usoni

Usoni Club, better known as simply Usoni, is a Comorian basketball club based in Mutsamudu. The club's colors are blue and white.
In 2019, the team competed in the inaugural qualifiers for the Basketball Africa League. The team had a 0–4 record while Soula El Had led the team in scoring.

View More On Wikipedia.org
  1. kavulata

    Kabla ya kumtimua kocha angalia usoni wachezaji wako kwanza

    Kazi ya kocha wa timu ni kuratibu wachezaji kwa kutumia vipaji vyao TU, sio vingine. Kazi ya kuhakikisha fitness ya wachezaji ni ya kocha wa viungo, kazi ya kuhakikisha kuwa wachezaji, Wana furahà, Wana morali ya kucheza kwa bidii ni kazi ya uongozi wa timu. Kabla ya kumfukuza kazi kocha kwa...
  2. Mwamuzi wa Tanzania

    Jinsi kiatu cha mtu kilivyo ndivyo jinsi alivyo usoni, yaani huakisi uzuri wa sura yake

    Haka kautafiti nimekafanya leo asubuhi hapa Kariakoo. Both kwa ladies and gentlemen. Ukitazama kiatu chake then umtazame sura yake unaona kabisa alistahili kuvaa kiatu hicho . Hata kama kiatu ni Cha gharama mtu akiwa na sura mbaya bado atavaa kile kibaya. Hata kama kiatu ni cha bei chee...
  3. M

    (Ukraine) anajisifu: Ngumi kumi, nimekwepa tisa ni moja tu ndio ilinipata, kinachoonekana dogo amechakaa usoni, uso umevimba na macho hayaoni!

    Kiuhalisia Ukraine inachakazwa sana!! Ila vyombo vya magharibi vinapotosha ili kukwepa aibu ya kushindwa kuilinda ukraine kupitia air defenses walizopeleka huko! Asilimia 80 ya mji mkuu kiev hauna maji, na umeme na kila jimbo la ukraine hali ni mbaya hawana maji na umeme!! Kisa dogo...
  4. Shark

    Yanga Leo jiandaeni na kumulikwa vitochi usoni

    Hawa jamaa ukiacha kupenda kwao mafataki mwanzo mwisho, pia ni waumini wazuri wa maswala mazima ya vitochi usoni. Leo ndiyo mtajua hamjui, dadeki.
  5. MK254

    Jamaa wa karibu sana na Putin aibuka kwenye TV na manundu usoni na hataki kusema nini kimemsibu

    Ni dhahiri kachezea kichapo, ngumi za kwenye uso, ila alipohojiwa nani kampiga akagoma kutoa jibu. Kwa hasira alizo nazo Putin sasa hivi inabidi kukaa mbali naye, hata kama una urafiki naye wa karibu kiasi gani, utachezea za uso muda wowote... Ukraine inamuuma kichwa sana kwa kweli...
  6. GENTAMYCINE

    Haji Manara popote ulipo au ukisaidiwa na Yanga SC Wenzako mkinijibu haya Maswali yangu Muhimu nitashukuru

    " Wenye Akili Yanga SC nzima ni Watu Wawili tu Rais Mstaafu Kikwete na Baba yangu Mzazi Mzee Manara waliobakia wote hawana," alisema Haji Manara alipokuwa akihojiwa na EFM Radio Kipindi cha Sports Headquarters mwaka 2021. Baada ya Nukuu ( Kumbukizi ) hii sasa Maswali Kuntu ya GENTAMYCINE...
  7. Me too

    Huyu ndiye mdudu chunusi wa usoni?

    Pitapita zangu mitandaoni nikakutana na hiki kitu kuwa huyu ndiye mdudu anayekuwepo usoni na kusababisha chunusi hizi tuzionazo baada ya balehe👇 Wanasema unapobinya chunusi hutokea weupe ule weupe unakuwa umetoka kwa huyo mdudu yaani umemfinya yeye na damu yake ndo inaachia mabakabaka usoni...
  8. Z

    Mke wangu anaota ndoto anapigwa ngumi usoni

    Mke wangu ameota Leo usiku kuwa anapigwa ngumi na jitu limemkalia kifuani. Ameamka amekuta uso mzito unamuuma kama kapigwa kweli.
  9. John Haramba

    Mwanza: Mfalme Zumaridi, wenzake wafikishwa mahakamani, ajifunika uso kwa kitenge

    Diana Bundala maarufu kama 'Mfalme Zumaridi' na wenzake 84 leo Alhamisi Machi 17, 2022 wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza kusomewa maelezo ya awali katika mashtaka matatu ikiwamo usafirishaji haramu wa binadamu. Makosa mengine ni pamoja na kusanyiko lisilo na kibali na...
  10. HUKU ABROAD

    Umeshtuka usiku umekutana na rafki yako wa karibu anakuroga na ukamuona usoni je kesho utamkumbusha !?

    Nimemuona mchawi namjua Ingekuwa ww ungemfata asubuhi !?
  11. T

    Natabiri yatakayotokea siku za usoni watanzania tuzidi kusali

    Haki huwinua Taifa. Sasa ndugu zangu natabiri natabiri yatakayotokea siku za usoni. Kutakuwa na ishara ya mtikisiko kutoka kati kati ya Taifa. Mtikisiko huu utasumbua wenye mamlaka. Inashauriwa viongozi wakitaifa na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama kujitahidi tenda haki ili kupunguza...
  12. Suley2019

    Michuano ya Euro2020: England matatani kwa kumpiga tochi mlinda mlango wa Denmark

    Chama cha Soka cha Ulaya (Uefa) kimeishtaki England baada ya mashabiki wake kummulika usoni kipa wa Denmark, Kasper Schmeichel kwa tochi yenye mwanga mkali wakati wa mechi ya nusu fainali ya michuano ya Mataifa ya Ulaya (Euro 2020) iliyoisha kwa taifa hilo kuibuka na ushindi. Picha...
  13. ndege JOHN

    Tatizo la kushindwa kumuangalia mtu usoni mkiwa mnaongea

    Hili ni tatizo la kisaikolojia ambalo nimegundua watu Wengi tunalo. Mtu mnaonge yeye anaangalia chini. Ni uwoga na kukosa kujiamini. Ni vizuri tukaangalia wapi tunafeli. Mimi binafsi watu walionizidi umri siwezi kuwakazia macho usoni ila watoto nawaangalia na wananielewa.
Back
Top Bottom