ussr

  1. The Supreme Conqueror

    Yaliyojificha nyuma ya maandamano ya Gen Z na USSR kuhusishwa

    Msemaji wa serikali ya Kenya anasema kitu kama kile kile kuwa kuna usaidizi unao toka nje ya nchi kusupport maandamano " sasa hapo amekomea kusema usaidizi wa nchi za nje hajasema ni nchi gani. AGENDA NAMBA 260B Hivi unajua haya maandamano ya kenya aliyepo nyuma ya pazia ni Putin rejea...
  2. S

    Tahadhari ya Kuvunjika Muungano wa Tanzania - USSR

    Tanganyika nayo itatawanyika vipande vipande. Mbali ya huyu Mtanganyika huyu Mzanzibari, Tanganyika haitakuwa salama na ndio hata Waasisi wa Tanganyika waliusia sana kuhusu kuizulumu Zanzibar. Zanzibar ni ya kulelewa na kufanikishwa kila wanachokitaka, wanahitaji kudekezwa kwa hali na mali...
  3. kagoshima

    Nimeshangaa kusoma kuwa USA ilisaidia silaha USSR kumshinda dikteta Hitler

    Wadau, Acha kabisa. Siasa za kimataifa hazina rafiki wa kudumu. Nilikua nasoma mahali. Kumbe wajerumani walikua wanaiteka USSR. Kama kawaida mbabe USA akampatia support ya siraha kali kumsaidia urusi ya zamani kushinda vita. Na kwahistoria hiyo Urusi hatoboi hapo Ukraine.
  4. Pearce

    Kwanini Urusi ndio iliumia kuvunjika kwa USSR kuliko washirika wengine

    Leo hii unapotazama wanaoipigia promo sana kurudi kwa USSR ni Urusi tu na ndio maana wananchi wa Beralusi walipotaka muondosha Rais wao mwenye mfumo wa Urais unaoendana na Urusi. Urusi aliingilia kati na akafanikiwa kulinda madaraka ya Rais wa Belarusi, Ingawa kwa Rais Pro Russia wa Ukraine...
  5. britanicca

    Watanzania wengi wanamuunga mkono Urusi wakidhani ni USSR, siyo na mjue Urusi hana msaada aliowahi toa Kwa Tanzania

    Watanzania wengi wanamuunga mkono Russia, wakidhani ni USSR. Hawajui kuwa wanachanganya kati ya Russia na USSR. Russia na USSR ni vitu viwili tofauti ingawa historia inaonyesha Russia aliwahi kuwa sehemu ya USSR, lakini nje ya USSR. Russia hakuwahi kuwa na msaada kwa Tanzania na waafrika...
  6. Kasomi

    Ifahamu nchi kubwa kuliko zote duniani

    IJUE NCHI KUBWA KULIKO ZOTE. Je, unafahamu kuwa Urusi (Russia)/ USSR Ndio nchi inayo shika rekodi ya kua nchi kubwa kuliko nchi yeyote duniani? Basi fahamu Kuhusu ukubwa wake, eneo lake kwa ukubwa ni 17,075,400km² za mraba (million17.1km²), ambayo sawa na 12,577mile kwa urefu. Pia Urusi...
  7. chizcom

    Kwa mawazo yangu Urusi inataka kurudisha sehemu zake zote zilizovunjika USSR

    Leo nimejaribu kuangalia historia ambayo ndio taifa kubwa katika mabara la umoja wa Kisovieti na kuangalia sababu zipi zilipelekea kuvunjika. Cha kwanza kinaonesha kuwa Urusi imejipanga muda mrefu kwa haya na si kwa hayo kwa yoyote ambaye atajaribu kuingilia. Wakitoka Ukraine tambua Afghan...
  8. Comred Mbwana Allyamtu

    Bay of Pigs vs Cold War: Marekani, Cuba na USSR, ulimwengu kiganjani mwa CIA, CRF na KGB - na aibu ya dunia kwenye ulingo wa kijasusi

    BAY OF PIGS Vs COLD WAR: MAREKANI, CUBA NA USSR, ULIMWENGU KIGANJANI MWA CIA, CRF NA KGB; NA AIBU YA DUNIA KWENYE ULINGO WA KIJASUSI. Na. Comred Mbwana Allyamtu(CMCA) Wednesday-16/06/2021 Kilimanjaro National Park, Marangu Kilimanjaro Tanzania. Kwenye jengo la Pentagon ghorofa ya pili upande...
  9. I_manyota

    Soviet Union (ussr) sasa Urusi nchi kwanza kurusha chombo anaga zambali na nchi ya kwanza kutuma chombo mwezini

    Unajua vita kuu ya pili ya dunia Warusi na Wamarekani walifanya wizi flani ambao mpaka sasa i can tell you ndio unawapa jeuri hawa washenzi. Hilter ujueri wake ndio uliompoza ila kimsingi jamaa alikua mbali sana katika mambo ya teknolijia hasa kwenye mambo ya silaha hizi, sema ndio vile ukijiona...
  10. The Palm Tree

    Uchaguzi 2020 Slogan ya CHADEMA katika uchaguzi ni "Uhuru, Haki na Maendeleo ya Watu". CCM slogan yao mwaka huu ni ipi?

    Mwaka 2015 slogan ya CCM ktk uchaguzi huo kama nakumbuka vizuri ilikuwa HAPA KAZI TU... Hii ndiyo imekuwa mwongozo tangu wakati huo tangu walipotangazwa washindi na mpaka sasa ktk shughuli za kiserikali... Baada ya miaka mitano, mwaka huu ni uchaguzi mwingine. Mpaka sasa binafsi kwa kweli...
  11. Maxence Melo

    Ignore list on JamiiForums: Maboresho ya mwaka 2020

    Wakuu, Kumekuwepo maombi ya wadau wakitaka kuweza kutoona aidha wanachoandika watu fulani au kutoona content kutoka forum fulani au contents za thread fulani tu. Naam, tumelifanyia kazi hili na sasa unaweza kufanya hivyo. ZINGATIA: Ignore list yako inakuwa hapa mara zote...
  12. Sanyambila

    Uzi wa kuweka mikasa ya utapeli wa mali, pesa kwa njia mitandao

    Wajumbe wa kikao aka mkutano, habari zenu na poleni na majukumu. Leo nimekuja na agenda hiyo juu kuhusu utapeli wa kimtandao na wa rejareja wakati maisha yakiwa magumu huku kuna watanzania wenzetu wanapiga hela kwa wenzao kwa kutumia uongo uliokaribu na ukweli. Kuna utapeli wa wa aina nyingi...
  13. R

    Afande Mambosasa Umetahadhalisha na upotoshaji wa matumizi ya neno utekaji, kuhusiana na Tito Magoti kuwa hakutekwa; Utekaji ni nini?

    Abduction: NOUN The action or an instance of forcibly taking someone away against his will. eg ‘they organized the abduction of Mr. Tito Magoti on his way to the LHRC offices’ ; ‘abductions by armed men in plain clothes’. Najiuliza, Does the above definition match yesterday's action in...
  14. Sanyambila

    Askofu Bagonza atoa pongezi na ujumbe mzito kwa CHADEMA

    Ujumbe kutoka kwa Baba Askofu Dr Benson Bagonza PhD.. HONGERA CHADEMA, lakini... Nawapongeza wana Chadema kwa kumaliza uchaguzi. Nawapongeza viongozi wote walioshiriki, wakashindwa na kushinda. Mlichokozwa, hamkuchokozeka. Waleteeni watanzania fikra mpya, hoja mpya na siyo Tanzania mpya...
  15. MALCOM LUMUMBA

    Swali gumu kidogo: Kwanini Urusi iliyosambaratika na dhaifu kuliko USSR inawasumbua sana NATO?

    Umoja wa Kisovieti (USSR au CCCP) taifa lililozaliwa mwaka 1922-1991, lilikuwa ni moja ya taifa lenye nguvu sana duniani lakini lenye mwisho mbaya sana ambao ni aibu kwa watu wake mpaka leo. Kiuchumi walikuwa wana nguvu sana, kiteknolojia walikuwa mbele, nguvu kubwa ya viwanda, kijeshi...
Back
Top Bottom