usiku wa henna

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Baada ya "free Juma Jux"; Hatimae Jux arejea Tanzania na kujumuika kwenye usiku wa henna wa zuchu

    Baada ya kuwepo kwa kampeni na gumzo kubwa mtandaoni la "Free Juma Jux", msanii nguli wa muziki wa Afro-R&B nchini, Juma Jux, hatimaye amerejea nchini Tanzania. Urejeo wa msanii huyo umeibua msisimko mkubwa miongoni mwa mashabiki, hasa baada ya kuonekana akihudhuria usiku wa Henna wa msanii...
  2. JamiiForums Tanzania Unalipa asilimia ngapi uno la Nandy kwenye kibao kata cha zuchu siku ya henna

    Hivi ndivyo staa wa muziki wa bongo Fleva Nandy alivyopita na mdundo wa Kibao kata katika usiku wa Hinna huko madale ikiwa ni sehemu ya sherehe kuelekea 40 ya mtoto wa Zuchu na Diamond. Hapa uzungu umewekwa pembeni kidogo na jasiri akaamua kuifata njia ya asili yake.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…