UTANGULIZI
Ukarimu ni mfano mmojawapo wa kete wanayotumia wanasiasa na viongozi wa serikali kusisitiza Watanzania kuuenzi utamaduni wa Mtanzania. Kimsingi ni malengo yetu sote tuufikie ustaarabu wa kijamii ambao binafsi siuoni ukikidhi kikamilifu vipengele vya utamaduni huo. Isitoshe una kasoro...
Utangulizi:
Katika sekta yoyote, uwajibikaji na uongozi bora ni mambo muhimu katika kuhakikisha ufanisi na mafanikio ya shirika. Kuchochea mabadiliko ya uwajibikaji na utawala bora ni jambo la msingi katika kuboresha utendaji na kukua kwa kampuni. Katika andiko hili, tutachunguza hatua...
Utangulizi
Katika mambo magumu katika nchi nyingi zinazoendelea hasa za Bara la Afrika, ni kujiuzulu au kwa maneno mengine, kuachia ngazi kwa viongozi katika nafasi wanazozishikilia pale ambapo mambo yanaharibika katika taasisi wanazoziongoza.
Ninapozungumzia juu ya kujiuzuli au kuachia ngazi...
Mabadiliko katika Nyanja ya Michezo na Kukuza Utawala Bora na Uwajibikaji.
Utangulizi:
Michezo imekuwa na athari kubwa katika jamii kwa miongo kadhaa sasa, na mabadiliko katika nyanja ya michezo yamekuwa na nguvu kubwa ya kuleta utawala bora na uwajibikaji. Makala hii itazingatia jinsi...
Kipaji ni mtaji pekee ambao kila binadamu huzawadiwa na asili. Kila mtu anauwezo wa kipekee kufanya jambo au kitu Fulani. Na, ili uwezo huo (kipaji/kipawa) uweze kukua na kuendelezwa na kuleta matokeo chanya kwa mhusika na jamii, mazingira yana mchango mkubwa.
Kama ilivyo kwa punje ya muhindi...
UTAMADUNI WETU, UTAMBULISHO WETU: KUCHOCHEA MAGEUZI KATIKA SEKTA ZA UTAMADUNI, MALIASILI NA UTALII
Imeandikwa na: Mwl.RCT
UTANGULIZI
Tanzania ni nchi yenye utajiri mkubwa wa utamaduni, maliasili na vivutio vya utalii. Sekta hizi zina umuhimu mkubwa katika maendeleo ya kiuchumi na kijamii...
Tarehe 21 Juni, wanafunzi wa shule za upili wa Taasisi ya Confucius katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Tanzania (UDSM) walitembelea chuo kikuu cha wazi cha Jinhua, mkoani Zhejiang, China, ambapo walijifunza utamaduni wa sikukuu ya jadi ya China –Duanwu.
Sikukuu ya Duanwu ni moja ya sikukuu nne...
Juni 20, wanafunzi wa shule za upili wa Tanzania walioshiriki kwenye kambi ya majira ya joto ya Taasisi ya Confucius ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) walijionea kwa undani mvuto wa urithi wa utamaduni usioshikika wa China. Shughuli hiyo ya kiutamaduni iliyoandaliwa na Chuo cha Utamaduni wa...
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametoa tahadhari kwa wamiliki wa taasisi zisizo za kiserikali na asasi za kiraia zinazotoa misaada nchini kuhakikisha wanazingatia mila, tamaduni na maadili ya Watanzania.
Samia ameyasema hayo leo Jumapili Juni 25, 2023 katika kilele...
Rushwa na adui wa taifa. Nitoe mifano miwili
1. Undeshaji wa mabasi ya mwendo kasi una rushwa kiasi cha viongozi kuharibu mfumo wa kununua card za ticket.
2. Bandari nayo ufanisi mdogo ni hawa hawa viongozi wetu kupitisha mizigo ya marafiki bure.
Hawa waarabu wanakuja na kutumia mifumo ile...
Makatibu Wakuu wa Wizara za Utamaduni, Sanaa na Michezo, Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia pamoja na Ofisi ya Rais menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wamekutana kujadili maendeleo ya lugha ya Kiswahili na michezo Juni 8, 2023 Mtumba Jijini, Dodoma.
Lengo la kikao hicho ni...
Hellow africa
Wanawake wengi wamekuwa wakilalamika kuwa wanaume ni wabinafsi,waongo, wanyonyaji, watesaji, wababe, hawataki kusaidia kazi za nyumbani na mengine mengi
Ukweli upo hivi
Culture imemtengeneza mwanaume kuwa jasiri na mtoa maamuzi ya mwisho katika familia ndio maana ata kama...
Habari wapendwa,
Kuna ndugu yangu ameitwa kwenye usaili nafasi ya Afisa Utamaduni II (Cultural Officer Grade II) anauliza kama kuna yeyote alishawahi kuitwa kwenye usaili wa kuandika kwa nafasi hiyo ni maswali gani yanapendelewa kuulizwa kwenye mtihani wa kuandika?.
Natanguliza shukrani huku...
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mussa Azan Zungu amewapongeza Uongozi wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kwa kuweka bidhaa ambazo ndizo wanazifanyia kazi na kusema imewakumbusha mbali sana.
Naibu Spika Mhe. Zungu amesema hayo Juni 05, 2023 jijini Dodoma wakati...
Watanzania tuna utamaduni wa kubanana sana. Ukiingia kwenye daladala, hakuna mtu atakayefanya jitihada za kutobanana, utakuta abiria anamwegemea abiria mwingine bila kupata ridhaa mradi tu "sote tubababe."
Konda wa daladala anaweza kujaza abiria kuliko uwezo wa gari na kuwaacha wabanane na wala...
Nawasalimu ndugu zangu, nimekuwa kama msomaji wa hili jukwaa kwa miaka kumi Sasa, na Leo nikaona Bora niwe mwanachama, namimi walau kwa uchache wa uelewa wangu nitoe mchango wangu.
Mwanafalsafa mmoja aliwahi kusema “we become adapted to the lack of use of our basic human resources as a results...
Sheria za Tanzania kuhusu ndoa kuwa Mwanaume anatakiwa kulea na kuitunza familia peke yake bila pesa za mkewe kutumika inatakiwa ibadilishwe kutokana na mabadiliko ya kijamii kwa sasa maana kipindi kile mwanaume ndo alikuwa sole provider wa familia ila kutokana na mapinduzi ya kijamii ambao...
Kwa kipindi kirefu nimekuwa nasita kuoa, kwa umri wangu wa miaka 28 nimeona ni wakati sasa niwe na ndoa official, Si mara ya kwanza kufikiria hili jambo, ni tangu nipo 25 nafikiria ila sheria za ndoa za kikristo zilikuwa zikinipa hofu kubwa mno hasa kwa tunayojionea kwa wahanga, Ni lazima...
Heri ya Pasaka.
Iko hivi, imekuwa kama tamaduni kwetu kuwa siku za sikukuu ndio mtu atavaa vizuri, atakula vizuri na atatoka out.
Jana wakati natoka kwenye mishe zangu nikamuita boda wangu anipeleke home nikaangalie chama langu Liverpool likimenyana na Arsenal.
Jamaa kafika asee alikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.