Naomba nichangie suala linalohusiana na ustawi wa jamii.
Siku za karibuni kuna utafiti nimefanya ambao sio rasmi lakini kwa takwimu na matukio niliyobaini inanisukuma kuandika hapa jukwaani.
Kwa hapa Dar es Salaam naona kuna ongezeko kubwa la watoto wa mtaani.
Hawa watoto wanazaga ovyo mchana...
Wakuu Salaam!!!!!
Nilikuwa nipo kwenye mahusiano na binti mmoja hivi,tuli-date na mwisho wa siku akawa amenasa ujauzito na akaniambia kuwa Mimi ndio Muhusika,basi nikakubali japo nilikuwa nina mashaka sana
Kuna muda niliambiwa kuwa yuko kwenye mahusiano na jamaa yangu na wakati bado ana...
Sisemi kwamba tuache kuwaangalia na hawa wa majumbani ( i.e. Kuziba Ukuta ni vema ili Kesho Tusijenge Ukuta...) Lakini atleast hawa wana wazazi / walezi wanaowalea ingawa tunasema eti wasiwachape hivyo kuwatisha!!!
Lakini Haimaanishi kwamba kama Ukuta Umeshaanguka ndio tusiujenge na Hawa watoto...
Mkuu wa Wilaya ya Ileje, Farida Mgomi amewaasa wananchi wa Wilaya ya Ileje kuungana na kushirikiana kwa pamoja kutokomeza vitendo vya ukatili wa kijinsia, kwa kukemea na kushirikiana na Vyombo vya Dola kutoa taarifa ya vitendo vya ukatili wa kijinsia ili kuhakikisha jamii inabaki salama dhidi ya...
Maadui wetu hawajawahi Kubadilika Umasikini, Ujinga na Maradhi..., Vilevile Mahitahi Muhimu ya Binadamu hayabadilika (Chakula Malazi na Mavazi); Karne ya sasa ambayo sio kila mtu anaweza kuchukua Jembe na kwenda kulima mihogo na kupata kitoweo Pesa inahitajika. Hii ndio itakupatia mahitaji...
Kwanza nianze kwa kuwapongeza JamiiForums kwa kazi nzuri mnayofanya ya kubadilisha mwenendo wa nchi yetu, kazi kubwa inafanyika na mabadiliko yanaonekana, pongezi kwa hilo.
Hivi karibuni niliona habari ya MOI kuhusu yule mgonjwa ambaye alikosa huduma kutokana na uongozi kumkazia kuhusu suala la...
Anonymous
Thread
hospitali
hospitali ya muhimbili
idara
jamii
muhimbili
ngazi
serikali
ustawiustawiwajamii
utendaji
uwajibikaji
Salaam,
Baada ya Mdau wa JamiiForums kulalamikia Ratiba ya Masomo ya Chuo cha ustawi wa jamii Kwamba Wanafunzi wanasoma hadi hadi saa 4 usiku kitu ambacho ni hatari kwa usalama wa wanafunzi, Chuo kimetoa Ufafanuzi.
Katia taarifa yao wameeleza hivi;
Tarehe 3 Novemba, 2024 ilisambaa taarifa...
Wahenga walisea Mchumia Juani Hulia Kivulini; Ila nadhani hawaku-consider kama cha kuchuma hakipo inakuwaje...;
Baba wa Taifa alisema katika Hotuba ya TANU (ambayo ndio Baba wa huyu CCM anayetawala Leo)
CHAMA CHETU KINASEMA - mtu mwenye Afya ambaye tumeshindwa kumpa njia halali ya kujipatia...
Wakati matukio ya ulawiti na ubakaji yakionekana kuongezeka nchini na Serikali kuwachukulia hatua baadhi ya watuhumiwa ikiwemo kuwafikisha kwenye Vyombo vya Sheria, lakini katika hali ya kusikitisha, vitendo hivyo vinaendelea kuacha maumivu yanayotokana na athari za Kisaikolojia kwa waathirika...
NAIBU Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-TAMISEMI (Miundombinu), Mhandisi Rogatus Mativila amewaagiza Maafisa Ustawi wa Jamii kuhakikisha wanahamasisha uanzishwaji wa vituo vya kulelea Watoto Wadogo Mchana vya Kijamii katika vijiji/mtaa na kuwasilisha taarifa hii ifikapo Januari 30, 2025.
Mhandisi...
Salamu wana bodi.
Kuna haja ya ustawi wa jamii kuongeza mikono yake kuwafikia watoto hasa walio na umri wa chini ya miaka 5, wanao ishi katika mazingira magumu.
Kuna wakati, Dunia inazunguka na kumuweka mtoto katika mazingira magumu sana, mpaka unajiuliza mtoto ameikosea nini hii dunia mpaka...
1. House girl awe na siku moja kila wiki ya kupumzika masaa 24 - Ndani ya nyumba nyingi house girls kageuka roboti anaefanya kazi kila siku alfajiri mpaka usiku.
2. House girl ahusishwe kwenye shughuli za kujumuika kifamilia - Kuanzia Kula pamoja, kutoka out, kwenda kanisani/ msikitini...
Kila nikirudi nyumbani (mkoani), nagundua dhahiri kabisa kuwa kuna ongezeko kubwa sana ya maduka madogo madogo ya pombe (grocery stores) katoka mitaa mbalimbali tofauti na hali ilivyokuwa miaka 10 au zaidi iliyopita. Hata maduka yanayouza mchele na sukari lazima kuna droo ya kuuza pombe tena...
Viongozi wa dini. Hili eneo wengi wanaliogopa ila ni eneo hatari sana linaloathiri ustawi wa watu wetu. Lina uhusiano mkubwa sana na politicians. Eneo la dini limekuwa hatarishi sana kukwamisha ustawi wa watu wetu. Viongozi wanajipatia ukwasi usiomithirika kwa kuwanyonya wananchi mafukara sana...
Kwanza, ninaomba kutangaza "Conflict of Interest" katika jambo hili. Ninaandika haya baada ya kuwa mimi ni sehemu ya waathirika wa mfumo wa elimu unaotolewa na Chuo cha Ustawi wa Jamii.
Nilikuwa nina watoto watatu ambao nimekuwa nikiwasaidia kupata elimu hapo. Hawa ni watoto wa washirika na...
UTANGULIZI
Ili taifa lolote liendelee, suala la Ulinzi na Usalama ni moja ya jambo nyeti na muhimu sana , kwani limebeba dhana ya kimaendeleo kwa kuwalinda wananchi na mali zao pamoja na kudumisha Amani na utulivu katika jamii. Jukumu hili ni la Jeshi la polisi ndio hasa chombo kinachowajibika...
Sayansi na teknolojia kwa mwanamke zina umuhimu mkubwa hasa kumpa fursa ya kujitegemea, kuwa na ushawishi katika jamii na kujenga mustakabadhi bora. Pia sayansi na teknolojia inaweza kuondoa unyanyasaji wa kijinsia. Kwa Tanzania tuitakayo kwa miaka 5 hadi 25 , ihakikishe mwanamke anashiri vyema...
Utangulizi
Dira ya maendeleo ya taifa ya mwaka 2000-2025, iko mbioni kutamatika. Na sasa mchakato wa kupata dira mpya ya maendeleo ya taifa ya miaka 25 yaani TANZANIA TUITAKAYO ya kuanzia 2025- 2050 unaendelea. Vipo vipaumbele ambavyo wanajamii tungetamani viwepo katika nyaja mbalimbali. Hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.