ushuru

  1. Valencia_UPV

    Ushuru wa Kuagiza (import) Magari umepanda Kinyemela?

    Nilikua najichanga angalau niagize BMW X3 ili niokote watoto wa Chuo kiulaini. Sasa kabla sijalipia Be Forward nikasema nichungulie Calculator ya TRA nimekutana na Maumivu yaani BMW X3 ya 2013 (CIF 9,656 USD) mikodi ya watoza ushuru inafika 12m hapo bado port charges etc. Huu ushuru mbona...
  2. Bushmamy

    Arusha: Wananchi walia na ushuru mkubwa wa Taka

    Wananchi mkoani hapa wamekuwa wakilalamika ushuru wa kiasi cha sh. elf mbili kwa mwezi wanaotozwa kwa ajili ya taka kwa madai kuwa ushuru huo ni mkubwa tofauti na taka wanazozalisha majumbani. Baadhi ya wananchi hao wamesema kuwa kwa maisha ya kawaida wanakoishi majumbani wengi hawazalishi...
  3. lwambof07

    Kilindi, Tanga: Ushuru Fuso laki tatu, baadhi ya wafanyabiashara wagoma kununua maembe

    Baadhi ya wafanyabiashara wa maembe wamegoma kununua maembe ya wakulima wa Kwediboma wilayani Kilindi mkoani Tanga wakidai kuwa ushuru shilingi 300,000/= wanaotozwa na halmashauri ya wilaya hiyo kwa gari moja aina ya Fuso ni mkubwa.
  4. Scania 113

    Tupeane utaratibu

    Habari za mda huu Nahitaji mchango wenu wa mawazo katika hili ni kwamba nina eneo langu la wazi linatazamana na kituo ch mafuta ambach hakijaa anza kufanya kazi bado hili eneo kama mnavyojua sasa hivi matumizi ya mabanda au vibanda vya biashara ni changamoto sana. Sasa kun wazo nimepewa lakini...
  5. C

    Mtoza ushuru kanipiga elfu 5 Daraja la Kigamboni

    ...
  6. Rutunga M

    Iringa-Halmashauri ya Iringa yaanzisha ushuru wa wanaonunua pumba ya kuku

    Halmashauri ya wilaya ya Iringa imeanza kutekeleza ushuru kwa mtu yeyote anayenunua pumba inayotokana ama na mahindi au mpunga kwa kuanzia kg 10 kwenda juu. mtu ambaye hatakuwa na kibali cha kusafirisha hiyo pumba faini yake ni tsh 200,000. Aidha watendaji wameanza kuitekeleza na inaelezwa kuwa...
  7. A

    Malalamiko/ Ufafanuzi na Ushauri kuhusu Ushuru wa Maegesho Ilala, Temeke na Kigamboni Jiji la Dar es Salaam

    Ascerics LTD ni Kampuni ya Kitanzania yenye uzoefu mkubwa katika zoezi zima la kukusanya Ushuru wa maegesho nchini Tanzania. Ili kuboresha huduma zetu za maegesho (Parking services ) kwa system mpya ya E-parking katika Jiji la Dar-es-Salaam. Kanda no 2 ambao tunasimamia Ilala, Temeke, na...
  8. St. Paka Mweusi

    TARURA watu wenu wa ushuru wa parking wameacha kutoa risiti

    Unaweza kushangaa kwa nini nimepost hapa kwenye jukwaa la siasa.. Lakini huu ni uhujumu uchumi.. Juzi nikiwa Mwenge sokoni mtu wa parking alinielekeza vizuri sehemu ya kupaki gari. Nikapaki nikafanya ghughuli iliyonipeleka ndani ya dakika ishirini nikawa nimemaliza naondoka. Jamaa akaja na...
  9. Tony254

    KRA imekusanya ushuru wa makampuni kwa kiasi kikubwa kushinda target yake

    Makampuni za Kenya zinalipa ushuru kwa fujo sana hadi KRA wanakusanya ushuru mwingi kutoka kwa makampuni kupita makadirio ya awali. Hii ina maana kwamba Kenya ina makampuni mengi na pia yanatengeneza profit kibao na ndio maana zinalipa ushuru kwa fujo. KRA imekusanya ksh 330 billion kutoka kwa...
  10. Mapank

    Mtandao wa Alibaba una magari ya bei nafuu sana, Sijajua ushuru wake kuyaingiza nchini

    Nimepitia mtandao wa Alibaba, naona kuna magari ya bei nafuu sana kuliko mitandao ya magari tuliyoizoea, Na kuna magari mengi ya umeme ya chini ya 5M Tzs, Sijajua ni kuna mlolongo upi wa manunuzi na masuala ya tax clearance kwenye bisahara ya magari huko Alibaba mpaka watu wanakomaa na mitandao...
  11. A

    Ushuru wa kutoa gari aina ya IST bandarini ni bei gani?

    Habarini wana jamvi naombeni kujua gharama za kutoa gari aina ya Toyota ist badarini baada ya kuwa nimelipa kodi ya TRA, kuna tozo gani nyingine za ziada na bei zake zikoje?
  12. World Logistics Company

    Ushauri: Usiagize chochote nje ya nchi bila kujua gharama halisi za kodi na ushuru utakaolipia

    Moja ya changamoto kubwa wanayokutana nayo wateja wetu ni kuagiza bidhaa kwa njia ya mtandao halafu kukutana na kodi/ushuru mkubwa wa kutoa mzigo pale Bandarini, Uwanja wa Ndege au mipakani. Bei za viwandani (supplier) zinazowekwa mitandaoni huwa ni rahisi na zinavutia kuagiza. Mfano bei za...
  13. buffalo44

    Naomba kujua ushuru wa yeboyebo na viatu ukiagiza toka China

    Hello wakuu. Naomba kujua ushuru wa yeboyebo na viatu ukiagiza toka China. Import duty ya bidhaa aina hizo. Nitashukuru sana.
  14. Shujaa Mwendazake

    Amos Makalla: Hakuna kulipa ushuru kwa miezi miwili, hicho ndio kifuta machozi kwa wahanga wa soko la Kariakoo

    "Nitoe wito kwa wale wanaowapokea kwenye masoko, kwamba utaratibu ni ule ule wale ambao wametoka Kariakoo, wakiratibiwa wakifika maeneo hayo hakuna kulipa ushuru kwa miezi miwili, na hicho ndio kifuta machozi kwa wale walioathirika" - RC Dar es Salaam, Amos Makalla
  15. Shujaa Mwendazake

    Waziri wa Fedha: Serikali itaanzisha ushuru wa huduma za mitandaoni ‘Digital Service Tax’

    Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba, amesema Serikali itaanzisha ushuru wa huduma za mitandaoni ‘Digital Service Tax’, “hili ni eneo jipya ambalo tunalifanyia kazi, katika bajeti zinazofuata litakuwa ingizo jipya. Mataifa mengi yanageukia kodi hii.” Kazi na iendelee!
  16. mirindimo

    Mnashusha ushuru wa betting na pombe mnaongeza ushuru wa mafuta!

    Mnataka baba zetu waendelee kubet sio? Wahamie kabisa na mashuka na magodoro? Hii nchi hii yaani kuna mtu yuko bungeni kimkakati kuhakikisha betting hata inafutiwa ushuru, mwingine yeye ahakikishe pombeee pombeee zinakaa pazuri shida za wananchi na kero zao acha wafie mbali. Aiseee we are finished
  17. Scolari

    Msaada kuhusu ushuru TRA

    Je hiyo amount iliyowekwa hapo ambayo imeeleza kuhusu clearing na forwarding ni tofauti na ile ya TRA? Maana yake ukitoka hapo ndio unaenda TRA tena? Mungu tusaidie sisi watanzania wenye ndoto za kumiliki magari.
  18. KIMOMWEMOTORS

    Special thread: Kutana na waagizaji wa magari kutoka Japan

    HABARI YA MAJUKUMU? KIMOMWE MOTORS (T) LTD, TUNAPENDA KUKUKARIBISHA KUAGIZA GARI LAKO KWA GHARAMA NAFUU, HARAKA NA UHAKIKA KUPITIA KAMPUNI YETU. VILE VILE TUNAKUKARIBISHA KATIKA FURSA YA BIASHARA YETU NA UKAWEZA KUTENGENEZA KIPATO CHA ZIADA ENDAPO TU UTAWEZA KUAGIZA GARI AMA KUMLETA MTEJA...
  19. GeoMex

    Je, TRA wamesikia kilio chetu cha Ushuru wa kuingiza magari?

    Inafurahisha kwakweli hii ndio Tanzania tunayoitaka. Gari sio anasa,gari ni chombo muhimu kurahisisha shughuli za kiuchumi. Naomba na marekebisho mengine kwenye kodi yawe hivi hivi. Hii ni Ford Ranger kabla ya mwezi March. Mabadiliko kidogo yalifanyika lakini yana unafuu mkubwa. Hii hapa...
  20. J

    Baada ya hayati Magufuli kuzikwa, Halmashauri ya Handeni wapandisha ushuru wa mifugo, wafugaji wamlilia Rais Samia awasaidie

    Ikiwa ni siku moja tu baada ya hayati Magufuli kuzikwa halmashauri ya wilaya ya Handeni imepandisha ushuru wa mauzo ya mifugo mnadani kuwa sh 3000 kwa mfugo mmoja iwe umeuza au haujauza ilmradi tu umefika mnadani. Wafugaji wameiona hiyo ni kama hujuma kwa Rais mpya hivyo wamemuomba Rais Samia...
Back
Top Bottom