Hizi jamii mbili, Ustawi wa Jamii na Maendeleo ya jamii huchanganya sana watu. Inawezekana chanzo ni zote kuwa idara katika Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu. Au kwa sababu majina yote yana neno “jamii”. Hata maneno ustawi na maendeleo huonekana na walio wengi...