utafiti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wasomi wafanye utafiti wa madhara ya kutopandishwa mishahara kwa wafanyakazi, lobbyist wanaweza kutusaidia

    Ili mfanya kazi afanye kazi inayoleta matunda anahitaji kula vizuri, kuwa na afya njema, alale vizuri na pia afya yake ya akili iwe njema. Kwa wengi laki tatu mshahara wa kima echo chini tunafahamu una changamoto hasa kuishi mijini ambako unalipia kodi ya nyumba, unahitaji usafiri wa...
  2. Utafiti: Asilimia 10 ya Watanzania wana Kisukari

    Kaimu Mkurugenzi wa Huduma za Kinga, Dk. Omary Ubuguyu amebainisha kuwa kati ya Watanzania milioni 60, zaidi ya milioni 5.7 (takribani asilimia 10) wanusumbuliwa na ugonjwa wa Kisukari. Aliyasema hayo jijini Dodoma katika uzinduzi wa mpango wa kuzuia ulemavu wa kutoona unaoweza kusababishwa na...
  3. Mike Tyson amrushia ngumi abiria mwenzake katika ndege baada ya kurushiwa chupa

    Bondia wa zamani wa uzito wa juu Mike Tyson amempiga ngumi abiria mwenzake katika ndege baada ya mtu huyo "kumrushia chupa ya maji," msemaji wa Tyson amesema. Video iliyochukuliwa kwenye ndege hiyo inamuonesha Tyson akiwa ameegemea kiti chake huku akimpiga ngumi za mara kwa mara mtu ambaye...
  4. TRA Kuanza Kuzitoza Kodi, Facebook, Instagram na Whatsapp

    TRA leo wamafanya mazungumzo na wawakikishi wa Mitandao hiyo ya kijamii kuona namna Mitandao hiyo inaweza kulipa kodi kutokana na hiduma wanazotumia wananchi. ===== DARESSALAAM: Timu ya Wataalam wa Kampuni ya meta inayomiliki mitandao ya @facebookapp instagram pamoja na Whatsapp leo 21...
  5. Utafiti Tanzania: Mimba milioni moja zisizotarajiwa utungwa kwa mwaka, 39% huharibiwa

    Licha ya sheria kukataza utoaji mimba, vitendo hivyo hufanyika na mara nyingi kwa njia zisizo salama. Pamoja na kwamba takwimu zinaonesha tatizo la vifo vya uzazi linapungua, bado kuna baadhi ya mambo yanachangia liendelee kuwepo ikiwemo suala la utoaji mimba usio salama ambao unachangia tatizo...
  6. UTAFITI: Nusu ya Wamarekani wanatamani kufuta akaunti zao mtandaoni

    Utafiti uliofanywa na NordVPN umeonesha kuwa 55% ya Wamarekani wanatamani kufuta kabisa akaunti zao mtandaoni. Huku 18% wakitamani kusingekuwa na internet kabisa. 60% wanatamani kufuta taarifa binafsi. Robo yao wanatamani kufuta picha, video na akaunti zao kwenye mitandao ya kukutana na...
  7. K

    Ni kipi kilisababisha Magufuli kupiganiwa na makabila matatu ?

    nimekaa na wasukuma wanasema hayati alikuwa msukuma,nimekaa na waha wa Kakonko wanasema hayati alikuwa ni mtu wa kwao,nimezungumza na wazinza wa Butundwe(Lagos) wanasema hayati alikuwa mtu wao,ukizungumza na warongo,ukizungumza na wasubi wote wanasema hayati alikuwa mtu wao sasa najiuliza kisa...
  8. S

    Uingereza, Marekani na Australia zatangaza kuanza kushirikiana katika utafiti wa silaha za hypersonic na namna ya kujilinda dhidi ya silaha hizo

    Mpango huo utakuwa sehemu ya ushirikiano wa AUKUS, mkataba wa usalama uliotangazwa na nchi hizo tatu mwaka jana. Nchi hizo tatu (Uingereza, Marekani na Australia) zimelalamika kuwa mataifa pinzani yakiwemo Russia, China na North Korea yameshawaacha mbali ktk teknolojia ya makombora ya...
  9. Utafiti: Maji yaliyoko chini ya ardhi ni mara 20 ya maji ya mito na maziwa

    Bara la Afrika lina maji ya chini ya ardhi ya kutosha na hivyo kupelekea kila mtu kupata maji ya kunywa ya kutosha ili kukabiliana na ukame kwa angalau miaka mitano, na hata katika baadhi ya maeneo, hadi miaka 50. Hii ni kwa mujibu wa utafiti mpya uliofanywa na shirika la utafiti wa Jiolojia la...
  10. Jifunze kuhusu 'Sampling Design' nzuri kwa utafiti wako

    Kwa sasa Tume ya Vuo Vikuu Tanzania(TCU) imeweka vigezo kwa wanafunzi wa Maters kuwa na Publication katika reputable journal, hasa kwa wanaofanya by thesis na PhD students. Kuwa na publication ni jambo muhimu sana kwa ulimwengu wa watafiti as it shows vitu umeviandika na kuvidadisi kwa undani na...
  11. Utafiti: Wanaume wachepukaji ni wale wenye IQ ndogo

    Ni kwa mujibu wa mSaikolojia Dr Satoshi Kanazawa Mwanaume ambaye humasaliti mke, mpenzi au mchumba mara ngingi huenda akawa kati ya watu wenye akili ndogo sana (Lower IQs) Hii ni kwa mujibu wa Msaikolojia Satoshi Kanazawa kutoka London School of Economics and Political Science. Mwanasaikolojia...
  12. #COVID19 Waziri Ndumbaro azindua Utafiti wa kuongeza Utalii wa ndani Tanzania kipindi cha COVID-19

    Wizara ya Maliasili na Utalii kwa kushirikiana na Chuo Kikuu Huria, leo tarehe 15 Januari 2022 Jijini Dar Es Salaam, imefanya Uzinduzi wa Utafiti wa Utalii wa ndani na Mchango wa Sekta ya Utalii katika Uchumi wa Nchi kupitia Mpango wa Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano Dhidi ya Uviko-19...
  13. Je, kwa kitendo cha Mwijaku kuchukua fomu kugombea Uspika ni ishara ya ukuaji wa Demokrasia?

    Taratibu sasa GENTAMYCINE naanza Kuelewa ni kwanini Watanzania na Taifa letu la Tanzania tunadharaulika sana kama siyo mno na Mataifa mengine ( hasa hasa ya Jirani ukiiondoa tu Burundi inayojipendekeza Kutwa kwa Tanzania utadhani imeolewa na Tanzania ) yenye Raia makini, Werevu na wenye kujua...
  14. #COVID19 Athari za Covid kwa uzazi wa wanaume - Utafiti wafichua

    Ni miaka miwili sasa tangu virusi vya Covid vigundulike duniani na baadaye kuwa janga, lakini ni sasa ambapo uwezekano wa athari za ugonjwa huu kwa uwezo wa kuzaa wa wanaume zimefichuliwa. Ingawa kuna baadhi ambao hawajapata chanjo kutokana na hofu kwamba chanjo dhidi ya Covid-19 itapunguza au...
  15. Usitumie maneno haya unapozungumza na mwanao

    PSYCHOLOGIST WARN: NEVER USE THESE 5 PHRASES WHEN TALKING TO YOUR CHILD It is a fact that no one is perfect and all people make mistakes. But, parents should be aware of the fact that in the eyes of their children, they are not only humans, but they also are guardians, creators and caretakers...
  16. katunı ya leo Tujikumbushe ya Zamani

    Tujikumbushe ya Zamani
  17. TRILION NUKTA FIVE

    TRILION NUKTA FIVE!!!!!!!
  18. Ipe neno picha hii

    Ipe neno picha hii...
  19. T

    Utafiti: Wazazi wenye watoto wa kike ni rahisi sana kuachana kuliko watoto wa kiume.

    Utafiti uliofanyika huko Marekani na Netherlands kuanzia miaka ya 80 unaonyesha kwamba wazazi wenye watoto wa kike ni rahisi sana kuachana kuliko watoto wa kiume. Sababu inaonyesha kwamba ni rahisi kulea watoto wadogo wa kiume kuliko wa kike. Utafiti unaenda mbali zaidi na kusema talaka inakua...
  20. Putin says insulting Prophet Muhammad 'violation of freedom of religion'Putin asema kumtusi Mtume Muhammad 'Ni kukiuka uhuru wa dini'

    Putin says insulting Prophet Muhammad 'violation of freedom of religion' Russian president says any freedom should have in its basis respect to other people's feelings Russian President Vladimir Putin speaks during his annual press conference at the Moscow Manege on December 23, 2021 in Moscow...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…