utajiri

  1. nashukuru mzima

    Kijana aliyemaliza chuo afanye nini awe Tajiri

    Habari.. Mimi ni kijana ninafanya kazi kwa shirika Mkataba wangu unatarajia kuisha mwaka huu mwezi wa 12. Naombeni Wanajf tuambizane biashara ipi kwa kijana anaweza kufanya na kuingiza Faida kubwa na akasahau issue za kuajiriwa...
  2. safuher

    Siamini kama utajiri unapatikana kwa njia ngumu zenye mateso

    Tokea zamani nimekuwa siamini msemo unaosema kwamba utajiri unahitaji uvumilivu,subira,kupitia magumu nakadhaalika. ninachoamini ni kwamba utajiri sio mgumu kupatikana ni rahisi lakini huwenda njia zake hizo watu hawazijui(zina siri) Tukumbuke kuwa kitu kuwa rahisi haina maana kwamba watu...
  3. F

    Mwijaku na Baba Levo wanapata utajiri kwa kujifanya wajinga, huku Wasomi wanalia njaa

    FACT OF LIFE. Hawa Jamaa wamejizima data vichwani lakini ndio maisha yanaenda hivyo, watukane, wakejeli, wakashfu lakini mara leo wameingia mkataba huu mara kesho ule. Ndivyo dunia ya kibepari ilivyo sio kwamba hawana akili timamu, wanazo. Wameamua tu kuzima data. Wakati mwingine ukijifanya una...
  4. DR HAYA LAND

    Leo nimetembelea hosptali. Hakuna utajiri zaidi ya Afya

    Today early in the morning I visited Ocean Rd kiukweli Hapa Duniani Afya ndo kila kitu. And Everything is about God's Grace Inaumiza sana kuona namna watu wanavyopambania Afya kwa Mateso makubwa. Kama u hai na Mzima ni Jambo la kushukuru maana hapa Duniani twapita tu. Nothing lasts. Afya...
  5. K

    Usafi ni utamaduni sio umasikini au utajiri

    Nikuwa kwenye boma la familia yangu huko Ununio nikajiuliza. Kwanini kuna uchafu wa mazingira wakati watu wana uwezo? Ukweli ni kwamba usafi ni utamaduni na sio uwezo au hata siasa. Usafi inabidi uwe utaratibu. Hata kwenye familia yangu binafsi kwenye hilo hilo boma moja kuna familia moja kati...
  6. Agrey998

    Zama kubadilika na utajiri nyuma ya teknolojia na upokewaji wake katika nchi za Afrika

    Tulikuwa na zama za mawe zikaja zama za chuma zikaja zama za viwanda na sasa tupo kwenye zama za taarifa (information age) uchumi unamilikiwa na Watoa taarifa na watu wenye teknolojia kubwa zaidi. Haishangazi kuona matajiri wakubwa duniani wamewekeza katika teknolojia. Kwa Afrika naona...
  7. Makirita Amani

    Umasikini ni laana kubwa, tuungane kuutokomeza

    Rafiki yangu mpendwa, Baba wa taifa la Tanzania, Mwl J. K. Nyerere, baada ya kupata uhuru kutoka kwa wakoloni aligundua hii nchi ni ngumu sana kuiongoza. Baada ya tafakari ya kina, akagundua licha ya wakoloni kuondoka, bado kulikuwa na maadui wakubwa watatu walioendelea kuwepo na ambao ndiyo...
  8. Rakims

    Jini/shetani wa pesa na utajiri mwenye asili ya nyoka: Almliyah Alnafedha

    Ni matumaini yangu wote ni wazima na mpo salama kabisa, Leo nataka niwafundishe jambo kuhusu jini/shetani huyu ambaye baadhi ya watu wengi wanamtumia katika kujitajirisha na kuweza kuwanufaisha na kupata mali,pesa,majumba ya kifahari ikiwa ni pamoja na mafanikio mbali mbali katika miujiza ya...
  9. Ben Zen Tarot

    Kupata utajiri siyo suala la bahati, ni sayansi kama zilivyo sayansi nyingine

    Kupata utajiri siyo swala la bahati au ujanja ujanja, bali ni sayansi, kama zilivyo sayansi nyingine. Ili moto uwake unahitaji kupata hewa ya oksijeni, hiyo ni sayansi, kadhalika kuna vitu vinahitajika ili mtu uweze kupata utajiri, hiyo pia ni sayansi. Sayansi ina sheria na kanuni zake, ambazo...
  10. FAJES

    Ukweli ulio mchungu: Kuna mstari mwembamba sana unaotenganisha kati ya utajiri wa mali na neno 'ubinafsi'

    Wanabodi heshima kwenu. Naomba nijielekeze moja kwa moja kwenye mada. Kwanza kabisa niwashukuru sana wadau wote waliochangia kwenye uzi wangu huu uliopita, ukipenda unaweza kusoma hapa. Baada ya kusoma comments zote za wadau kwenye uzi huu na kufanya tafakuri ya kina, nimebaini na kujifunza...
  11. sky soldier

    Kuna utajiri mkubwa wa kusaka dola za Adsense online lakini sasa...

    Katika ulimwengu huu wa sasa teknolojia imekua kubwa, baadhi ya vijana wamejiajiri katika blogging, youtube, n.k. kwa hapa kwetu wapo a aina mbili Aina ya kwanza - kwa upande wa bloggers wengi bado wapo google adsense lakini wengi wao wanacheza wanapokea laki 2 jadi laki 8 kwa mwezi, hali hii...
  12. L

    Barabara ya milimani huko Yichang mkoani Hubei yawasaidia wanavijiji kupata utajiri

    Katika miaka ya hivi karibuni, eneo la Yiling huko Yichang mkoani Hubei limeendelea kuhimiza ujenzi wa miundombinu, kwa kujenga barabara zinazounganisha vijiji vya milimani, na kuunda mtandao wa usafiri kati ya miji na vijiji, na kuwasaidia wakulima wa milimani kusafiri na kuuza bidhaa za...
  13. Aliko Musa

    Mambo matatu (3) ya kuzingatia kabla na wakati wa kumiliki nyumba au kiwanja cha kwanza kwa ajili ya kujenga utajiri

    Kama ulinunua kwa makosa ardhi au nyumba zako, unahitaji kusoma makala hii. Kama una mpango wa kununua ardhi au nyumba, unahitaji kusoma makala hii. Kama hujui ni nini hasa cha kuandaa kabla ya kununua ardhi au nyumba, unahitaji kusoma makala hii. Kama una nyumba yoyote ya kukuingizia kipato...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    Kugombana na Wazungu ni kugombana na Utajiri

    KUGOMBANA NA WAZUNGU NI KUGOMBANA NA UTAJIRI. Anaandika Robert Heriel. Kutokana na Elimu duni ya Watanzania waliowengi kuhusu mambo ya kihistoria, wengi hawana Uelewa Dunia imetoka wapi, ilipo na wapi inapoelekea. Hivyo sio ajabu kumsikia Mtanzania Fulani akisema Wazungu ni adui zetu, Wazungu...
  15. L

    Jinsi ya kuendelea kupata faida kwenye biashara

    THE LAW OF DIMINISHING MARGINAL RETURNS Diminishing ni kupungua kwa kitu Marginal return ni faida ambayo unapata kutoka kwenye kitu flani. Hii sheria inaelezea kwamba mwanzoni unavyoanza kitu ukiongeza juhudi basi kitakuzalishia zaidi, ila kadri unavyozidi kuongeza juhudi bila kuongeza vitu...
  16. Kiturilo

    Mkoa wa Kilimanjaro waachwa mbali kwa utajiri na Mkoa wa Shinyanga

    Utajiri wa mikoa ya Tanzania kwa kuangalia pato la mkoa mmoja mmoja (Regional GDP) 1. Dar es Salaam - sh 25.2 Trillion 2. Mwanza - sh 10.95 Trillion 3. Mbeya - sh 8.3 Trillion 4. Shinyanga - sh 7.589 Trillion 5. Morogoro - sh 7.1 Trillion 6. Tanga - sh 6.9 Trillion 7. Arusha - sh 6.9 Trillion...
  17. chizcom

    Utajiri ni rahisi kuupata ila masharti yake ni magumu

    Ukiona mtu katajiri jambo la kwanza utajiuliza mbona mimi nimeshindwa kuwa kama yeye. Napo sema utajiri ni rahisi kuupata kwa sababu njia zake ni rahisi pale utakapo gundua unapatikanaje kama fursa,soko,bei na n.k Matajiri wengi tunao waona na wengine wakubwa wamekuwa wakitupa njia za...
  18. Idugunde

    Inafikirisha sana, kwa utajiri wa mali na biashara anazofanya Mbowe ni wa kuchangiwa? Au ndio kuumizana tu Kichademachadema?

    Mwenyekiti wa CHADEMA anasadikiwa kuwa na ukwasi mwingi tu na kumiliki biashara kibao hapa nchini na hata huko falme za kiarabu hasa Dubai. Sasa kwa mali na ukwasi alionao si ndio ilikuwa fursa ya kusimamaia malipoi ya kesi inayomkabili? Mbona mabakuli yameanza kupita kidijitali ili kulipia...
  19. ndege JOHN

    Ipi sababu ya Kenya kupendwa kuliko Tanzania licha ya kuwapita utajiri wa utamaduni?

    Nilikuwa naangalia video flani YouTube inahusu capital city za nchi 54 za Africa. Sasa nikaenda sehemu ya comments kusoma nikajionea watu wengi kutoka mataifa mbalimbali dunia wakiisifia Kenya kuwa ndo favourite country yao lakini kiuhalisia ni dhahiri tumewazidi vivutio (Sina haja ya kuvitaja...
  20. Izzi

    Usiri wa namna watu wanavyotajirika

    Karibu Tanzania, nchi ambayo ukisikia mtu ametajirika basi wazo la kwanza linalokujia kichwani ni "michongo", au "unga", au "kafara", au "nyota", au "upigaji", au "sponsor" na maneno mengine ya dizaini hiyo. Naomba mnisaidie, labda ni mimi peke yangu - lakini ni nadra sana kufikiria au kukubali...
Back
Top Bottom