ustawi

Chama cha Haki na Usitawi (CHAUSTA) is a political party in Tanzania. The party was registered on 15 November 2001. Its founder and current chairman is James Mapalala, a former national chairman of the Civic United Front.

View More On Wikipedia.org
  1. Natafuta Ajira

    Wanaume kulegeza standards zetu ni chanzo cha ustawi na maadili ya jamii kuporomoka.

    Wanaume tukipuuzia suala la kuoa mwanamke bikira, wanawake hawawezi kuona umuhimu wa kujitunza kwa sababu wataamini wakishamalizana na hoe phase kwenye maisha yao mwanaume yoyote atawapokea hivyo hivyo na damages zao. Women lost their dignity because in our current generation there are no...
  2. U

    Ustawi wa jamii

    Naomba nichangie suala linalohusiana na ustawi wa jamii. Siku za karibuni kuna utafiti nimefanya ambao sio rasmi lakini kwa takwimu na matukio niliyobaini inanisukuma kuandika hapa jukwaani. Kwa hapa Dar es Salaam naona kuna ongezeko kubwa la watoto wa mtaani. Hawa watoto wanazaga ovyo mchana...
  3. M

    Barua ya wazi kwa Waziri wa Mazingira na NEMC- Kelele mitihani ni tishio la afya za wananchi na Ustawi wa Taifa

    Ndugu mheshimiwa Waziri naandika haya kukujuza kuwa. Kwa sasa nchini kiwango cha kelele mitaani kinatisha, ni jukumu la serikali kuchukua hatua ili kulinda Afya za wananchi na ustawi wa Taifa. Ndugu Waziri, leo hii kwenye vituo vya mabasi, masokoni, mitaani, kelele zimekuwa ni nyingi na tena...
  4. B

    Pre GE2025 Tundu Lissu: Tunawaalika wasio wanachama wa CHADEMA waje wajiunge na Chama chetu cha Haki, tupiganie maendeleo na ustawi wa Nchi yetu pamoja

    Kipenga kimepulizwa, wito umetolewa. Shime kila mtanzania anayechukia wizi, ufisadi, uuzwaji wa rasilimali za umma kwa wageni, utawala usiozingatia haki na heshima anaombwa kwa unyenyekevu kujiunga na Chama chenye mwelekeo chanya. Ni Mh Tundu Lissu Mwenyekiti Taifa Chama cha demokrasia na...
  5. Sir John Roberts

    Tanzania tupo kwenye Mtego. Ni Lazima tuhakikishe amani inapatikana kati ya Congo na Rwanda kwa ustawi wa uchumi wetu

    Kwa namna yeyote ile ni lazima Tanzania ihakikishe amani inapatikana congo na Rwanda. Nchi zote mbili hizi Zina mchango mkubwa katika Uchumi na biashara katika nchi yetu. Tanzania kwa sasa tupo katika mtego ambao ni lazima tuutegue katika njia ya amani kwa ustawi wa taifa letu. Kila la heri...
  6. Logikos

    Ustawi wa Jamii: Wakati tunawaangalia hawa watoto wa Majumbani; Je tumewasahau hawa wa Kitaa ?

    Sisemi kwamba tuache kuwaangalia na hawa wa majumbani ( i.e. Kuziba Ukuta ni vema ili Kesho Tusijenge Ukuta...) Lakini atleast hawa wana wazazi / walezi wanaowalea ingawa tunasema eti wasiwachape hivyo kuwatisha!!! Lakini Haimaanishi kwamba kama Ukuta Umeshaanguka ndio tusiujenge na Hawa watoto...
  7. Rorscharch

    Ustawi wa Mataifa Hufuata Mzunguko Fulani wa Maisha (kupanda mpaka kuporomoka): Watanzania tupo wapi?

    Sir John Bagot Glubb, mwanajeshi na mwandishi wa karne ya 20, alitoa mchango mkubwa kwa historia kwa kuchunguza jinsi mataifa yanavyoinuka, kustawi, na hatimaye kuporomoka. Katika kazi yake maarufu, The Fate of Empires and the Search for Survival (1978), Glubb alieleza kuwa mataifa yote makubwa...
  8. Yoyo Zhou

    Ushirikiano wa China na Afrika waonyesha mfano bora wa kuendeleza ustawi wa pamoja

    Wakati mwaka mpya unapoanza, Waziri wa Mambo ya Nje wa China, Wang Yi, ameanza ziara yake ya kwanza nje ya nchi kwa mwaka 2025 kwa kutembelea bara la Afrika, akiendeleza utamaduni wa diplomasia unaotimiza miaka 35. Ziara hii inaonyesha ahadi ya kudumu ya kuimarisha ushirikiano na Afrika na...
  9. Roving Journalist

    DC Farida Mgomi: Vitendo vya ukatili wa Kijinsia vinarudisha nyuma Ustawi wa Jamii na Uchumi wa Taifa

    Mkuu wa Wilaya ya Ileje, Farida Mgomi amewaasa wananchi wa Wilaya ya Ileje kuungana na kushirikiana kwa pamoja kutokomeza vitendo vya ukatili wa kijinsia, kwa kukemea na kushirikiana na Vyombo vya Dola kutoa taarifa ya vitendo vya ukatili wa kijinsia ili kuhakikisha jamii inabaki salama dhidi ya...
  10. Waufukweni

    Dira ya Maendeleo 2050: Tanzania Kuelekea Taifa Jumuishi, lenye Ustawi na Kujitegemea

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Mhe. Prof. Kitila Mkumbo amesema pamoja na mambo mengine, dira mpya ya maendeleo ya Taifa ya mwaka 2050 utaijenga Tanzania kuwa Taifa jumuishi lenye ustawi, haki na linalojitegemea. Katika kufikia huko, Waziri Kitila wakati wakati wa Uzinduzi...
  11. Stephano Mgendanyi

    Shemsa Mohamed: Chagueni CCM kwa Maendeleo, Amani na Ustawi wa Tanzania

    SHEMSA MOHAMMED: CHAGUENI CCM KWA MAENDELEO, AMANI NA USTAWI WA TANZANIA Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Ndugu Shamsa Mohammed ameendelea na Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 katika Wilaya ya Busega na kuwasihi wananchi wapenda maendeleo kuwaunga mkono...
  12. A

    DOKEZO Serikali ifuatilie utendaji Idara ya Ustawi wa Jamii - Hospitali ya Muhimbili, ngazi ya juu hakuna Uwajibikaji

    Kwanza nianze kwa kuwapongeza JamiiForums kwa kazi nzuri mnayofanya ya kubadilisha mwenendo wa nchi yetu, kazi kubwa inafanyika na mabadiliko yanaonekana, pongezi kwa hilo. Hivi karibuni niliona habari ya MOI kuhusu yule mgonjwa ambaye alikosa huduma kutokana na uongozi kumkazia kuhusu suala la...
  13. Paspii0

    Ustawi wa kweli, haki, na furaha.

    Falsafa kuhusu binadamu mroho na mwenye husuda inachunguza asili ya tabia hizi hasi, na jinsi zinavyoathiri mahusiano, jamii, na maendeleo ya kiroho na kimaadili ya mtu. kuna tabia ambazo mara nyingi husababisha madhara kwa mtu mwenyewe na kwa wengine, na kuzua maswali kuhusu maana halisi ya...
  14. Roving Journalist

     Chuo cha Ustawi wa Jamii: Wanafunzi wanachagua wenyewe kusoma asubuhi au Mchana, tunawashauri wakae karibu na Chuo

    Salaam, Baada ya Mdau wa JamiiForums kulalamikia Ratiba ya Masomo ya Chuo cha ustawi wa jamii Kwamba Wanafunzi wanasoma hadi hadi saa 4 usiku kitu ambacho ni hatari kwa usalama wa wanafunzi, Chuo kimetoa Ufafanuzi. Katia taarifa yao wameeleza hivi; Tarehe 3 Novemba, 2024 ilisambaa taarifa...
  15. winnerian

    Kutoka Dunia ya Tatu hadi Kwanza: Tanzania na Ustawi wa Kiuchumi wa Mikoa yote, bara na visiwani

    1. Ndugu zangu Watanzania, wa dini zote, vyama vyote vya siasa, kanda zote nchini na rika zote, ni wakati wa kujiuliza: [ISPOILERNi wapi tumekosea hadi kushindwa kufikia mafanikio ya kweli ya maisha? 2. Tumeishi kwa matumaini ya maendeleo, lakini bado tunaonekana kubaki nyuma licha ya...
  16. Logikos

    Ustawi wa Jamii: Tunajiandaa Vipi na Kuzuia Wimbi la Wazee Ombaomba wa Kesho ?

    Wahenga walisea Mchumia Juani Hulia Kivulini; Ila nadhani hawaku-consider kama cha kuchuma hakipo inakuwaje...; Baba wa Taifa alisema katika Hotuba ya TANU (ambayo ndio Baba wa huyu CCM anayetawala Leo) CHAMA CHETU KINASEMA - mtu mwenye Afya ambaye tumeshindwa kumpa njia halali ya kujipatia...
  17. Roving Journalist

    Serikali yatoa maagizo kwa Maafisa Ustawi wa Jamii wa mikoa na halmashauri

    NAIBU Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-TAMISEMI (Miundombinu), Mhandisi Rogatus Mativila amewaagiza Maafisa Ustawi wa Jamii kuhakikisha wanahamasisha uanzishwaji wa vituo vya kulelea Watoto Wadogo Mchana vya Kijamii katika vijiji/mtaa na kuwasilisha taarifa hii ifikapo Januari 30, 2025. Mhandisi...
  18. Ojuolegbha

    Mkutano wa Mwaka wa Maafisa Ustawi wa Jamii kufanyika Septemba 18-20, 2024

    Mkutano wa Mwaka wa Maafisa Ustawi wa Jamii Septemba 18-20, 2024
  19. Mhafidhina07

    Skuli za boding hazifai kwa Ustawi mzuri wa vijana wetu

    Kuna jambo moja hatulifahamu sisi Waafrika nalo si jengine bali ni kulinda tamaduni zetu za Kiafrika,tumeshindwa kabisa kulinda tamaduni za kiafrika kutokana na changamoto za kimazingira ambapo kimsingi kunakuwa na athari katika tamaduni zetu. Tamaduni ni mfumo mzima wa maisha ni kitu ambacho...
  20. GENTAMYCINE

    Kipaumbele cha sasa na muhimu kwa Rais Samia Suluhu Hassan ni Simba na Yanga na kamwe si Ustawi wa Watanzania, Haki na Amani yao

    "Najua wadhamini au washika vilabu vile wanafanya jitihada kubwa sana, lakini pamoja nao nimeongea na wadau wawekezaji wetu wakubwa hapa, mmoja nimempa Yanga mmoja nimempa Simba awasaidie, kwahiyo litakapokamilika tutaitana vilabu tuambizane" - Rais @SuluhuSamia akizungumza katika uwekaji wa...
Back
Top Bottom