utafiti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Herbalist Dr MziziMkavu

    Maneno haya yani ukweli ndani yake

  2. beth

    Utafiti: Zanzibar ina changamoto kutatua matatizo ya Ukatili wa Kijinsia

    Utafiti uliofanywa na Chama cha Wanahabari Wanawake (TAMWA) Juni 2011 hadi Machi 2012; Kuna changamoto kubwa katika Jamii za Zanzibar kwenye kutatua matatizo ya ukatili wa kijinsia. Jamii zinagubikwa na usiri wa kueleza au kuyafikisha masahibu hayo mbele ya sheria na vyombo vya usalama...
  3. SAYVILLE

    Bodaboda zinachangia kumomonyoka kwa maadili

    Wakuu, Biashara ya bodaboda imekuwa mkombozi kwa kurahisisha usafiri katika maeneo mengi nchi hii, mijini na hata nje ya miji. Lakini pia imekuja na mambo mengi maovu, kama vile kutumika katika ujambazi na unyang'anyi ukiachilia mbali ajali nyingi zinazosababisha ulemavu wa kudumu hata vifo...
  4. N'yadikwa

    Utafiti: Binadamu huzungumza wastani wa maneno 16,000 kwa siku

    Binadamu mtu mzima angalau kwa siku anazungumza maneno 16,000 kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na mwanazuoni (Neuman, 2012) The human adult utter at least 16,000 words a day, mostly through verbal exchange (Neuman, 2012). Sasa sijui huu utafiti unawahusu na wale wasutaji wa mitaa yetu pendwa...
  5. GUSSIE

    #COVID19 Askofu Gwajima: Nasubiri wataalamu wa ndani wa chanjo ya COVID-19 waongee kisha nitawapiga kwa risasi moja tu watawanyike

    Gwajima anasema viongozi na wataalamu wetu ni vigeugeu na hawafai kuongoza, Wanafanya mambo kwa kuangalia upepo na sio utaalamu Anasisitiza wajiuzulu mapema kwenye suala la covid-19 Akihutubia maelfu ya waumini wake leo Gwajima amesema wataalamu wetu ndio hao walijenga pale Muhimbili jiko la...
  6. M

    #COVID19 Marekani: Robo tatu ya wagonjwa wa COVID 19 wanaolazwa wana chanjo ya COVID- 19

    Kituo kituo kikubwa kabisa kinachoshughulika na magonjwa ya kuambukiza cha marekani (CDC) kimelazimika kutoa matokeo yanayoonesha kuwa chanjo haimkingi kabisa aliyechanjwa kuambukizwa corona!! ROBO TATU ya maambukizi mapya yanawapata waliochanjwa chanjo ya corona. Asilimia 80 ya wanaoelemewa na...
  7. MEXICANA

    #COVID19 CDC: Waliochoma chanjo ya Corona wavae barakoa katika mikusanyiko ya ndani

    Mamlaka ya udhibiti na kuzuia magonjwa Marekani CDC imetangaza amri mpya kuwa watu wote walio choma chanjo ya kuzuia Corona waanze tena kuvaa barakoa katika mikusanyiko ya ndani. Amri hii inakuja miezi kadhaa tangu mamlaka hiyo ilipotoa ruksa kwa wote walio chanjwa kuto vaa barakoa. Maamuzi ya...
  8. Herbalist Dr MziziMkavu

    LHRC, Amnesty International wataka Mbowe aachiwe na uhuru wa kisiasa uheshimiwe Tanzania

    Mbowe pamoja na wenzake 11 kutoka chama cha Chadema walikamatwa na polisi usiku wa kuamkia Jumatano jijini Mwanza. Mashirika yanayotetea haki za binadamu yameikosoa vikali hatua ya Jeshi la Polisini nchini Tanzania ya kuwakamata baadha ya viongozi wa chama cha upinzani nchini humo Chadema...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    Utafiti wangu kuhusu "profile pictures" za watumiaji wa mitandao ya kijamii

    Nilifanya kautafiti kadogo juu ya Profile picture na picha wanazoweka watu kwenye Account zao za mitandao ya kijamii. Nikabaini mambo yafuatayo: 1. 90% ya walioweka picha Nusu/Passport size (kuanzia kiunoni mpaka kichwani) ni Wafupi. Pia hawana maumbo ya kuvutia. Hii ipo kwa pande zote...
  10. Herbalist Dr MziziMkavu

    Haya Ndiyo Makazi Ya 60% Ya Walipa Miamala Ya Simu

  11. platozoom

    Utafiti: Makazi ya Wana-JF

    Huu ni utafiti rasmi uliofanywa na Shirika la Chitlliysous Consulting Inc. kwa kuanzia Mwezi January to May 2021 juu ya ukaazi wa members wa Jamiiforums. Sample size na vigezo vilizingatiwa, infact, utafiti huu unatambulika Kimataifa. Utafiti unaelezea makazi ya WanaJf; 1. 32% wanaishi...
  12. M

    Utafiti mdogo nilio ufanya juu ya chaguzi za viongozi na uelewa wa wanainchi juu ya haki zao za kikatiba zinavo takiwa kutekelezwa

    Ndugu zangu habalini za wakati huu, poleni na majukum ya kulijenga taifa. Niende moja kwa moja ktk mada tajwa hapo juu Watanzania wengi hususani wa vijijini hawana uelewa wa haki ya kuwawajibisha viongozi wao ktk maswara ya haki zao za kikatiba zinapo shindwa kutekelezwa na viongozi walio...
  13. Miss Zomboko

    Utafiti: Msongo wa mawazo huweza kusababisha Mtu kuota mvi mapema

    Kulingana na utafiti mpya wa Chuo Kikuu cha Columbia uliochapishwa katika jarida la eLife: wakati chanzo cha mafadhaiko kinapoondolewa, nywele zinaweza kurudi kwenye rangi yake ya kawaida. Kwa miongo kadhaa tumejaribu kuelewa husiano uliopo kati ya msongo wa mawazo na kuota kwa mvi, na huu ndio...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    Utafiti usio rasmi kuhusu mitandao ya kijamii na watumiaji wake

    UTAFITI USIORASMI; KUHUSU MITANDAO YA KIJAMII NA WATUMIAJI WAKE TANZANIA Kwa Mkono wa, Robert Heriel Leo nitaleta kautafiti kadogo nililokafanya ambako sio rasmi. Mitandao ya kijamii Kwa hapa Nchini ambayo ni Maarufu ni Facebook, Instagram, WhatsApp, Jamii forum, Twitter's, Tiktok, ambayo hii...
  15. Komeo Lachuma

    Nimeshtushwa na huu Utafiti

    1. Asilimia kubwa ya binadamu hupenda kujamba wakiwa peke yao na kunusa harufu. 2. Wengi wanapokuwa peke yao room mbele ya kioo hufanya mambo ya kijinga ambayo hutegemei wafanye wanapokuwa na watu wengine. 3. Asilimia kubwa ya wanawake hupenda kushika na kunusa harufu ya sehemu zao za siri...
  16. Analogia Malenga

    #COVID19 Kuchanganya chanjo za COVID-19 kunaongeza ufanisi

    Njia ya kuchanganya chanjo za Covid -19 kwa kutumia chapa mbalimbali za chanjo ya Covid kwa dozi ya kwanza na ya pili - inatoa kinga nzuri dhidi ya virusi vya janga hilo, utafiti wa Uingereza umebaini. Majaribio yalitazama ufanisi wa dozi mbili za Pfizer, AstraZeneca na Mchanganyiko wote...
  17. GENTAMYCINE

    Nimefanya Utafiti wangu huu Binafsi Je, nipo sahihi nao au niendelee Kuufanya zaidi?

    Nimegundua ya kwamba 95% ya Wanawake wenye Umri kati ya miaka 35 mpaka miaka 49 ndiyo Wanateseka zaidi na Mahusiano waliyonayo sasa na wengi Wao huko nyuma waliwapata Wapenzi ( Marafiki ) wa dhati wa Kimaisha ila waliwakataa na Kuwadharau kwakuwa walikuwa hawana Kipato ( Pesa ) na Kukimbilia...
  18. Tutor B

    Mbegu ya azola na mbolea

    Chakula cha mifugo imekuwa changamoto na hivyo kupunguza faida kwa wafugaji, lakini ukiwa na azolla mambo ni tofauti. Unapanda mara moja unavuna kwa mwaka mzima. Wasiliana nasi tukupatie mbegu za azola pamoja na mbolea za asili kwa ajili ya kurutubisha bwawa. Tuko Nyasaka Centre jijini Mwanza...
  19. Herbalist Dr MziziMkavu

    Wasafiri Uwanja wa Ndege Dar, Walalamikia utaratibu wa kupimwa corona

    Download 720 Waziri wa Afya anatakiwa kubadilisha utaratibu mbaya unaofanywa Mjini Dares-Salaam Airport. kuhusu Wageni ama sivyo Mwaka huu Tanzania itakosa wageni wengi na pato la Taifa kuhus wageni litashuka. Sikiliza hiyo video. ==== WASAFIRI katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa...
  20. Mangole Valles Michael

    Ushauri wangu kwa Wafugaji

    Anaandika Dr Christopher Cyrilo Jana nilipata bahati ya kutembelea Malembo Farm na kukutana na rafiki yangu Lucas Malembo. Nimshukuru Malisa GJ kunileta kwenye darasa hili la kilimo na ufugaji. Nimejifunza mambo mengi sana kuhusu kilimo na ufugaji. Kuna mambo ya kufurahisha, na mengine ya...
Back
Top Bottom