utamaduni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Watoto wapiga dufu kuomba ovyo kipindi cha mwezi Ramadan ni utamaduni wa ovyo

    Kuna utamaduni umekuwepo wa kuwatumia watoto kuomba omba na vigoma vyao hasa katika mwezi Ramadhani Huu ni udhalilishaji wa watoto wadogo na kuwajengea fikra duni za kuomba omba Dr Gwajima Toka ofsini wasaidie hawa Watoto wanaomba omba waende shule wapate maarifa yake kuwafata baadaye kwenye...
  2. Familia ya Kisyria huko Uholanzi ilimfunga na kumzamisha binti wao kwenye mtaro. Walipokamatwa, walijitetea kwa kudai ni kawaida katika utamaduni wao

    Jamaa wanasema wamefanya mauaji ya heshima kwa maana binti yao alikuwa amegeuka na kuwa kama "binti wa kimagharibi" Mtapeli mwanadamu vyote, ila ukishamteka katika fikra na imani, basiiii, unamuibia hadi doti ya mwisho ya utu wake
  3. K

    Je wizi wa kura na kunyima haki ndiyo utamaduni wetu?

    Wanaosema Tanzania tuna utamaduni wa chaguzi na twende tu hivyo hivyo hata kama tunajua kabisa kura hazijesabiwi kabisa toka 2019. Lissu na team yake wametoa data za kila kitu lakini cha kushangaza unakuta wasomi kabisa wa media wanasema . Lissu Mama anakupenda sijui nini sasa hayo mbona...
  4. Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, na uongozi wa VETA watakiwa kuendesha program zitakazowasaidia Vijana wa Zanzibar kujiajiri na kuajiriwa

    Naibu katibu Mkuu wa Chama Cha cha Mapinduzi Zanzibar Dkt. Muhammed Said Dimwa amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Fatma Hamad Rajab kukaa pamoja na Uongozi huo wa Veta ili kuweza kuendesha program zitakazowasaidia Vijana wa Zanzibar na kuweza kujiajiri...
  5. VIDEO:- Neno moja kwa utamaduni huu kwa wanandoa wapya.

  6. Pongezi kwa jamii ya kikurya kwa kuwa na utamaduni wa kuwafanyia sherehe ndogo ya kuwachinjia mbuzi wazazi/walez kama njia ya thanksgiving na kuwaenzi

    Hapa najua vijana mliotoka kawe leo mtasema wanatambika😂😂😂
  7. L

    Tamasha la kwanza la mkesha wa mwaka mpya wa jadi wa China larushwa hewani baada ya Sikukuu hiyo kuorodheshwa kuwa “urithi wa utamaduni usioshikika”

    Tarehe 28 Januari ni mkesha wa mwaka mpya wa jadi wa China. Kama ilivyo desturi, saa 2 kamili usiku kwa saa za Beijing, tamasha la mkesha wa mwaka mpya wa jadi wa China ambalo linaandaliwa na Shirika kuu la utangazaji la China CMG linalojulikana kama “Chunwan” linarushwa hewani kwa ajili ya...
  8. Dating sio utamaduni wa mwafrika.

    Imezoeleka kusikia mabinti wakisema nadate na mtu fulani au fulani anadate na fulani au nataka kudate na fulani. Kudate ni ile aina ya mahusiano ambayo watu wawili wasio jua hatima yao wanaamua kuwa pamoja wakifanya mambo au kuwa na ratiba as if ni wapenzi lakini sio wapenzi rasmi. Sisi...
  9. Huu mtindo wa CCM wa kuwapa madaraka ya juu wazee wastaafu waliochoka ndio utamaduni wao!

    Kuna vitu vinashangaza mnoo katika siasa za CCM ambapo kile kinachoimbwa majukwaani (kuwawezesha vijana na wanawake) ni tofauti kabisa na kile kinachofanyika. Hili la wazee wastaafu waliochoka na kuchokwa kurejeshwa kinguvu kwenye ulingo wa kisiasa ni miongoni mwa maajabu ya siasa za CCM. Hizi...
  10. W

    Kuna haja ya kuanzisha utamaduni mpya wa kuchukulia ni jambo la kawaida mwanamke kuzaa, kuwepo sherehe, pongezi na zawadi baada ya DNA TEST

    Ni utamaduni wa waafrika wengi kuwa strict sana kwenye kulea damu zao ndio maana huwa wanaumia sana wakigundua watoto ni wa nje. Mfano kwenye kabila letu (nisingependa kulitaja), naambiwa hapo zamani ilikuwa kaka akitembea na mke wa ndugu yake, haikuleta shida, cha muhimu kilikuwa damu iwe...
  11. Sanaa na Utamaduni zihamishiwe katika Wizara ya Utalii na sio kama zilivyo sasa Wizara ya Habari?

    Mbona kama utalii unaendana sana na masuala ya utamaduni na sanaa kama vile nguo na vinyago vya wamasai?? Sasa vinyago vya wamasai na habari, wapi na wapi wakuu?? Au sanaa za wamakonde na michezo ya Simba na Yanga ni wapi na wapi?? Hivi hawa wanaopanga hivi vitu ndani ya Wizara huwa wanawazaga...
  12. Suala la Referees in CV mimi ni kuiga utamaduni wa nje ambao kwetu ni wa hovyo

    Ndugu zangu hivi swala la Referees mnalichukuliaje? Mimi naliona halijakaa kitaalam kabisa kwa mfano maofisini tunaona unakuta boss wako hataki ugrow hata ukipata safari tu ananuna ( huyu kweli atakurecommend vizuri huyu sehem nyingine tena ajue unaenda kupata maslah zaidi ya hapo?) lakini pia...
  13. W

    Netanyahu kukataa mualiko ni Propaganda, Uapisho wa Rais wa Marekani haualiki viongozi wa Israel, Uingereza, Canada, Ufaransa, Ujerumani, n.k

    Mitandaoni kuna propaganda imekamata watu wengi sana kwamba Netanyahu amekataa mualiko 😂😂 , watu wengi sana wasiojua historia wamejaa kwenye mfumo. Marekani wamejiwekea utaratibu wao wa kipekee, Hafla hizi ni za ndani kwa ajili ya kuonyesha mchakato wa amani wa kubadilishana madaraka nchini...
  14. M

    Hivi kwanini Wakoloni walisema utamaduni wetu wa Afrika ni Wakishenzi?

    Wazungu/ Wakoloni walisema tamaduni zetu niza kishenzi ndio maana mpaka leo watu wengi hatupendi sana tamaduni zetu za asili mfano lugha, majina, goma na kadhalika. Unafikiri sababu ni ipi wakoloni kusema hivyo.?
  15. Debora Tluway Atembelea Chuo cha Vijana Kaskazini Unguja, Azindua Bananza la Utamaduni

    Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji UVCCM Taifa, Komredi Debora Joseph Tluway tarehe 14 Desemba 2024 ametembelea Chuo cha Vijana Kaskazini Unguja na kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na Chuo hicho Aidha, Mhandisi Debora Joseph Tluway amezindua Bonanza la Utamaduni Kaskazini Unguja...
  16. Msomi Nguli wa Sheria Prof. Palamagamba anaenda kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo? Atakataa!

    huyu anaenda kupigizana kelele na akina Stive Mingele, akina Kingwendu, Bambo, wanamichezo kama akina Mkude na wengineo . Akina Shilole, ,sijui nani na nani. Msomi ambaye alipaswa arudi Chuo alipwe vizuri afundishe sheria. Aandike vitabu na vitabu. atoe ushauri wa kisheria. aisaidie nchi kwenye...
  17. Je Yanga tumeacha utamaduni wetu wa kutoa misaada siku za mechi?

    Ni kama mechi kadhaa sasa sijaona ule utamaduni wetu wa kutoa misaada kwenye vituo mbalimbali vya wahitaji. Je inaweza kuwa sababu ya matokeo mabaya tunayopata?
  18. Ufunguzi wa Bonanza la Pemba Tourisport na Utamaduni Wafanyika Kuukuu Kangani

    Katika ufunguzi rasmi wa Bonanza la Pemba Tourisport and Cultural Bonanza uliofanyika Kuukuu Kangani, viongozi mbalimbali walihudhuria tukio hili lenye malengo ya kukuza utalii na urithi wa kipekee wa Pemba. Mgeni rasmi alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Mkoani, Ndugu Hamad Omar Bakari, ambaye...
  19. W

    Kanisa Katoliki wamwambia Ruto kuwa Utamaduni wa Uongo lazima Ukomeshwe

    Baraza la Maaskofu wa Katoliki Kenya (KCCB) limeikosoa serikali ya Rais William Ruto kwa kushindwa kutimiza ahadi zake kwa Wakenya na kudumisha utamaduni wa uongo na kutumia mitambo ya Serikali kunyamazisha wapinzani Aidha, Mwenyekiti wa Baraza hilo, Askofu Maurice Muhatia amewashutumu viongozi...
  20. G

    Pre GE2025 Nchi imerudi mfumo wa Chama kimoja, Magufuli kaacha utamaduni mbaya kwenye siasa, itachukua miaka 20 kumpata kiongozi kama Kikwete

    Kipindi cha Kikwete alileta mapnduz makubwa mno kwenye siasa za nchi yetu kwenye siasa za upinzani, Uhuru wa kuongea na baada ya kuongea, n.k. Siwezi kusema kikwete alikuwa mkamilifu kwenye kuleta siasa huru lakini alijitahidi Kwa mara ya kwanza wagombea wapinzani walijaa bungeni matumizi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…