usiku ni kero

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania KERO Kituo cha Mabasi Nanenane - Mbeya kutokuwa na Taa zinazowaka Usiku ni kero kubwa kwa Watumiaji

    Kituo cha Mabasi ya Wilayani cha Nanenane kilichopo Jijini Mbeya kimegeuka kero kutokana na kukosa huduma ya taa na hivyo kuwa uasumbufu giza linapoingia. Watumiaji wengi tumekuwa tukipata wakati mgumu kutokana na kituo hicho kukosa taa kwa muda mrefu takribani Mwaka mmoja kwa sasa. Mamlaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…