-3 vs Honda Vezel. CIF karibia zipo sawa, ila Ushuru wa TRA mmoja amedabo!

    Kwa wapenzi wa compact SUV kuna haya magari mawili, Mazda CX-3 na Honda Vezel. Ingawa ni taste mbili tofauti, lakini yanaweza kufananishwa ata kwa udogo. Mazda CX-3 yeye ana sifa zifuatazo: Engine: 1.5L SkyActiv-D diesel engine, inatoa power ya 105 hp Transmission: 6-speed manual au...
  7. K

    Msaada: Makisio ya kodi na ushuru bandarini

    Wakuu wazima? Katika process za kutoa kontena bandarini, naomba mwenye uelewa anifungue macho hapa. Ni kodi zipi na asilimia ngapi hulipwa kwa kontena la 40HQ, mzigo ni machines za kiwandani, rawmaterials na packages. Itapendeza kama nikipata mchanganuo wa gharama zote. Natanguliza shukrani..
  8. Canada yakataa kusalimu amri kwa Rais Trump kuhusu ushuru wa 25%

    Rais wa Marekani, Donald Trump, alitangaza kuwa anapanga kuweka ushuru wa 25% kwa bidhaa kutoka Canada na Mexico, pamoja na ushuru wa 10% kwa bidhaa kutoka China. Trump alieleza kuwa hatua hii inafanywa kama njia ya kulinda mipaka ya Marekani dhidi ya uhamiaji haramu na madawa ya kulevya ambayo...
  9. Nahitaji kufahamu gharama za ushuru wa TOYOTA NOAH bandarini zikoje?

    Habari wapendwa, nahitaji kumiliki gari aina ya Toyota Noah. Naona ndiyo inayonifaa kwaajili ya kuendesha mishemishe zangu. Ningependa kwa yeyote ambae anafaham chochote kuhusu gharama za kuagiza hiyo gari na kodi zote tafadhali nijuze
  10. Ukiagiza bidhaa au gari na ukakwama ushuru ni vyema baada ya gari kufika ukapeleka Bonded Warehouse.

    Kama umeagiza gari au bidhaa na ikawa imefika Kwenye Bandari na wakati huo pesa ya ushuru umepungukiwa,kukwama au hukuwa na taarifa sahihi za ushuru na makadirio ya kodi yamekuja zaidi ya kiwango ulichopanga njia sahihi ni kumwambia wakala wa Forodha(Clearing Agent) afanye maombi (TRA) ya...
  11. TUPENI ABC Kwa sisi tunaotaka kuagiza laptop Zanzibar ushuru ukoje

    Kama Kichwa kinavyojieleza hapo nataka kuagiza laptop Zanzibar au naweza kwenda mwenyewe nikabeba kwenye begi Je Bei ya ushuru ipoje na kama mzigo nimeweka kwenye begi bado nitatozwa ushuru Nawasalisha Kama Upo Zanzibar/Pemba tafadhari karibu dm
  12. S

    Trump aziambia nchi za umoja wa ulaya zinunue gesi na mafuta zaidi kutoka Marekani au ataongeza ushuru kwa bidhaa za kutoka jumuiya hiyo

    Rais mteule wa Marekani Donald Trump ameonya kuongeza ushuru kwa bidhaa za jumuiya ya Ulaya zinazoingia Marekani endapo jumuiya hiyo haitaongeza viwango vya mafuta na gesi inavyonunua kutoka Marekani. Trump alitoa taarifa hiyo kupitia post katika mtandao wa Truth aliyoichapisha Alhamisi usiku...
  13. L

    Ushuru wa Trump kwa nchi washirika wake wa kibiashara huenda ukaifanya Marekani iishie kujipiga risasi yenyewe mguuni

    Rais mteule wa Marekani Donald Trump akiwa sasa yupo kwenye maandilizi ya kurejea tena kushika usukani na kuliongoza taifa la Marekani Januari mwaka 2025, ameanza kujenga uhasama na nchi washirika wake wa kibiashara kwa kutoa vitisho kwa nchi mbalimbali duniani, huku akitilia mkazo sera ya...
  14. L

    Utajiri Wa Elon Musk unaweza Kufadhili Bajeti Ya Tanzania kwa Miaka zaidi ya kumi mfululizo Pasipo Mtu yeyote kulipa kodi wala ushuru wa aina yoyote

    Ndugu zangu Watanzania, Hivi Dunia Jamani kuna watu wana Hela,kuna watu wana pesa,kuna watu wana Fedha. Watu wana hela mpaka unajiuliza wao wanazipata wapi wakati kuna watanzania wanafanya kazi usiku na mchana kuanzia migodini ,mashambani , mabarabarani,viwandani lakini hawapati pesa hizo...
  15. M

    KERO Serikali ifanye utaratibu wa kupunguza Kodi na Ushuru kutusaidia Wafanyabiashara wa Pemba

    Asilimia kubwa ya sisi Wafanyabiashara Kisiwani Pemba tunapata wakati mgumu kuhusu suala la kodi na ushuru mkubwa tunaotozwa katika Bandari ya Unguja pamoja na Bandari ya Pemba Hali hiyo imekuwa ikisababisha baadhi ya bidhaa kupanda bei tofauti na uhalisia kwa kuwa tunalazimika kufanya hivyo...
  16. Anaehusika na kuset kodi za magari used TRA aangalie vizuri ushuru wa Nissan Leaf 2019 EV nataka ivuta Februari!

    Najua kwa namna moja au nyingine muhusika atapata huu ujumbe, na sio tu kwa hii chuma na kwa vyuma vingine. Kwa mfano Nissan Leaf 2019 naona kwenye kikokotoo chenu mme-estimate kwamba CIF yake ni $16,600 kitu ambacho sio kweli, market price sahivi ya hii gari kwa huo mwaka ni CIF ya $8,000...
  17. Deo Mwanyika: Wanywaji wa Bia wamepungua, hali yatishia kukua kwa Uchumi wa nchi

    Makusanyo ya mapato ya makampuni ya bia nchini yameshuka kwa karibu asilimia 20, hali inayoonekana kusababishwa na kupungua kwa wanywaji wa bia kufuatia ongezeko la ushuru wa bidhaa lililowekwa na serikali. Ongezeko hili la ushuru limewafanya wanywaji wengi kuhamia kwenye vinywaji mbadala...
  18. K

    DOKEZO Tozo za ushuru wa Uchafu, Halmashauri ya Mji Bariadi - Simiyu hatuzielewi, tunaibiwa? Tunaomba ziwekwe wazi

    Habari za wakati huu. Mimi ni mkazi wa Mji wa Bariadi Mkoani Simiyu, na ni Mfanyabiashara wa hapa mjini Bariadi ambako ni makao makuu ya Mkoa wa Simiyu, lakini makazi yangu yapo hapa hapa Mjini. Hivi Karibuni uongozi wa Halmashauri ya Mji wa Bariadi, ulileta mzabuni mpya wa kukusanya taka...
  19. Halima Mdee: Kisarawe imeshindwa kukusanya Tsh. Bilioni 6 ya Ushuru kutoka Yapi Merkez

    Mbunge Halima Mdee akizungumza wakati wa mjadala wa Taarifa za Kamati ya PAC na LAAC kuhusu Ripoti ya CAG katika Mkutano wa 17 wa Bunge la 12 ulioanza leo Oktoba 29, 2024 na kutarajiwa kuendelea hadi Novemba 8, 2024, amesema mapato Tsh. Bilioni 61.15 hayakukusanywa katika vyanzo muhimu Amesema...
  20. T

    Nimeshangazwa na Ushuru wa serikali wa kulipia mabango ambayo yapo kwenye biashara yako, mfano juu ya paa la sehemu yako ya biashara!

    Wakuu, Watu kutoka manispaa za Kinondoni na Temeke wamekuwa na hekaheka za kwenda kwenye sehemu za wafanyabiashara, maarufu kama fremu na kupima mabango ambayo yapo kwenye sehemu za biashara, na kudai yalipiwe. Hizo ni sheria za manispaa. Najiuliza sana, kuwa bango lengo lake ni kuelekeza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…