Utafiti umebaini kuwa matumizi ya Paracetamol kwa siku 7 unapunguza uzalishaji wa homoni za kiume na uwezo wa watoto mvulana kuzalisha baadaye.
Wanawake wajawazito wanapaswa kutahadhari zaidi wanapotumia dawa zozote zilizo na chembechembe za Paracetamol.
Utafiti wa Wanasayansi nchini Uingereza...
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Prof. William Anangisye amesema Utafiti ni muhimu kwa maendeleo kwa Umma na ulimwengu wa ujumla akiongeza kupitia Tafiti hizo, Chuo vina wajibu wa kutatua changamoto zinazokabili jamii.
Ameeleza hayo Mei 24, 2021 katika Maadhimisho ya Sita ya...
Watafiti katika Chuo Kikuu cha Oxford wanasema hata unywaji kiasi wa pombe unahusishwa na kuenea zaidi kwa athari mbaya kwenye ubongo kuliko ilivyotambuliwa awali. Utafiti huo umebaini kwamba kiasi chochote cha unywaji wa pombe kinaweza kukuletea madhara kwenye ubongo wako.
Utafi huo...
Utafiti uliochapishwa na The Lancet umeeleza kuwa, Wagonjwa mahututi wa COVID19 wapo hatarini zaidi kupoteza maisha barani Afrika kuliko sehemu nyingine yoyote duniani.
Kwa mujibu wa Utafiti huo, hali hiyo ni kutokana na Hospitali kukumbwa na uhaba wa vifaa muhimu ambavyo vinasaidia kuokoa...
Kulingana na tafiti ya the Institute of Medicine (IOM)- 2006, majeruhi 1.5 million kila mwaka hutokana na wafamasia, waudumu wa afya kushindwa kusoma maandiko ya madaktari. Vifo zaidi ya 7000 hutokana na mgonjwa kupatiwa dawa isiyo sahihi tofauti na maelezo ya madaktari.
Muda mwingine hata...
Utafiti uliofanywa na Watafiti kutoka Ottawa umebaini kulazwa Chumba cha Uangalizi Maalum (ICU) huongeza hatari ya Mtu kutaka kujiua au kujidhuru baadaye.
Imeelezwa, kitendo hicho kinaweza kuwaathiri Wagonjwa kwani kukaa Hospitali wiki au miezi kadhaa kisha kupitia kupindi cha uponaji ili mwili...
Wakazi wa Florida wameingiwa na hasira wakati wanasayansi wakijiandaa kuachia mamilioni ya mbu wa ambao wamefanyiwa marekebisho ya jini, kuanza maisha katika maeneo yao, gazeti la The Telegraph limeandika.
Jaribio l utafiti, linaloongozwa na kampuni ya Oxitec, litahusisha takriban mbu milioni...
Watafiti leo Alhamisi wametoa ripoti kuhusu ushahidi wa kwanza wa kidaktari kwamba mabadiliko ya vimelea vyenye usugu dhidi ya dawa ndiyo chanzo cha ugonjwa wa Malaria kuendelea kuenea barani Afrika.
Wataalamu wa dawa wamekuwa na wasiwasi kwa muda mrefu kuhusu kuibuka kwa tatozo la usugu dhidi...
Utafiti wangu binafsi katika swala hili
Nikwanini katika group au magroup na hata katika mitandao mingine ya kijamii wanaume huwa wanakuwa kipaumbele🚶🏼♂️ kumfata mtu ibox📩 kwa mawasiliano📞 ya kimauhusiano ya kimapenzi??
Hasa hasa wanaume!!
Unafikri ni kwasababu gani?
Wapendwa Heri ya Mapumziko ya Pasaka.
Poleni Watanzania wenzangu kwa kumpoteza kipenzi chetu,
Wanawake hongereni kwa kutuongoza,
napendekeza kuanzia Leo na nyinyi fanyeni mageuzi,anzeni kututongoza sisi wanaume,tupeni of mbalimbali na Mambo Kama hayo.
Nauliza hivi ile taasisi ya Kimataifa...
Wananwake wengi wa kibongo wanaamini sana ndumba ili kuimalisha mapenzi yao. Na wanapopata ndumba kali huwafanya mabwana zao kuwa mabwege na hapo huanza kuchepuka nje, kuwa dharau na kujiona wao ni kila kitu. Matokeo yake baada ya ndumba kuishiwa nguvu huwa wanamwagwa kama vile lori linamwaga...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, watafiti wameonesha kuwapo uhusiano baina ya maambukizi ya corona na usingizi.
Utafiti uliofanyika awali ulionesha kuwa asilimia 40 ya watu waliopata maambukizi ya virusi vya corona walikuwa na matatizo ya kupata usingizi. Utafiti mpya unaonesha kuwa watu...
Salaam wakuu,
Katika kutibu kiu ya kujua mambo mimi na wenzangu wawili Thomas na Lilian (sio majina yao halisi ) tuliamua kufanya utafiti binafsi juu ya "women obidience to their bosses VS husbands" heshima na utii wa wanawake kwa maboss wao kulinganisha na utii kwa waume zao.
Area of study...
Wakuu Kwema!
Kwa watembezi wa mikoa ya Tanzania na wachunguzi huru mtakubaliana na mimi katika utafiti huu usio rasmi.
Utafiti huu nimeufanya kwa miaka minne tangu 2016 mpaka 2020 nikiwa natembelea mikoa mbalimbali ya Tanzania. Mikoa niliyoifanyia utafiti ni mikoa ifuatayo; Dar es salaam...
Mkurugenzi mtendaji wa NIMR Prof Yunus Mgaya amesema taasisi yake inafanyia utafiti dawa 7 za Kitanzania zikiwemo 4 za kufukiza kama zinatibu Covid 19.
Utafiti wa dawa hizo za asili ambazo zimetumika toka enzi za mababu zetu zinafanyiwa utafiti na wanasayansi wetu kupitia baadhi ya hospitali...
Ndugu wana JF, salaam.
Naomba nitoe ushuhuda hapa kwamba wakati nafanya masomo yangu ng'ambo, nilihudhuria semina moja ambayo mtafiti alikuwa anawasilisha mada kuhusu namna anavyoweza kufufua (resurrect) virusi ambavyo vilileta milipuko na kuua mamilioni ya watu miaka mingi huko nyuma na...
Takwimu kutoka nchini Uingereza zinaonesha kuwa chanjo dhidi ya virusi vya corona inasaidia kupunguza uwezekano wa kuenea kwa maambukizi kwa hadi asilimia 85.
Utafiti uliochapishwa na taasisi ya Public Health England (PHE) unaonesha kuwa chanjo ya Pfizer-BioNTech inapunguza uwezekano wa kupata...
Akizungumza katika kipindi cha Clouds 360, Waziri Dkt. Mwigulu Nchemba amesema watanzania wanapaswa kujiuliza chanjo za watu wa nchi zenye baridi zinawezaje kuwasaidia watu wa Dar es Salaam kwenye joto.
Mwigulu amesema ndio maana watu waliotoroka wakaenda kuchanja kimya kimya zinawaletea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.