Wakuu,
Mimi nauliza hao maafisa ustawi wapo katika kata ipi. Maana nina uzoefu wa wilaya kama Kyela, Ludewa, Njombe, na Mufindi, zote hazina Afisa ustawi wa jamii hata mmoja ngazi ya kata. Je wapo wapi hao maafisa ustawi ngazi ya kata?
Afisa Ustawi wa Jamii Mahabusu ya Watoto Mbeya, Gloria Kibira amekutwa amefariki nyumbani kwake ndani ya Mahabusu hiyo ,Jijini Mbeya!
Taarifa za awali zinaonyesha kuwa alikutwa amefariki mida ya saa tatu usiku tarehe3.2 baada ya marafiki zake kumtafuta Kwa simu na akawa hapokei.
Watoto wake...
Achia mbali ongezeko la watoto wa mtaani katika miji yote mikubwa.,
Tatizo lingine linaloonekana kwa sasa ni wingi wa ajira kwa watoto wenye umri kati ya miaka 9-13. Tena katika mfumo tofauti tofauti kama ifuatavyo.
Kwa maeneo ya mjini watoto wenye umri tajwa hapo juu siku hizi ndo hutumika...
Habari za Leo wakuu,
Naomba kufahamishwa katika hili.
Mitihani ya supplementary chuo cha ustawi wa jamii ngazi ya diploma inaanza mwezi wa ngapi na gharama ni sh. ngapi.
USTAWI WA JAMII ni sekta ambayo inadili na uangalizi na utoaji wa huduma stahiki kwa Makundi maalumu ya watu kama vile walemavu, wasiojiweza, wazee, watoto na familia Zisizojiweza, huduma zitolewazo ni kama vile utoaji wa huduma za afya, huduma za vyakula, kuwapa Elimu,na hata malazi na mahitaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.