Wakuu wana JF,
Kuna tetesi kuwa ukifungua fixed account ya 10Million ktk benk za Exim, CRDB, Posta bank, NBC limited au NMB, kwa kila baada ya miezi mitatu - inazaa faidi kati ya sh. 1.8 mill up to 2.1 mil.
Hii ina maana kuwa kwa muda wa mwaka 1, yaani 12 months unakuwa umepata faida ya...