Kuna utamaduni umekuwepo wa kuwatumia watoto kuomba omba na vigoma vyao hasa katika mwezi Ramadhani
Huu ni udhalilishaji wa watoto wadogo na kuwajengea fikra duni za kuomba omba
Dr Gwajima Toka ofsini wasaidie hawa Watoto wanaomba omba waende shule wapate maarifa yake kuwafata baadaye kwenye...
Jamaa wanasema wamefanya mauaji ya heshima kwa maana binti yao alikuwa amegeuka na kuwa kama "binti wa kimagharibi"
Mtapeli mwanadamu vyote, ila ukishamteka katika fikra na imani, basiiii, unamuibia hadi doti ya mwisho ya utu wake
Wanaosema Tanzania tuna utamaduni wa chaguzi na twende tu hivyo hivyo hata kama tunajua kabisa kura hazijesabiwi kabisa toka 2019. Lissu na team yake wametoa data za kila kitu lakini cha kushangaza unakuta wasomi kabisa wa media wanasema . Lissu Mama anakupenda sijui nini sasa hayo mbona...
Naibu katibu Mkuu wa Chama Cha cha Mapinduzi Zanzibar Dkt. Muhammed Said Dimwa amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Fatma Hamad Rajab kukaa pamoja na Uongozi huo wa Veta ili kuweza kuendesha program zitakazowasaidia Vijana wa Zanzibar na kuweza kujiajiri...
Tarehe 28 Januari ni mkesha wa mwaka mpya wa jadi wa China. Kama ilivyo desturi, saa 2 kamili usiku kwa saa za Beijing, tamasha la mkesha wa mwaka mpya wa jadi wa China ambalo linaandaliwa na Shirika kuu la utangazaji la China CMG linalojulikana kama “Chunwan” linarushwa hewani kwa ajili ya...
Imezoeleka kusikia mabinti wakisema nadate na mtu fulani au fulani anadate na fulani au nataka kudate na fulani.
Kudate ni ile aina ya mahusiano ambayo watu wawili wasio jua hatima yao wanaamua kuwa pamoja wakifanya mambo au kuwa na ratiba as if ni wapenzi lakini sio wapenzi rasmi.
Sisi...
Kuna vitu vinashangaza mnoo katika siasa za CCM ambapo kile kinachoimbwa majukwaani (kuwawezesha vijana na wanawake) ni tofauti kabisa na kile kinachofanyika. Hili la wazee wastaafu waliochoka na kuchokwa kurejeshwa kinguvu kwenye ulingo wa kisiasa ni miongoni mwa maajabu ya siasa za CCM.
Hizi...
Ni utamaduni wa waafrika wengi kuwa strict sana kwenye kulea damu zao ndio maana huwa wanaumia sana wakigundua watoto ni wa nje.
Mfano kwenye kabila letu (nisingependa kulitaja), naambiwa hapo zamani ilikuwa kaka akitembea na mke wa ndugu yake, haikuleta shida, cha muhimu kilikuwa damu iwe...
Mbona kama utalii unaendana sana na masuala ya utamaduni na sanaa kama vile nguo na vinyago vya wamasai??
Sasa vinyago vya wamasai na habari, wapi na wapi wakuu?? Au sanaa za wamakonde na michezo ya Simba na Yanga ni wapi na wapi??
Hivi hawa wanaopanga hivi vitu ndani ya Wizara huwa wanawazaga...
Ndugu zangu hivi swala la Referees mnalichukuliaje? Mimi naliona halijakaa kitaalam kabisa kwa mfano maofisini tunaona unakuta boss wako hataki ugrow hata ukipata safari tu ananuna ( huyu kweli atakurecommend vizuri huyu sehem nyingine tena ajue unaenda kupata maslah zaidi ya hapo?) lakini pia...
Mitandaoni kuna propaganda imekamata watu wengi sana kwamba Netanyahu amekataa mualiko 😂😂 , watu wengi sana wasiojua historia wamejaa kwenye mfumo.
Marekani wamejiwekea utaratibu wao wa kipekee, Hafla hizi ni za ndani kwa ajili ya kuonyesha mchakato wa amani wa kubadilishana madaraka nchini...
canada
hawana
hii
india
israel
kuhudhuria
kukataa
majirani
marekani
mpaka
n.k
nchi
netanyahu
rais
rais wa marekani
sababu
uapisho
ufaransa
uingereza
ujerumani
utamaduni
viongozi
Wazungu/ Wakoloni walisema tamaduni zetu niza kishenzi ndio maana
mpaka leo watu wengi hatupendi sana tamaduni zetu za asili mfano
lugha, majina, goma na kadhalika. Unafikiri sababu ni ipi wakoloni kusema
hivyo.?
Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji UVCCM Taifa, Komredi Debora Joseph Tluway tarehe 14 Desemba 2024 ametembelea Chuo cha Vijana Kaskazini Unguja na kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na Chuo hicho
Aidha, Mhandisi Debora Joseph Tluway amezindua Bonanza la Utamaduni Kaskazini Unguja...
huyu anaenda kupigizana kelele na akina Stive Mingele, akina Kingwendu, Bambo, wanamichezo kama akina Mkude na wengineo . Akina Shilole, ,sijui nani na nani. Msomi ambaye alipaswa arudi Chuo alipwe vizuri afundishe sheria.
Aandike vitabu na vitabu. atoe ushauri wa kisheria. aisaidie nchi kwenye...
Ni kama mechi kadhaa sasa sijaona ule utamaduni wetu wa kutoa misaada kwenye vituo mbalimbali vya wahitaji. Je inaweza kuwa sababu ya matokeo mabaya tunayopata?
Katika ufunguzi rasmi wa Bonanza la Pemba Tourisport and Cultural Bonanza uliofanyika Kuukuu Kangani, viongozi mbalimbali walihudhuria tukio hili lenye malengo ya kukuza utalii na urithi wa kipekee wa Pemba. Mgeni rasmi alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Mkoani, Ndugu Hamad Omar Bakari, ambaye...
Baraza la Maaskofu wa Katoliki Kenya (KCCB) limeikosoa serikali ya Rais William Ruto kwa kushindwa kutimiza ahadi zake kwa Wakenya na kudumisha utamaduni wa uongo na kutumia mitambo ya Serikali kunyamazisha wapinzani
Aidha, Mwenyekiti wa Baraza hilo, Askofu Maurice Muhatia amewashutumu viongozi...
Kipindi cha Kikwete alileta mapnduz makubwa mno kwenye siasa za nchi yetu kwenye siasa za upinzani, Uhuru wa kuongea na baada ya kuongea, n.k.
Siwezi kusema kikwete alikuwa mkamilifu kwenye kuleta siasa huru lakini alijitahidi
Kwa mara ya kwanza wagombea wapinzani walijaa bungeni
matumizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.