Vijana wa Arusha (wadudu) msipobadilika mtaangamia sana.
Kuna video inatembea mitandaoni hasa twitter, bodaboda akigongana uso kwa uso na Subaru.
Chanzo ni mwendo kasi wa bodaboda na ku-over take bila kuchukua tahadhari.
Nafikiri wale jamaa wa bodaboda wamefariki palepale. Maana mmoja...
Kinachoitwa shambulizi la Iran kwa Israel jana ni kelele kubwa tu za majidai na usumbufu ambazo hazikuleta chochote cha maana. Unashambulia nchi iliyo umbali wa KM 2300 kwa kutuma drones ambazo zinakatiza anga za nchi nyingine kadhaa kwa masaa na karibia zote kuishia kutunguliwa au kuanguka...
Salaam, Shalom!!
ALAMA /MUHURI/NEMBO Ina KAZI maalum ya kutambulisha bidhaa au Mali Ili kuonyesha mmiliki halali wa kitu au Mali hiyo, NEMBO, ALAMA au CHAPA, Kwa mifugo Kwa Mfano, zipo kutofautisha mifugo kati ya mmiliki huyu na yule.
Waliosafiri Kwa treni enzi zile, wezi walikuwa wanawawekea...
Hongera Yanga SC, hongera Tanzania. Kutoka kwenye msitu wenye zaidi ya miaka 200, imekwisha onekana Yanga atakutana na Tp Mazembe kwenye final match ya CACL.
Safari ya mbali haiagwi.
Iilikuwa shule fulani huko maeneo ya kibaha kwenye miaka ya 2000s.
Tukiwa tumetulia ghafla kengele ya dharura ikagongwa na sote tukakimbilia parade kujua kunani. Kumbe ilikuwa kengele ya jambo jema; jamaa wa bank (ya posta kama sikosei) walifika kutoa zawadi kwa mwanafunzi fulani pale baada ya...
Tahmeed Bus kutoka Busia kuelekea Mombasa imegongana uso kwa uso na Lori la mafuta karibia na High School ya Mundika.
Inasemekana kuna vifo na marejuhi baada ya Basi kulipuka.
---
Two people dead, 5 hospitalised after fuel tanker collides with bus in Busia
Two people have died as five others...
Wadau,
Yamenikuta makubwa (vifungo vya kufa mtu)sasa nadhani ni muda muafaka wa kumuona Kuhani Musa sababu ya sifa ninazozisikia kuhusu yeye.
Na je huwa kuna gharama gani pale ili kupata huduma zake
NB: Najua kanisa lake lipo Temboni , sasa sababu mimi nipo mkoani nataka uhakika wa kumuona...
Mh, tuombee isitokee, lakini kama imetokea na umekutana naye ili asikudhuru unatakiwa ufanye kitu hiki ni kigumu lakini unatakiwa ukifanye:
Simama mwangalie macho kwa macho huku ukiondoa hofu!!! Simba humuogopa binaadamu hivyo atakupa hiyo heshima endapo usipomuonyesha hofu!!!!! Utaweza...
Jeshi la Hamas ni nadra sana kuvaa kiraia, pia huficha nyuso zao kamwe hazionekani. Lakini wauwaji wa Joshua walikua hawana nguo za jeshi wamevaa kiraia na pia nyuso zao zilikua wazi.
Kwanini Hamas hufunika nyuso zao?
Hamas daima hufunika nyuso zao. Watu hawa, ambao hawajajulikana ni wakina...
1. Jana ilikuwa siku mbaya sana kwa Israel na mshirika wake mkuu Marekani, kwenye Baraza kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA).
2. Kwamba kwa kauli moja lilipitishwa azimio lenye kuishutumu Israel wazi wazi na si mpigania uhuru HAMAS!
3. Kwa takwimu hizi za kura:
4. Kwamba 10 wasiojitambua ni...
Kama mtu haujawahi kukutana nae uso kwa uso usijiaminishe kwamba unamjua. Wewe unamjua kwa namna ambayo ametaka wewe umjue na asilimia nyingi huyo unayemjua ni mtu ambaye ni wa kisadikika hayupo (Fictional character).
Unamjua kupitia mtandaoni na picha unazo amekutumia lakini ukitaka kuonana...
Hapo vip!!
Kwanza nikaanzie kwa kusema mwanaume anayempenda mwanamke na muona nimshamba na hajitambui.
Mimi sinto owa kwasababu siwezi kuishi na mwanamke...hiyo ndio salam.
Vitabu vya dini vimeweka wazi yakwamba mwanamke tokea awali ni muovu kwasababu Biblia inasema katika bustani ya edeni ni...
Nimemsikia mtu mmoja akitoa hoja ya kushitaki mahakamani mabango yaliyowekwa na Yanga barabarani. Ukweli ni kwamba aliyeyaweka haya mabango inaitakia mema Simba kuliko huyu anaetaka mabango yapelekwe mahakamani; haitakii mema Simba,
Mabango ya Yanga yalipaswa kuisaidia Simba kutafuta wapi...
Hiyo picha ni ya mdada / Mbibi anaitwa Maria, ni mjane mwenye watoto wa 4
===========================
Update: 08/11/2023
https://www.jamiiforums.com/threads/tls-kumsaidia-aliyefungwa-miaka-22-kisa-nyama-ya-swala.2156049/
==========================
Haya, huyu hapa, Anaitwa Hakimu...
Tembea uone na kuishi kwingi ni kuona mengi:
Clip hii inajieleza.
Demokrasia ipi au haki zipi za bindamu Marekani au Ulaya magharibi watamwambia nani wapi?
Undumila kuwili wao unawapa sana visingizio mabaradhuli wengi wa dunia hii kujifanyia yao na bila ya simile.
Kumbe nani wa kumwambia...
Katika pita pita huku mtandaoni nikakutana tu na picha zake nikawa nashangaa kama vile kavaa helmet ila sio....nywele zimekutana na nyusi....
Kikomwe chake kimeenda wapi sasa na kwenye harusi kilikuwepo. Anyway ana kipaji cha kuchamba watu.....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.