usm alger

  1. Mwamuzi wa Tanzania

    Utabiri: Yanga 1- 0 USM Alger

    Hayo ndiyo matokeo ya mechi ya leo. Ngoja nakuja kuwatajia jina la mchezaji atakayefunga.
  2. M

    Kila la heri kwa USM Alger kuelekea mchezo wa fainali ya mkondo wa kwanza kombe la Shirikisho barani Africa dhidi ya Yanga

    shalom shalom Tusipangiane ipi timu ya kuishabikia, suala la uzalendo halipo kwangu. Natanguliza salamu za heri kwa timu ya USM Alger katika mbungi itakayopigwa hapo kesho.Kila la heri katika kulisaka taji la kombe la shirikisho hapo kesho.
  3. kwisha

    USM Alger wanamuogopa sana Fiston Mayele

    Nimekutana na video hizi kwenye mtandao wa Facebook, mmoja kati ya wachambunzi wa mpira huko Algeria alikuwa amepost kuongelea Yanga. Kuna habari zimenifurahisha na kunihuzunisha. Zilizo ni furahisha ni jinsi alivyokuwa anachambua video za Fiston Mayele na comment za mashabiki zao wanaonyesha...
  4. S

    Yanga yawazidi USM Alger kwa Takwimu za CAF

    Baada ya mechi 10 za kombe la Shirikisho Afrika kwa kila timu, Yanga SC wamewazidi USM Alger kwa takwimu karibu zote miongoni mwa timu hizo: Eneo pekee ambalo Yanga wamezidiwa ni mabao ya kufunga ( utofauti wa mabao mawili ) huku Yanga wakitawala maeneo mengine yote yaliyobaki. Takwimu hizi ni...
  5. Kurunzi

    Kuingia fainali kwa timu ya Yanga na USM Alger ni Mtihani mkubwa sana

    Kwanza naomba niipongeze Timu yangu ya Yanga kwa kufikia hutua hii adhimu ya fsinali ya Kombe la Shirikisho Afrika. Mmetuheshimisha sana sana, kweli hatuna deni na nyie, pokeeni maua yenu. Lakini naomba nitoe angalizo kwa timu yetu, hatua mliofikia ni mtihani mkubwa sana huenda kuliko watu...
  6. kwisha

    USM Alger hawana mpira wa kutisha zaidi

    Nimecheki baadhi ya video za USM Alger Nimeona hawana mpira wa kutisha zaidi marumo ni Hatari kuliko wao. Labda kitakacho tuponza yanga ni ufupi wa mabeki zetu tu kwa hiyo tukiweza kuwadhibiti kwenye mipira ya juu tutakuwa tumewaweza Ivo Maana wanatumia mipira ya juu zaidi hata Goli Zao nyingi...
Back
Top Bottom