utafutaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dr. Zaganza

    Muige panya katika harakati za utafutaji, utatoboa

    Nadhani wote tunamjua mnyama panya, sasa bwana panya anajua kabisa akisema amkimbie binadamu kwa kuogopa kifo na kuhamia porini, atakufa njaa. Tena kabla ya njaa huenda akauliwa na wanyama wakali zaidi. Anachofanya panya ni kusoma ratiba ya binadamu ndani ya nyumba, saa ngapi anaenda kazini...
  2. DON YRN

    Vijana tunapitia wakati mgumu sana kwenye utafutaji. Chukua hii, itakufikirisha zaidi

    Nipo hapa kwa kitanda usiku huu wa manane nikiwa na msongamano wa mawazo na kutafakari mambo mbalimbali kuhusu haya maisha hasa kwa sisi vijana ambao tunajitafuta na bado hatujajipata. Haya maisha ya utafutaji yamejaa vitu vigumu na vizito ambavyo siyo rahisi mtu kukuelezea ni namna gani...
  3. Kiplayer

    Utafutaji ni majaribu kwa wanawake

    Kwa sasa wanawake wameamka vilivyo katika ujasiriamali. Sokoni, stendi, barabarani wamechachamaa. Wake zetu wanasema maisha kusaidiana. Kwa uwezo mdogo wa kuhimili vishawishi walionao ni rahisi mno kuvuliwa na wavuvi. Kwa mfano mama wa watu asubuhi asubuhi anatembeza vitafunwa majumbani mwa...
  4. Nyamwage

    Utafutaji ni mgumu nawashanga watumishi wa serikali wenye uhakika wa kuvuta mshahara kila mwisho wa mwezi japo ni kiduchu wanashindwa kushukuru

    Habari ya sikukuu Mtoko wangu wa leo sikutaka kwenda kuponda raha niliingia hapo mbezi stendi kuangalia hawa ndugu zetu walio jiajiri ili nijifunze vitu vipya ambavyo sivijui hawa watu wanaamka saa kumi za usiku na kulala mida mibovu sana middle of the night aisee utafutaji wao ni mgumu sana...
  5. Mwachiluwi

    Unaamini nini katika utafutaji katika kukimbia umasikini

    Hi Mimi kwa upande wangu naamini katika kuanza na kidogo na kukithamini naamini hakuna alie anza na kikubwa na kama yupo wengi walishindwa kukithamini kikubwa Vijana now days wanataka kuanza na mshahara mkubwa kuliko elimu yao na uwezo wao najiamini katika kazi na kipaumbele changu siku zote...
  6. DR HAYA LAND

    Nilichogundua kuhusu maisha ya utafutaji usiombe mtu hela muombe connection

    Nilichogundua Kama upo na circle ya watu waliofanikiwa Kama ukiwa mtu wa kuwaomba hela Basi Fahamu watakupa bloko au watakuchukulia Kama msumbufu tu. Yaani haijalishi mtu analipwa sh ngapi au anaingiza sh ngapi usithuhubutu kumjengea mazoea ya kumuomba hela ni hatari Sana. Labda uwe unafanya...
  7. mimi mtakatifu

    Jobless mwenzangu, unafanyaje kupata nguvu mpya baada ya akili na mwili kuchoka na mapambano ya utafutaji maisha?

    Umeshatuma maombi ya kazi miezi mpaka unahesabu miaka lakini hupati kazi. Unatafuta vibarua vya kujishikiza navyo inakuwa ni mtihani. Unafanya kila kitu kujaribu kujinasua na mkwamo wa maisha ikiwemo mambo ya kiimani ila bado hupati matokeo. Uvumilivu, kupambana, ubunifu, experience, knowledge...
  8. Meneja Wa Makampuni

    Kama ulikuwa hujui hii ndio mikataba ya Utafutaji wa mafuta na gesi na ugawanaji mapato

    Dhana ya Mkataba wa Utafutaji wa mafuta na Ugawanaji Mapato - wazo la nchi la utafutaji wa mafuta na gesi na mgawanyo wa mapato na makampuni kama sehemu ya biashara lilianzishwa kwenye miaka ya 1950. Kwanza kabisa, wazo hili lilianzishwa Indonesia mwaka 1966. Mikataba ya Utafutaji wa mafuta na...
  9. Carlos The Jackal

    Ukraine hapumui kwa sasa, silaha mpya za wa Magharibi zinawahitaji wapate muda mwingi wa kujifunza

    Ukraine kama Nchi ilotokana na USSR, Hawa Hadi Leo hii Asilimia kubwa ya Silaha zao ni za Kisovieti . Ukraine hapumui Kwa Sasa, Silaha Mpya za wa Magharibi zinawahitaji wapate muda mwingi wa kujifunza. CIA kupitia washirika wake Duniani kote, Kwa Sasa wanaendesha Operesheni Dunia nzima hasa...
  10. P

    Ushuhuda kwa vijana mliojitoa mhanga kutimiza ndoto

    Mimi ni kijana niliekuja Dar mwaka nusu ulopita. Nilikuja Dar baada ya kutoka nje kimasomo. Pamoja na course niliyosoma, mida ya jioni nilisoma skill nyingine nje ya curriculum kwa personal arrangement. Niliweza kuimaster vuzuri kwa kuwa pia iliakisi uwezo wangu tangu utotoni. So baada ya...
  11. Meneja Wa Makampuni

    Mikataba ya Utafutaji wa mafuta na Ugawanaji Mapato

    Dhana ya Mkataba wa Utafutaji wa mafuta na Ugawanaji Mapato –wazo la nchi la utafutaji wa mafuta na gesi na mgawanyo wa mapato na makampuni kama sehemu ya biashara- lilianzishwa kwenye miaka ya 1950. Kwanza kabisa. Wazo hili lilianzishwa Indonesia mwaka 1966. Mikataba ya Utafutaji wa mafuta na...
  12. The Eric

    Hamna mkoa nimewahi kwama kwenye utafutaji kama Singida

    Daaah walio toboa kwenye huo mkoa hongereni. Daah mikoa mingine utasema upo KENYA siyo Tanzania. Licha ya ugumu wa pesa hali ya hewa pia haikunifurahisha upepo mkali, maji chumvi daah, jua kali sana, viwanja vyao vipo na mawe, chakula cha shida pale, wamezoea ugali na mboga za mlenda. Wadada...
  13. MSONGA The Consultant

    Shirikisha Watu Wafuatao Kwenye Utafutaji wa Fedha Kwa Ajili ya Taasisi Yako

    Utafutaji wa fedha kwa ajili ya Taasisi yaani "Fundraising Process" ni jambo muhimu sana kwa ustawi wa Taasisi. Kupitia "fundraising process" Taasisi itaweza kupata fedha kwa ajili ya; kutekeleza miradi, kugharamia shughuli za uendeshaji n.k. Jukumu la utafutaji wa fedha kwa Taasisi nyingi za...
  14. CONTROLA

    Usiufate Moyo sana hasa linapokuja swala la Biashara na Utafutaji

    Unaweza usielewe kichwa ya habari ila maana yangu ilikua ni moja tunapoongelea moyo tunaongelea kile kitu unachopenda, katika vile tuvipendavyo ndio vina fursa nzuri ndani yake. Nimewahi na nitaendelea kusema unapofanya biashara au unapotaka kuanzisha biashara fata au angalia moyo wako unapenda...
Back
Top Bottom