Napata ufunuo ambao inaonyesha Rais Mama Samia atafanya vizuri sana kipindi cha kwanza cha miaka 5 lakini kutokana yanayoendelea ktk uchaguzi ndani ya CCM kipindi cha pili kinaweza kikawa kigumu licha ya kuwepo kocha mzoefu kamanda Kinana.
Nafahamu Mama hana uchu wa madaraka angeweza kusema...
Elimu inayozungumziwa hapa ni ya darasani (formal)
Chuoni unaweza kwenda kusomea degree business administration ama ya ujasiriamali na ukawa unapata 100 wenye mitihani kwa kujibu kwa usahihi kwamba mjasiriamali inabidi asikate tamaa, aipende biashara yake, asidokoe mtaji, awe mvumilivu kwa...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na MIchezo Dkt. Abbas anafunga kikao cha maudhui ya ndani leo Septemba 16, 2022 wakati wa Warsha ya Kuhamasisha Uandaaji, na Uzalishaji wa Maudhui ya Ndani iliyoandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ambapo Waziri wa Habari na Mawasiliano...
Imefika wakati wa kuwauliza vijana ukikutana nao, wewe unafanya nini kama ilivyokuwa zamani.
Vijana wetu tena wadogo ni zaidi ya 70% ya watanzania. Ni lazima tuweke utamaduni tofauti kwa vijana wetu ili waweze kushindana na vijana wenzao kwenye nyakati hizi za ushindani.
Nchi zinaungana na...
1. UTANGULIZI
Jamii ya Tanzania kama jamii nyingine za nchi za Afrika zenye historia ya kutawaliwa, inakumbwa na changamoto ya kustahimili maendeleo endelevu katika kila secta, iwe Elimu, Afya, Uchumi, Uwekezaji, Kilimo, Viwanda na hata Utalii. Licha ya uwepo wa mifumo bora ya kiuongozi na...
Agosti 9, huko Hohhot Mkoani Mongolia ya Ndani, watoto walitazama utengenezaji wa dawa za jadi za Kichina. Watoto walitumia fursa ya mapumziko ya majira ya joto kujifunza, kuelewa ujuzi wa dawa za Kichina, na kuelewa utamaduni wa dawa za jadi za Kichina.
Miaka kadhaa iliyopita kuna picha ili-trend sana mitandaoni ya Waziri mstaafu wa kilimo wa Zambia kuonekana amempigia magoti Rais mstaafu Edgar Lungu (nimeipost). Watu wengi sana walitoa maoni yao na wengine kufikia hatua ya kumlaani Rais Lungu kuwa ni dikteta anayedhalilisha watu wake. DC wa...
Mkurugenzi wa Sera na Mipango Bwana Haji Janabi (kushoto) akiongea na wajumbe wa Kamati ya Maandalizi kutoka Tanzania na Afrika Kusini katika kikao awali kufikia kwa maandalizi ya Tamasha la Msimu wa Utamaduni wa Afrika Kusini nchini Tanzania ambalo linatarajiwa kufanyika kuanzia mwishoni mwa...
Morogoro ni mkoa mojawapo wenye MAKABILA mengi hapa nchini. Zifuatazo ni wilaya na MAKABILA yake
1. Halmashauri ya Morogoro: Hii wilaya maarufu kama Morogoro Vijijini, makabila yanayopatikana ni; Waluguru, Wakwere, Wakutu, na Wazaramo
2. Morogoro Mjini: Hapa wenyeji ni Waluguru.
3...
Kuanzia tarehe 15 hadi 17 mwezi Juni, tamasha la 18 la utamaduni na utalii wa Qici ambalo pia ni tamasha la kwanza la utamaduni na sanaa za Qiuci mjini Kuqa, China lilifunguliwa. Shughuli mbalimbali za kitamaduni kama vile maonyesho ya fataki, maonyesho ya urithi wa utamaduni usio wa mali...
Tamasha la Sanaa na Utamaduni la Afrika Mashariki lilifunguliwa mjini Addis Ababa, nchini Ethiopia.
Tamasha hilo litafanyika kwa siku kadhaa na kuonesha thamani ya sanaa na utamaduni ya watu wa Afrika Mashariki kwa kuonesha bidhaa mbalimbali zinazotengenezwa na watu wa Afrika, vyakula na dawa...
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mohamed Mchengerwa leo amewasilisha bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha wa 2022/2023 ya zaidi ya shilingi bilioni 35.4
Akiwasilisha bajeti hiyo bungeni jijini Dodoma Waziri Mchengerwa amesema kati ya fedha hizo Shilingi Bilioni 8.2 ni Mishahara...
Tamasha la kwanza la mavazi ya jadi ya Hanfu la watoto lilifanyika Jumatano wiki hii mjini Shenyang China.
Kwenye jukwaa la maonesho, sambamba na muziki wa mtindo wa kale, watoto walionesha uzuri wa mavazi ya Hanfu na utamaduni wa jadi wa China. Kutokana na shughuli hiyo, watoto walijifunza...
Kwa kweli huyu waziri mkuu wa India anafurahisha sana!! Anajivunia uvaaji wa kihindi kwa kujiamini kabisa!! Waarabu pia nawapongeza sana na wanigeria!! Anaitangaza nchi yake sawasawa!! Ana msimamo, ndio maana hawezi kuyumbishwa propaganda za nchi za magharibi!!
Rais wa Zanzibar Hussein Ali Mwinyi jana Jumatatu alizindua tamasha la Sanaa na Utamaduni la Afrika lijulikanalo kwa jina la Festac Africa 2022, na kuzitaka serikali za Afrika kuhimiza Sanaa na Utamaduni ndani ya bara hilo.
Rais Mwinyi alisema tamasha hilo ambalo limeleta pamoja zaidi ya...
Nikuwa kwenye boma la familia yangu huko Ununio nikajiuliza. Kwanini kuna uchafu wa mazingira wakati watu wana uwezo? Ukweli ni kwamba usafi ni utamaduni na sio uwezo au hata siasa.
Usafi inabidi uwe utaratibu. Hata kwenye familia yangu binafsi kwenye hilo hilo boma moja kuna familia moja kati...
Naandika nikiwa na hasira sana juu ya jinsi mimi na watanzania wenzangu tunavyoishi katika mazingira yetu ya kila siku.
Unakuta mtu naporwa simu, au naonewa lakini watu pembeni wamekaa tu hawashughuliki kumsaidia. Raia wote wanaacha jukumu la kujilinda liwe la polisi tu kana kwamba wao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.