utafiti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Virus wanaodaiwa kumuua Membe waliondoka na viongozi wengi miaka miwili nyuma. Madaktari wawezeshwe wafanye utafiti, tusipuuze

    Nimemsikiliza Daktari wa Familia ya Mzee Membe, ameeleza kitaalam kwamba Membe alikuwa na mafua ya kawaida kwa siku tatu na mwisho kupelekea kifo chake baada ya virus kushambullia mfumo wa damu. Hawa Virus naamini kama wameweza kufanya damu kuganda hadi kusababisha kifo watakuwa hatari sana na...
  2. The Assassin

    Utafiti Marekani umeonesha kwamba watu waliozaliwa kuanzia mwaka 1997 ni wabishi, wajuaji na hawana heshima

    Marekani utafiti umeonyesha kwamba ni vigumu sana kufanya kazi na kizazi Z ama generation Z ambao wamezaliwa kuanzia mwaka 1997. Meneja na wakurugenzi wa wakuu wa utumishi walioulizwa kwenye utafiti wamesema ni ngumu sana kufanya kazi na kizazi Z kwani ni wabishi, wajuaji, hawana nidhamu wala...
  3. Shujaa Nduna

    Utafiti wangu ni huu ktk hili...

    Ktk tembea zangu mikoa tofauti hapa nchini nimegundua watu wanaoishi kwenye mikoa yenye joto sana hawaridhishani kimapenzi kwakuwa hawawezi wengi wao hawawezi kupiga show ipasavyo hata bao4 kwakuwa joto kali.Halafu jingine wanaume nashauri wanaume tuwatendee haki wanawake nao wafike kileleni...
  4. Teslarati

    Ushuhuda baada ya Utafiti: Acheni kuwatongoza wanawake kwa kutumia simu (kuchat), watongozeni uso kwa uso

    Niko fasta kidogo leo, nitaenda kwenye mada. Vijana mnakosa mbususu za bure kwa kukosa maarifa, kaka yenu nawapa somo leo baada ya utafiti usio rasmi nliofanya kwa muda mrefu. Usitongoze mwanamke kwa simu unampa muda wa kukujudge sana, wewe panga siku baada ya salamu za hapa na pale. Hio siku...
  5. benzemah

    Rais ateua Wenyeviti Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania na Chuo cha Taifa cha Usafirishaji

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavYo:- 1. Amemteua Bw. Andrew Wilson Massawe kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI). Bw. Massawe anajaza nafasi ya Dkt. Tausi Mbaga Kida aliyeteuliwa kuwa...
  6. M

    Utafiti wangu sasa umekamilika

    Asubuh ya Leo nimepost Uzi ambao ukilnesha kuwa nataka kuvuruga ndoa ya Binti nilie mpenda ila akaniacha toka 2015. Katika Uzi huo nilijipa uhusika kama nili fall in love at the first na nili invest a lot of effort kwa huyo binti. Katika Uzi huo nikasema nataka nivuruge ndoa ya huyo binti kwa...
  7. Lupweko

    Utafiti 2018: Unguja kinara katika ukahaba, ulawiti na madawa ya kulevya nchini

    Utafiti huu ulifanywa na Wizara ya Afya ya Zanzibar mwaka 2018 Chanzo: https://www.ippmedia.com/sw/habari/unguja-kinara-ukahaba-dawa-za-kulevya
  8. P

    Msaada wa kupata wadudu wanaobungua choroko au kunde kwa ajili ya tafiti za kilimo

    Habari zenu wana jamvi. Mimi ni mtafiti katika chuo cha kilimo. Ninaomba msaada kwa suala lifuatalo; Kwa mkulima yeyote wa zao la choroko au kunde ambazo zimebunguliwa (kutobolewa) zikiwa pamoja na wadudu maarufu kama bungua (wawe wengi kidogo) kama wanavyo onekana kwenye picha chini. Wadudu...
  9. R

    Mashirika ya kimataifa yanayofanya kazi yananyanyasa sana wafanyakazi katika malipo, utafiti unaendelea

    Nimefuatilia utaratibu unaotumiwa na watendaji wanaohudumu kwenye mashirika ya kimataifa na kubaini Kwa hatua za awali mambo yafuatayo; 1. Mashirika haya yanakataa kulipa watu wanaofanya nao kazi stahiki zao Kwa wakati Kwa kisingizio kwamba wakilipwa hawafanyi kazi. Hii ipo zaidi kwenye posho...
  10. BARD AI

    Utafiti: Wanandoa wanakaa na Hasira na Vinyongo muda mrefu hufariki mapema

    Utafiti wa zaidi ya miaka 17 wa Chuo Kikuu cha Michigan nchini Marekani ulibaini kuwa Wenza wanaozungumza baada ya Kukwazana na Kupandishana Hasira, wanaishi muda mrefu zaidi. Pia, utafiti umebainisha kuwa Mtu mwenye Hasira muda mwingi huwa na huzuni ambayo inamuweka kwenye hatari ya kupata...
  11. Dr am 4 real PhD

    Utafiti waonesha Wanaume Wengi Wasio na Kisomo Wanamiliki Nyumba Kuliko Waliohitimu

    Utafiti wa KNBS umeonesha kua asilimia 46.7 ya wanaume ambao wana nyumba hawana ELIMU rasmi, ikilinganishwa na asilimia 32.2 ambao wamepita shule ya upili..... Kulingana na utafiti huo Hilo linatokana na kwamba wasomi wengi huishia mijini kusaka ajira na kuishi nyumba za kupanga huku wenzao...
  12. Nakadori

    Utafiti waonyesha wanaume wenye vipara wanawavutia sana wanawake kuliko wenye nywele

    Kuna vitu vingi humvutia mtu inapokuja swala la kumchagua mpenzi, siwezi taja sifa zote, kila mtu anasifa zake na vigezo vyake, ila ngoja tuongelee mvuto wa kipekee unaopatikana kwa wanaume wenye vipara. Nikiongelea vipara naongelea wale walio na vipara asili, achilia mbali wale wanaopenda...
  13. JanguKamaJangu

    Utafiti: Mazoezi ya matembezi nje ya nyumba yana faida kuliko ya ndani

    Watafiti wa Vyuo Vikuu vya Victoria na York vya Canada wamebaini kuwa mazoezi hayo yanafaida kubwa katika Afya ya Akili kuliko kufanya mazoezi ya aina hiyohiyo ya ndani. Aidha, utafiti huo umebaini kuwa mazoezi hayo pia yana faida kifiziki ambapo waliohusika katika sehemu ya utafiti huo ambao...
  14. JanguKamaJangu

    Utafiti usio rasmi: Wanaosinzia kwenye daladala wanavuta hewa chafu

    Baraza la Taifa la Uhifadhi Mazingira (NEMC), limezitaka taasisi za utafiti nchini kufanya utafiti kufuatia kuwepo kwa tafiti zisizo rasmi zinazoeleza kwamba, ukataji miti hovyo unafanya hewa ya ukaa kuongezeka na kusababisha watu wanapopanda kwenye daladala kuanza kusinzia. Akizungumza jijini...
  15. JanguKamaJangu

    Utafiti: Kusikiliza muziki kunapunguza msongo wa mawazo

    Utafiti wa Chuo Kikuu cha Vienna umeonesha kuwa mziki unaweza kumrudisha mtu katika hali ya furaha au kawaida pindi anaposikiliza muziki mzuri au wenye kusisitiza furaha wakati wa msongo wa mawazo. Utafiti huo ulifanyika wakati watu wengi walipotakiwa kukaa ndani kutokana na maambukizi ya...
  16. Lady Whistledown

    Utafiti: Ripoti yaonyesha vijana wengi nchini hawana heshima

    Ripoti ya utafiti wa stadi za maisha na maadili kwa vijana imeonyesha asilimia kubwa ya vijana nchini hawana heshima, hawajitambui na hawana ushirikiano kwenye mambo mbalimbali ya kijamii. Utafiti uliozinduliwa Leo Januari 26, 2023 na Taasisi ya Regional Education Learning Initiative (Reli) kwa...
  17. BARD AI

    Utafiti: Wenye Damu kundi A wana hatari ya kupata Kiharusi kuliko wenye kundi O

    Chapisho la Timu ya Wanasayansi kutoka Chuo Kikuu cha Maryland katika jarida la Neurology, limeonesha wenye Damu ya Kundi A wana uwezekano mkubwa wa kupata Kiharusi kabla ya umri wa miaka 60. Wenye Kundi O la Damu wameonekana kuwa na uwezekano mdogo au kuchelewa kupata Kiharusi cha mapema...
  18. BARD AI

    BoT yakamilisha utafiti uanzishwaji fedha ya kidijitali

    Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imeweka wazi hatua za mafanikio katika uanzishaji wa fedha za kidijitali ya Benki Kuu (CBDC) baada ya kukamilisha shughuli za utafiti. Taarifa iliyotolewa jana na BoT imesema kwa kuwa CBDC inaweza kutolewa na benki hiyo na hivyo kuwa chini ya mamlaka yake, iliamua...
  19. Nafaka

    Utafiti wagundua namna ya kumfanya mzee awe kijana na kijana kuwa mzee

    Maabara ya Boston imeweza kumfanya panya aliyekuwa mzee haoni kuweza kuona, misuli yake kupata nguvu, ubongo wake kuweza kufanya kazi kwa haraka na mwili wake kurudi katika hali ya ujana huku ikimfanya panya kijana kuwa mzee. Utafiti huu umehitimisha kuwa, uzee ni mchakato unaoweza kurudishwa...
  20. L

    Uhusiano kati ya China na Afrika wavutia vyuo maarufu duniani kuanzisha utafiti wa ushirikiano kati ya China na Afrika

    Kwa muda mrefu utafiti wa kitaaluma kuhusu Afrika halikuwa ni jambo linalofikirika kwa watafiti wengi, kwani utafiti kuhusu bara la Afrika ulikuwa na wigo mdogo na matokeo yake kitaaluma hayakuwa makubwa, na hivyo utengaji wa fedha zinazohusu masomo au utafiti unaohusiana na bara la Afrika...
Back
Top Bottom