usiku nauli zinapandishwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania KERO LATRA - Dar, hii tabia ya Daladala kupandisha nauli Usiku mmeipitisha kwenye maamuzi yenu ya taasisi?

    Siku za hivi karibuni inapofika majira ya Saa Tatu na Usiku niligombana na kondakta wa daladala wakati natoka Kawe kwenda Segerea, alidai nauli ni ni Sjilingi 1,000 badala ya Shilingi 800, akisema kwa sababu ni usiku. Baada ya kuvutana akasusa nauli yangu. Hii si mara ya kwanza, imekuwa kawaida...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…