Baada ya kuwepo kwa kampeni na gumzo kubwa mtandaoni la "Free Juma Jux", msanii nguli wa muziki wa Afro-R&B nchini, Juma Jux, hatimaye amerejea nchini Tanzania.
Urejeo wa msanii huyo umeibua msisimko mkubwa miongoni mwa mashabiki, hasa baada ya kuonekana akihudhuria usiku wa Henna wa msanii...
Hivi ndivyo staa wa muziki wa bongo Fleva Nandy alivyopita na mdundo wa Kibao kata katika usiku wa Hinna huko madale ikiwa ni sehemu ya sherehe kuelekea 40 ya mtoto wa Zuchu na Diamond.
Hapa uzungu umewekwa pembeni kidogo na jasiri akaamua kuifata njia ya asili yake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.