utajiri

  1. Nyimbo/album hizi kama zingetoka leo zingeleta utajiri kwa waimbaji

    Hizi ni orodha ya Nyimbo za zamani ambazo kama ZINGETOKA Leo, Zingewatajirisha sana Wasanii au waimbaji. Na pengine zingebadili upepo wa Sanaa ya bongo. 1. Maria Salome -Saida Karoli. 2. Starehe & Kamanda- Ferouz. 3. Uwe macho & Jipange sawa sawa -Rose Muhando...
  2. Mbinu Bora ya Kutumia Kujenga Himaya ya Utajiri Wako Kupitia Ardhi na Majengo

    Lengo kuu la huduma zangu za uandishi kwenye uwekezaji wa ardhi na majengo ni: ✓ Kuwasaida watu kutunza fedha zao kupitia ardhi na majengo. ✓ Kujenga himaya ya utajiri kupitia ardhi na majengo. Nimekuwa nikiulizwa mara kwa mara swali kuhusu ni mbinu gani ya kujitengenezea kipato kutokana na...
  3. N

    Je, ni kweli kuwa Utajiri unapatikana Shambani?

    Hayawi hayawi sasa yamekuwa, mpango wa kuwawezesha vijana kwa kuwapa ujuzi na mahitaji ya kuwawezesha kuanza shughuli za kilimo unakwenda kubadili hostoria ya Afrika. Kupitia mpango huu wa BBT, kila kijana anapata fursa ya kuijenga kesho yake iliyo bora. Wakati suala la ajira likiwa changamoto...
  4. Iringa: Ahukumiwa miaka 30 baada ya kushauriwa kumbaka dada yake wa kuzaliwa ili apate utajiri

    Huko Iringa Mahakama ya wilaya ya Kilolo imemhukumu Frank Kigomba miaka 30 na kutakiwa kulipa faini ya shilingi laki 5 kwa kosa la kumbaka dada yake wa kuzaliwa kwa maelekezo ya mganga wa kienyeji ili awe tajiri. Matukio ya kubaka, kuua na kutafta utajiri sasa yamehama kutoka kanda ya ziwa na...
  5. Nauliza tu, huko Kusini mmeishiwa majina, kila mtu anaitwa Sanga tu, and ndio masharti ya utajiri?

    Kuna hili swali nimekuwa nikijiuliza kimya kimya moyoni..., kwamba huko Kusini kila mtu anajiita Sanga, lengo hasa ni nini? Hata kwenye vibao vya ujenzi wa maghorofa kila mtu anaandika Sanga tu.., hivi ndio masharti ya utajiri hayo au? Nini kinaendelea? Kila mtu Sanga, Sanga..., Sangaa ...
  6. N

    Je, ni kweli utajiri unapatikana shambani?

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema sekta ya kilimo nchini inatarajiwa kukua kwa asilimia 10 ifikapo mwaka 2030 ukilinganisha na ukuaji wa sasa wa takriban asilimia 3.6. Rais Samia amesema Tanzania imetengeneza fursa za kitaifa kwa ajili ya mabadiliko ya...
  7. Utajiri wa matajiri wanne Kenya unazidi Wakenya milioni 22 wakiunganishwa kwa pamoja. Tanzania vipi?

    Oxfam imesema matajiri wanne nchini Kenya, utajiri wao unazidi karibu nusu ya wakenya wote(40%) wakichanganywa kwa pamoja. Matajiri hao wana utajiri unaofikia Ksh. bilioni 333( Tsh. trilioni 6.26). Utafiti unaonesha ukuaji wa tofauti kati ya walio nacho na wasio nacho ambapo wakenya 130...
  8. Ni mahubiri ya Utajiri, Mafanikio na Miujiza, Watu wanamtegemea Mchungaji Eliona Kimaro na kusahau injili ni Shida na Mateso

    Ni utamaduni mpya kabisa wa mahubiri ya Utajiri, Mafanikio na uponyaji tu na Miujiza unaopingana na Imani ya Msalaba, Eliona Kimaro na baadhi ya watu waliojipa utume na unabii wamelenga kwenye mahubiri ya uponyaji, utajiri, Miujiza na Mafanikio hivyo kuwaaminisha wafuasi wao kuwa njia ya...
  9. Utajiri wa Shilole wafikia Trilioni 3.9 TSH

    Tajiri wa roho, mjasiriamali na msanii Nguli Shishi baby amefikisha utajiri wa Wastani wa TSH. 3.9 Trilioni kupitia record label, endorsement na assets alizo nazo Dar, Dodoma,Venice, London, Paris na Dubai. Hongera Sana Mr & Mrs Rommy 3B. Source: Forbes Eastern and Southern Africa
  10. Sallam SK: Mandonga usisindikize watu kwenye utajiri

    Baada ya kuwa na pambano lenye mafanikio supastaa namba tatu wa sport Tanzania Karim Mandonga amepewa ushauri wa bure na Sallam. Hii ni baada ya habari za nyuma ya pazia kuwa Ndonga kalipwa kiduchu licha ya kufanya pambano lenye ecosystem ya zaidi ya mil 400 za kibongo na yeye akiwa ndio...
  11. M

    Nini hasa maana ya utajiri?

    Wanajamvi nina wasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania! Nimekuwa nukijiuliza maswali mengi sana kuhusu mambo mbalimbali yanayoendelea katika taifa letu pendwa kabisa Tanzania, Je ni Taifa Tajiri au Maskini? Mzee wetu mmoja aliwahi kuulizwa kwanini Taifa lako Maskini? Alijibu hata...
  12. Rais Samia: Vijana wa leo wanakimbilia kwenye kutaka utajiri, baada ya muda utajiri unawapiga

    “Nilikuwa na mazungumzo na Katibu wa Chama, katipa somo, nalikopa kutoka kwake. Vijana wa leo tunakimbilia kwenye kutaka utajiri. “Uwe na jumba zuri, gari zuri, mambo yako yaende hivyo, lakini bahati mbaya baada ya muda utajiri unakugeuka na unakupiga, kama ni nyumba au gari huwezi kutunza...
  13. Utajiri unaohusisha mambo yoyote ya kishirikina ni ubinafsi na pigo kwa vizazi vyako

    "Satan can't and never gives a free gift" Atakupa wewe muhitaji materialist faraja lakini he must bite back your family later days! Through my studies msaada wowote utolewao na shetani, aidha katika biashara zako, kazini kwako, kwa lengo la promotion au kupanda cheo au biashara itoke kwa nguvu...
  14. Peter Gasaya, Boss wa JATU apandishwa Mahakamani. Wale mliotapeliwa na JATU poleni

    Jatu ni wale jamaa wa kipindi waliokuna na ule mchezo wa unatoa pesa alafu unalimiwa unauziwa. Mwisho wa siku watu wakatapeliwa. Hatimaye kaingia kwenye 18, serikali imemkamata na kumshtaki kwa kujipatia bil 5 kwa njia za udanganyifu wa kutapeli watu. Naipongeza serikali, Ila pia na nyie...
  15. Utajiri wa Bwana Elon kuzidi kuporomoka, zipi sababu? Sisi kama watu wenye maono tunayapi ya kujifunza?

    Takwimu za Forbes zinaonyesha khali ya bwana Musk kuzidi kuwa tata ? Je, tuna yapi ya kujifunza regarding that this man is a legend who revolutionized rocket science?
  16. Ukimsujudia shetani atakupa utajiri?

    Katika kusoma soma kwangu kwenye hiki kitabu 'biblia' nikakutana na maneno haya ''Kwa mara nyingine, ibilisi akamchukua Yesu mpaka kwenye kilele cha mlima mrefu na kumwonyesha falme zote za dunia na fahari zake, kisha akamwambia, “Nitakupa hivi vyote kama ukinisujudia na kuniabudu.’’ Sasa...
  17. Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

    Nisikuchoshe na usinichoshe, tusichoshane!. Kwanza kabisa nipende kuwashukuru wote ambao mmeendelea kuwa na mimi bega kwa bega tangia mwanzo wakati naanza kusimulia visa vya maisha yangu ambayo nimeyaishi na kuyapitia kama mwanadamu. Simulizi yangu ya kwanza kabisa hapa JF imefahamika kama...
  18. M

    Watu tunasherekea utajiri wa Elon Musk kushuka

    Ngebe, nyodo, madharau, majigambo, kiburi, kujiona na kujiinua vimefika ukingoni. Ni chereko na vifijo. Elon Musk (Mwafrika Uchwara) mmiliki wa Tesla, Space X na Twitter utajiri wake umeshuka kutoka dollar billion 230 hadi dollars billion 168 na kujikuta kupoteza nafas ya kwanza utajiri...
  19. Je, baraka za Mungu ni mafanikio ya kimwili kama utajiri au zipo nyingine tofauti na utajiri?

    Wakuu, habari za leo, natumai Jumapili iko poa kwenu, Kama kichwa kinavyosema, je, baraka za Mungu tuzihesabu kupitia mafanikio yetu ya kimwili kama pesa, majumba, magari ya kifahari, mke mrembo, simu kali na mengine mengi au kuna namna nyingine anaweza kuwa anatubariki ila sisi hatujui? Kwa...
  20. Jinsi Ya Kufanya Tathmini Kwenye Kiwanja/Nyumba Kwa Lengo La Kujenga/Kutunza Utajiri

    Tathmini hii inafanyika kwenye nyumba ambazo ni kwa ajili ya KUJENGA/KUTUNZA utajiri. Nyumba za kuishi jenga au nunua kwa kuzingatia mapenzi yako binafsi (au mapenzi ya familia yako) pengine hata bila kufuata misingi hii ya uwekezaji kwenye ardhi na majengo. Viashiria vinne (4) vya kupata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…