Tuwe macho na hii kitu ya uchifu. Uchifu kwa makabila mengi uliambatana na mamlaka juu ya ardhi na mara nyingi uliambatana na umwinyi.
Tuliondoa uchifu ili kuweze kuthibiti fulsa ziweze kupatikana kwa wote na kuimarisha demokrasia.
Uchifu pia uliambatana na baadhi ya mila mbaya za kunyanyasa...
Rais Samia Suluhu Hassan leo Septemba 8, 2021 atashiriki Tamasha la Utamaduni, Mila na Desturi za Tanzania lililoandaliwa na Umoja wa Machifu Tanzania (UMT) katika Viwanja vya Redcross - Magu, mkoani Mwanza.
UPDATES
- Katika Viwanja vya Redcross - Magu tukio linaendelea huku Machifu...
Mpaka sasa vifo vya Corona hazisemwi waziwazi na mnategemea watu wataona vipi umuhimu wa chanjo kama vifo vingi vya corona, watoa taarifa wanaogopa kutangaza wazi na kuishia kusema kwa sirisiri.
Haya ndiyo mambo yanayorudisha nyuma mapambano ya huu ugojwa. Huu ni ushauri tangazeni vifo vyote...
Nipo njia panda wakuu,
Zamani enzi zetu miaka ya nyuma kidogo kuna baadhi ya makabila kwenye koo flani ilikuwa ni lazima upewe kinga, haya mambo yalianza zamani sana tunaambiwa ni baada ya wahamiaji wapya, kuowa nje ya ukoo, kuchanganyana na koo mpya kukaanza kujitokeza mambo ya teknolojia ya...
Wadau!
Kama mjuavyo, kikatiba ni Mh. Rais wa nchi pekee aliyekuwa na kinga ya kutoshtakiwa. Lakini kwa siku za hivi karibuni listi imeongezwa kidogo ambapo MR, WM, JM, Spika na NS nao wana kinga ya kutoshtakiwa hata watakapokuwa wamestaafu. In short, ni "kinga ya maisha".
Kama tunavyojua...
Kiongozi mmoja wa Kiyunani (Kigiriki) aliitwa Alexander Mkuu, ndiye aliyefanya mabadiliko makubwa sana ya kueneza utamaduni wa Kigiriki eneo lo lote alilotawala.
Akaeneza na kuhimiza watu kutumia lugha ya Kiyunani, ikawa lugha ya kibiashara kwa mataifa yote aliyotwala, ikachangia kwamba hata...
Leo tarehe 14 Juni ya mwaka huu ni Sikukuu ya mbio za mashua ya Dragon au sikukuu ya mbio za mashua ya joka, ambayo ni sikukuu ya jadi ya China. Sikukuu hii ambayo imewekwa kwenye orodha ya urithi wa utamaduni usioonekana ya Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa UNESCO, si...
Nawasalimu kwa Jina Baba Mwenyezi aliye Mbinguni
Wakurya na Wajita ni makabila yanayopatikana mkoa wa Mara, Wajita wakipatikazana zaidi Bunda na Majita
Wakati wakurya wanapatikana kwa wingi Rorya na Tarime
Makabila haya ni ya watu wanaojiheshimu na wastaarabu Sana Tena Sana tatizo la haya...
Magufuli alitaka kuunda mkoa nyumbani kwake kwa utashi tu binafsi bila kujali vigezo vyenye mantiki vya kuunda mkoa huo.
Yaani katika muendelezo wake wa "unyumbani" akavunja protokali zote za kimantiki na kivigezo katika kuubda mkoa mpya.
Leo hii mkoa wa Geita ni miongoni mwa mikoa michanga...
Utamaduni wa kujivutavuta sio mzuri kwa taifa na wananchi wetu. Hasa kwenye idara za serikali
Tume ya kutafuta chanjo nayo inejadili ......... badala ya kufanya maamuzi
Wakezaji wanazubaishwa zubaishwa bila sababu
Sheria zikitaka kubadilishwa ni mizunguko isiyo ya msingi
Tulileta vitu bandarini...
Kwa muda mrefu Chama cha Mapinduzi kimeendeleza utamaduni wake wa kuminya demokrasia ndani ya chama hicho kwa kuwanyima wanachama wake wanaotaka kugombea nafasi ya mwenyekiti wa chama Taifa na kulazimisha Rais aliyeko madarakani agombee nafasi hiyo kwa kupambana na 'kivuli'.
Mbaya zaidi wakati...
Asili: asili ya waluguru husemekana kuwa imetokana na watu kutoka maeneo ya chini(low land) kuhamia katika mlima kwasababu mbalimbali kwa mfano mapigano ya wenyewe kwa wenyewe na njaa na pia kukwepa utumwa wakati wa enzi za utumwa , mfano kuna mapokeo miongoni mwetu kuwa waluguru walikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.