Rais Samia pamoja na marais waliomtangulia: Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete
MIAKA 10 ijayo, hadi kufikia mwaka 2033, Tanzania itakuwepo. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan hatakuwa madarakani, huku idadi ya watu ikikadiriwa kuwa zaidi ya milioni 75.
Je, uchumi wake utaimarika na maisha ya watu...