CAG ameonesha mapungufu yafuatayo katika usimamizi wa mali za Mamlaka ya Serikali za Mitaa;
1. Kutokuwepo kwa Hati za Umiliki wa ardhi zenye thamani ya TZS. 1.14 trilioni katika Mamlaka ya Serikali za Mitaa 27, kutokana na uzembe wa menejimenti za Halmashauri husika kutokupima ardhi...
Katika ukaguzi wa mwaka 2019/20, CAG ameonesha changamoto zifuatazo katika usimamizi wa rasilimali watu katika Mamlaka ya Serikali za Mitaa;
Idara ya Ujenzi, Sekta ya Elimu na Afya kuathiriwa na Upungufu wa Watumishi 119,753
Katika mapitio ya idadi ya wafanyakazi katika Halmashauri 123, CAG...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema Serikali itaendelea kuimarisha Mifumo ya Usimamizi wa Sheria na Utoaji wa Haki, akitoa rai kwa Mahakama kuendelea kutoka Hukumu na Maamuzi ya Haki kwa Watu wote.
Akizungumza leo Oktoba 28, 2021 amesema, "Serikali itaendelea kuelimisha Jamii juu ya...
Mapema leo Rais Samia akiwaapisha viongozi mbalimbali ameeleza wazi kuwa hatovumilia viongozi wala RUSHWA. Hata Siku ya Jumapili wakati akizindua mpango wa Serikali wa kuinua uchumi na kukabiliana na UVIKO19 alisisitiza matumizi sahihi ya fedha za hizo huku akiwataka wasimamizi kuzingatia sheria...
Niko barabarani kwa mguu natoka mahali kwenda mjini kuna basi ya abiria imepita kwa speed sio nzuri sana eneo ambalo halitakiwi.
Sijajua hivi vibao vinavyoonyesha speed ya gari ya kutembea eneo husika vina maana gani kwa sisi madereva wa kiafrika.Sijajua alama za pundamilia za kuvuka watembea...
Mtazamo kuhusu kilimo imepelekea watu kufanya kilimo kama kazi ya ziada au shughuli ya zaida katika kupata faida ili kuendesha maisha au naweza kusema hawachukilii serious ulimaji wao,
Ni kweli sawa umebanwa na kazi au shughuli za hapa na pale lakini kamwe usije kufanya kilimo cha simu...
Sote tunashuhudia mabilioni ya fedha za miradi ya TAMISEMI kwenye Halmashauri kadhaa hapa nchini. Ni hatua kubwa sana kwa maendeleo ya nchi.
Tuna miradi ya shule, mabweni, vituo vya afya, Hospitali, nyumba za watumishi, majengo ya utawala n.k n.k
Unakuta TAMISEMI Makao Makuu wanaleta fedha...
Habari wana JamiiForums, poleni na majukumu.
Mimi ni kijana wa miaka 23 nilikuwa naomba msaada wa kazi yoyote halali ya kusimamia biashara au ofisi yoyote. Ninaishi Ilala Dar es Salaam. Nitakusaidia na kufanya kazi kwa jitihada kubwa.
Mungu akubariki sana
USIMAMIZI WA HAKI ZA DIJITI/DIGITALI; NINI KIFANYIKE?
Ni ukweli usiofichika teknolojia imekuza uchumi wa nchi hii kwa kasi mno. Kampuni na watu binafsi hasa wafanyabiashara hutumia ulimwengu wa elektroniki (e-world) kama nyanja yao kuu ya mawasiliano na wateja wao. Katika mawasiliano yao...
Maelezo Kwa Kiswahili
Habari njema kwa wafanyabiashara mliokuwa mnapata changamoto juu ya namna bora ya kusimamia biashara zenu.
Adiuta Business Assistant ni Mfumo unaokusaidia kusimamia fedha za biashara yako kwa kukuwezesha kujua mapato, matumizi, mali na madeni ya biashara yako.
Iwe ni...
Wakati dunia inaadhimisha siku ya mitandao ya kijamii, kumekuwa na maswali mengi kuhusu matumizi na matokeo yake kwa jamii. Kuna wanaoona mitandao ya kijamii imekuwa na manufaa sekta nyingi kama habari, biashara, sanaa na fedha, kuna wengine wanaona kuwa imeleta janga na changamoto nyingi, hasa...
Habari ya leo wakuu,
Mimi ni kijana wa kiume,
umri wangu miaka 29 .
Nna mke na mtoto 1,
Naishi Dar Es Salaam
Elimu yangu kidato cha nne
Nimejitokeza hapa kuomba kazi ya sales and marketing ama usimamizi wa biashara na masoko.
UZOEFU WANGU
Mwaka 2013 nilianza kazi ya kusajili laini kampuni ya...
Kikwazo kikubwa kinachoathiri biashara ya Daladala leo ni njia na usimamizi wa haya magari. Hii inajumuisha wasimamizi yaani TRA & trafiki, Bima etc.
Biashara ya Daladala imekuwa moja ya uwekezaji hatari zaidi hadi sasa kutokana na wamiliki kushindwa kushika mambo yote,tena ukizingatia wengi...
Jina langu naitwa #####, ni mkazi Wa Mbeya, kwasasa naishi mkoani Njombe taaluma yangu ni mwalimu.
ELIMU:
Nimesomea bachelor of arts with education Chuo kikuu cha Dodoma, na kuhitimu mwaka 2017. Literature in English na history kama masomo ya kufundishia.
UZOEFU;
nimefundisha kama mwalimu Wa...
Rais Xi Jinping wa China amesema mfumo wa utawala wa kilimwengu lazima ufanywe uwe wa usawa na uadilifu zaidi, na kwamba kanuni zinazowekwa na nchi moja ama baadhi ya mataifa haziwezi kulazimishwa kufuatwa na wengine.
Akizungumza kwenye Jukwaa la Boao, ambalo ni mbadala na Jukwaa la Kiuchumi...
Hakika inashangaza na Kusikitisha kabisa. SERIKALI inashindwa kuweka na kusimamia Utaratibu Mzuri wa Uendeshaji wa Kituo cha Mabasi cha Magufuli kwa kumwaachia Wafanyabiashara kutandaza na kupanga bidhaa zao kwenye Corridor na sehemu za kupumzika Abiria.
Hivi kusimamia hilo mpaka aje Mzungu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.