IMPOSSIBLE IS RICHNESS. LISILO WEZEKANA NDIO UTAJIRI
The problems is that the rich man is not yet a rich and a poor man is not yet a poor. Hayo ni maneno kutoka kwenye kitabu cha rich dad and poor dad cha Robert kiyosaki. Jambo ambalo linaonekana haliwezekani ndilo lenye siri ya unapotaka kuwa...
Jeshi la Polisi mkoani Kagera linamshikilia Fredius Philibart Kibengo mkazi wa Omurushaka wilayani Karagwe kwa tuhuma za kumuua mama yeke mzazi kwa kumkata shingoni kwa kutumia kitu chenye ncha kali baada ya mganga wa kienyeji kumtaka kupeleka damu ya mama yake au ndugu yake wa karibu ili...
Marekani na China Ni nchi Matajiri Sana lakini kila moja inaitegemea nyingine. Marekani anazalisha Sana na anaiuzia China, China pia anazalisha Sana na anaiuzia Marekani.
Sisi hatuzalishi chochote Cha kiwandani Cha kuweza kuwauzia Mabeberu, Wala hatulimi Sana kushinda hata India China na...
Wakuu,
Mjadala unawekwa mezani kuhusu fursa za kiuchumi kutokana na rasilimali asili zilizoko Singida
1. Safu za mlima Sekenke hadi Makutupora ina mkanda wa madini ya Dhahabu. Wajerumani walivuna sana madini hayo na jinsi ya usafirishaji wake ilikuwa wanatumia mitaro ya zege.
2. Zao la...
PART I
Katika harakati za kutafuta maisha kuna mengi sana ambayo wanaume tunapitia. Leo ntawaelezea visa na mikasa ambayo nlipitia toka nimemaliza kidato cha nne mwaka 1995. Mambo haya yametokea nikiyaona na pia nikihusika.
Mimi ni mtoto wa kwanza katika familia ya watoto 7. Nikiwa na dada...
Nimeona hii nyumba na kutafakari. Kwa wale wapenzi wa ghorofahii ni plan ni ya bei nafuu. Juu Ina vyumba vitatu vya kulala a family bathroom.
Chini ina jiko, choo, sebule na dining. Katika kiwanja cha kawaida cha 1/4 eka unaweza kujenga hii nyumba na nyuma ukapata nafasi ya banda la kuku...
Shares of Tesla are up another 4.2% today and with that, Tesla CEO Elon Musk has passed Jeff Bezos to become the world's richest person, according to Bloomberg calculations. His net worth is $188 billion dollars, about $1.5 billion more than Bezos.
In the past 12 months, Musk's net worth has...
Hiki kijiji kinaitwa Ifumbo. Kipo wilaya ya Chunya mkoa wa Mbeya. Kimepangwa vizuri sana kuliko sehemu nyingi za jiji la Mbeya.
Watu wa mipango miji na vijiji vingine viende vikajifunze kabla hawajachafua maeneo yao.
Weka picha ya kijiji kilichopangika vizuri.
Siku Mungu akinibariki na utajiri nitaufariji moyo wangu kwa kuwa katili na muonevu. Watu wanadharau sana. Nikinunua gari nawafuta hukohuko kwa wapita njia nakuwagonga na side mirror viunoni mwao.
Nitakuwa na nyodo na dharau iliyopitiliza. Na nitakuwa mbabe na kuonyesha jeuri ya, pesa...
Bhasi habari za wakati huu wana JF wote poleni na hongera katika kuendelea kupambana na hizi changamoto za haya maisha.
Bhasi bhana leo nikiwa naendelea na mapumziko ya sikukuu hiii ya Christmas.
Huku nikiwa nina uchovu wa ajabu nikasema siku ya leo sio mbaya nikatumia na wadau wangu wa hapa...
Mimi Kama mzazi naumizwa kuona watu wamejaaliwa Mali lakini hizo fedha haziwezi kusaidia familia yake.
Kama uwezi kusaidia familia yako unaondikaje kusaidia familia za wengine? Naomba niwakumbushe vijana; sote tuna dhambi na hakuna namna tutakwepa ilo.
Wanaume wengi wametelekeza watoto na...
"UMOJA WA NDANI, NA UMOJA WA NJE" NI NGUVU, UWEZA NA UTAJIRI.
Kwa Mkono wa, Robert Heriel
Jumbe hii isomwe na wapenda hekima, wenye kutafuta ufahamu, iwe taa kwao wapendao heri, lakini iwe giza kwao wenye hila na njama, hao wenye kudhulumu.
Leo Taikon nimekuja na somo muhimu na lalazima kwao...
Njia ya mwendokasi ni njia spidi kali, kuingia njia hii lazima kwanza uachane na hofu, ukihofu mara nyingi utakanyaga pedali ya breki bila sababu, na spidi yako itapungua na utapitwa na kuachwa nyuma. Njia hii ina changamoto nyingi, na ndiyo maana watu wengi wanaamua kupita kwenye njia ya mguu...
KIGEZO #1: MAHITAJI YA NJIA YA FOLENI
Ukisikiliza swaga za watu wa njia ya foleni ni kama hizi; “Nikasomee kitu gani, kitakachonifanya nipate mshahara mkubwa?”, “Hivi ni kampuni gani nikaajiriwe, inayolipa vizuri kuliko nyingine?”, “Nikiajiriwa serikalini itakuwa poa sana, Nitakuwa na uhakika wa...
Unafikiri ninapozungumzia habari za kuondoka kwenye njia ya foleni na kuhamia mwendokasi ninazungumzia ubinafsi wako na kupenda sifa kwako? Eti umesoma, una cheo, mtaa mzima wanakujua, kampuni yote wewe ndo wewe, na una vyeti kama vyote! Ninazungumzia habari za watoto wako na mamilioni ya kizazi...
NJIA YA FOLENI (POLE POLE NDIYO MWENDO)
Njia ya foleni ni njia ya wazee wa “polepole ndiyo mwendo”, wao huamini kuwa ili kuelekea mafanikio au umilionea inakulazimu kuwa na mvumilivu sana na mwenye subira. Watu hawa wana maarifa na wengi wao wamesoma sana, kiasi kwamba wanashindwa kujichunguza...
Njia ya watembea kwa mguu kuielekea safari ya mafanikio na ukwasi
Watembea kwa mguu watachukua muda mrefu sana kufika mwisho wa safari yao. Umbali kati ya Mwanza mpaka Dar ni kilometa karibu 853. Kwa umbali huu, mwenda kwa miguu anaweza kutumia zaidi ya masaa 420, sawa na siku 17; yaani hapo...
UTAJIRI NI SIRI, NA SIRI NDIO UTAJIRI WENYEWE
Kwa Mkono wa, Robert Heriel
Kabla hujaanza kutafuta utajiri, basi kwanza kabisa jifunze kuwa na Siri. Huwezi kutafuta utajiri kama huna siri, na kamwe huwezi pata utajiri kama wewe sio mtu wa Siri.
Huwezi pewa nafasi nyeti, nafasi kubwa kama wewe...
Habari za Leo wa ungwana.
Natamani sana taifa langu liwe tajiri.
Kuna msemo unasema kwamba utajiri unapatikana ardhini. Huu msemo ni wa kweli kabisa.
Kwasababu ndani ya ardhi ndio kuna mali, kuna madini, kuna maji, kuna mafuta, kuna gesi, kuna makaa ya mawe kuna misitu, kuna miti, kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.