Baada ya kusikia watu wengi 'wakiumizwa' na 'kupigwa' wakiwa kwenye harakati za kutafuta usafiri uliotumika nchini, nimeona sio mbaya nikitoa ushauri ni jinsi gani unaweza kuepuka majanga kwenye zoezi hilo.
Naandika kama mnunuzi au muuzaji wa aina hio ya magari, kwahio siegemei upande wowote na...
Habari wana jamvi!!!
MH rais amekuwa akisisitiza kuwa mkulima anapaswa atozwe ushuru na mamlaka husika ikiwa tu amebeba mzigo unaozidi Tani moja!!
Lakini Mbona tunaendelea kutozwa tu na Mamlaka husika!! Mfano mimi nasafirisha viazi ulaya kutoka mbeya kwenda mwanza kila Gunia natozwa 2000...
Nisiongee mengi tembelea tu wewe mwenyewe mh waziri Lukuvi utagundua hapo Coco beach ni " cha mtoto"
Yaani ni mwendo wa ushuru tu, ukiingia na gari ushuru, ukitaka kupiga picha ushuru yaani ni full ushuru.
Maendeleo hayana vyama.
Imepita wiki sasa baada ya Halmashauri ya jiji la Dar es Salaam kufunga pazia la kupokea maombi ya kazi ya ukusanyaji ushuru je, kuna mtu alishaitwa au connection ni muhimu pia.
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetolea ufafanuzi taarifa juu ya kupanda kwa gharama za kodi za magari yaliyotumika yanayoingia nchini.
Ufafanuzi huo umekuja wakati kukiwa na malalamiko ya wafanyabiashara ya magari wakidai kuwepo kwa ongezeko la kodi za magari ya mitumba.
Taarifa ya TRA...
Kuanzia mwezi huu biashara za mtandaoni zitatozwa ushuru wa aslimia 1.5 kutokana na shughuli hizo za kidijitali.
Kwenye taarifa mamlaka ya ukusanyaji ushuru nchini-KRA imesema kuwa sheria ya mwaka 2020 ilianzisha aina mpya ya ushuru wa kidijitali-DST ambao ulianza kutozwa tarehe Mosi mwaka...
Tunakumbushana tu waziri wa Tamisemi Mh Jaffo kwamba 2020 ulikuwa ni mwaka wa uchaguzi na hao wakurugenzi ni wasimamizi wa uchaguzi.
Kusema kwamba wasipofikisha 50% ya lengo la makusanyo ya mwaka ifikapo Devember 31 wajitathmini kama wanatosha kubaki ofisini ama uwatimue ni kuwaonea bure.
Kwa...
Wizara ya Fedha ya Namibia imepanga kufuta asilimia 95 ya riba zilizopo, na kubatilisha adhabu zote kwa walipa kodi ambao watalipa gharama zote ndani ya miezi 3 kuanzia Februari 2021
Msamaha huo unakusudia kuwasaidia raia wa Namibia na Wafanyabiashara wanaokabiliwa na matatizo ya Kiuchumi...
The country is losing millions of shillings daily in a tax evasion scheme between Kenya Revenue Authorities employees and crafty importers. And as Sam Ogina reports importers and KRA officials at the Namanga border are now using fake import declaration forms to fraudulently allow trucks from...
Habari wandugu!
Naomba niende moja kwa moja kwenye swali langu. Nimekuwa nikisikia kuwa ukinunua gari ambalo lina miaka zaidi ya kumi kuuoka nje. Kunakuwa na kodi ya uchakavu (Excise duty due to age).
Lakini nimefuatilia kwenye kikokotoo cha kodi TRA kuhusu kodi hiyo ya uchakavu nimeona kuwa...
China imesema leo kuwa itapunguza ushuru kuanzia Januari mosi kwenye zaidi ya bidhaa 850 za kigeni ikiwemo nyama ya kuhifadhiwa ya nguruwe, madawa ya maradhi ya pumu na baadhi ya vifaa vya teknolojia ili kuchochea maendeleo ya kiuchumi.
Tangazo hilo linafuatia makubaliano ya muda ya kibiashara...
Shirika la Human Rights Watch limesema katika ripoti yake iliyotolewa leo kuwa maafisa wa serikali na wanachama wa kundi la vijana linaloogopwa la chama tawala wanaitisha pesa kwa lazima za uchaguzi mkuu unaokuja
Dhulma zinazohusiana na ushuru wa uchaguzi wa mwaka 2020 nchini Burundi...
Habari,
Kwa utashi, uzoefu, ujuzi na hekima zenu tafadhali naomba kufahamishwa taratibu na gharama za Ushuru wa Bandari wakati wa kutoa gari kwa Port ya Dar Es Salaam.
Nimejipigapiga na kuagiza kagari toka Japan ambako gharama yake ya Ushuru wa TRA kwa mujibu wa TRA Calculator ni kama 4Million...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.